kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania WaNigeria elfu ishirini wakusanyika kushuhudia ubwabwa wa jollof kuwahi kupikwa katika sufuria kubwa zaidi duniani!

    Huko Nigeria mpishi mmoja aitwaye Hilda ameweza kuwakusanya raia 20,000 Waafrika wenzake wa nchi hiyo wakati katika tukio lake la kupika wali wa jollof katika sufuria kubwa zaid lillovunja rekodi ya ukubwa duniani.
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

    GT Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana. Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je ofisi nyingi za umma zile kubwa ziko bugged na vinasa sauti na kamera za Siri?

    Hapa naulizia swali tu Kwa hapa Ethiopia.
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ethiopia, Bwawa la Umeme kubwa zaidi kwa fedha za ndani na michango huku CCM wakichangisha Bil.86 kwa ajili ya Kampeni alafu tuunanuna Umeme Ethiopia

    Siku zote nasema. Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku. Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora. Hayo yakifanyika, hapa...
  5. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Ukiongalia idadi ya Guests ambao wapo online , ni kubwa sana leo licha ya watu kutumia VPN

    Muda mwingine serikalini kuna watu wanashangaza hawaoni kuwa wameipa Promo JF ya bure Ebu tazamane maudhurio yalivyo Makubwa Leo muone wenyewe.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaombeni mpigie mstari hiyo sentensi isemayo...''kama hakutakuwa na Maelekezo mengi''.... kisha ichambue kwa kutumi Akili Kubwa ili uielewe

    ''Yanga wameamua kuwapa Singida Black stars silaha Khalid Aucho na Clatous Chama ambazo hata wao wenyewe zinaweza kuwadhuru siku ambayo watakutana kama hakutakuwa na maelekezo mengi ,Singida wana timu bora sana kama watamuacha mwili apange kikosi chake mwenyewe kwa namna ambavyo anataka yeye...
  7. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Siri za Masoko: Jinsi ya Kufanya Bidhaa Zako Zinunuliwe kwa Faida Kubwa

    Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika. 👉 Siri ni hii: Soko si mahali, ni maarifa. Ukiwa na taarifa sahihi za bei na mahitaji, hupotezi...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo

    Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ)...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
  11. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ujenzi na ubomoaji wa hoja: Janga kubwa kwa viongozi wetu

    Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu. Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
  13. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani na Uingereza walifanya kosa kubwa la kimkakati kuungana na USSR dhidi ya Hitler na Ujeruman yake

    Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mh. Nchimbi: Tuchagueni tutaleta Katiba Mpya! Tuna tatizo kubwa- Mzaha kwa watanganyika!

    Mbona nilikuwa naona kama anaweza kuwa mwenzetu! Hawa watu hawako serious na watanganyika, .....ona mzaha anaowafanyia majuha wa Tanganyika! Eti tuchagueni tutaleta katiba!
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Behewa la Machuma imesababisha Foleni kubwa hapa Kituo cha SGR

    Wakuu! Kuna behewa lililokuwa limebeba machuma limeanguka hapa Kituo cha SGR, Dar es Salaam na kusababisha foleni kubwa ya magari eneo hilo.
  17. Atl Printing

    JamiiForums Tanzania Offer kubwa ya printing tshits na kofia

    Habari Wadau, Atl printing ndani ya mwezi huu wa Tisa tuna offer ya printing Tshirt (Sports,Polo na First & Time) logo kwa 15,000 TU, na kofia kwa 10,000. Pia kwa nahitaji ya printing kwa Promotion Material zote pamoja na Large format utajipatia kwa bei nzuri. Tunapatika Congo & Rufiji, Dar...
  18. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Huenda H.Polepole akawa na shida kubwa zaidi ya hii kimaadili na kiakili, na huenda mwisho wake ukawa mgumu zaidi ya mwanzo wake katika historia

    Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za makusudi kuhakikisha uhuru wa habari unaimarika kwa kuweka wazi utashi wa kisiasa na misingi ya kisheria...
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kishindo cha Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi na Eng Ezra John Chiwelesa kinasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo 6/9/2025

    Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini. Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
  20. T

    JamiiForums Tanzania TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
Back
Top Bottom