kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania kisa cha mtu aliyedanganywa na “mtaalamu wa kutabiri” (psychic), akajikuta akifanya kosa kubwa lililompelekea kufungwa jela

    Katika picha hii nitaweka Muhtasari wa Kisa kwa Mchoro ulivyo: 1. Picha ya kwanza (kushoto juu): Mwanaume anamuendea mtabiri wa baadaye (psychic), ambaye anamwambia namba “70323”. 2. Picha ya pili (kulia juu): Mwanaume anaenda kununua tiketi ya bahati nasibu (lotto) akitumia...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania nitaruhusu Uraia pacha kwa sababu una faida kubwa sana

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ntaruhusu uraia pacha sababu unafaida nyingi mfano Uta-facilitate technology transfer Utaongeza wigo wa skilled labour kwenye critical sector Utaongengeza na kuchochea uwekezaji Utatupandisha kwenye michezo sababu kuna diaspora wengi wako tayari kuchezea timu...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Wana JF kwa heshima kubwa naomba msaada wenu

    Nimeanzisha channel WhatsApp nataka kuandika habari za matukio ya kisiasa kijamii na kiuchumi na. Kuandika historia mbali mbali hasa wale wapenzi wa siasa so naombeni mnifollow mdogo wenu kunisapoti Asanteni...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukitizama hii picha, Kisha kuna Mbunge anaona hitaji kubwa ni Number Plate Maalum kwa ajili yao

    Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo mnashangilia Simba na Yanga.
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na Ubora wa Barabara zinazojengwa Dodoma na Tanzania kwa Ujumla. Kuna harufu kubwa ya Rushwa na Kutojali

    Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi; Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
  6. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kama ndivyo, kuna shida. Kubwa!

    Leo, nimemuona na kumsikia Wakili Msomi mwenzangu Peter Kibatala (kupitia video clip) akizungumzia uhalali wa barua iliyotumika kufungia makanisa yanayoongozwa na Askofu Gwajima. Kwa mujibu wa Kibatala na muktadha wa mazungumzo yake ndani ya Mahakama Kuu kule Dodoma, Kanisa lililofungiwa...
  7. Mwakawasila

    JamiiForums Tanzania Milioni Siyo Hela Kubwa: Program iliyowakomboa wengi

    Safari hii nilitaka watu 20 na saizi wametimia Asante Kwa kuniamini
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania "Ni msiba mzito. Ametutoka, ametuachia pengo kubwa. R.I.P"

    "Ni msiba mzito, ametutoka jamani, ametuachia pengo kubwa! Ooh, tumempoteza. Ni vigumu kueleza machungu tuliyo nayo mioyoni. Tutaendelea kumkumbuka daima. Pumzika kwa amani(R.I.P.)" Kila dakika, kuna watu wanafariki huku na kule duniani. Maneno kama hayo husemwa na wafiwa. Ni vizuri kuelewa...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya

    Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya. Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Complication on Archangels and it's duties (wenye elimu kubwa wanijuze)

    Naomba kufahamu au kujuzwa kwa mwenye ujuzi mkubwa, kwa kawaida malaika Hawa ni viumbe wa Mungu, Gabriel, Mikael, Rafael na Uriel, na asili zao, mfano Gabriel Ana asili ya maji, Uriel Ana asili ya moto nakadhalika, Je inakuwaje tunaweza kuwatumia katika kutuunganisha na Mungu kwa ajili ya ulinzi...
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

    Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye...
  12. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  13. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Pale Kurasini leo ulinzi ulikuwa bab kubwa sana, kulikoni?

    ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli. Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself. Hatujazoea kuona hivyo!
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Ibada zinazoendelea nchini ni wazi wachochezi watapata pigo kubwa sana

    Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi. Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe)...
  16. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa la kiufundi kuileta "Oktoba Tunatiki" katika nyakati ambazo "No Reform No Election" inatrend

    Ama kweli nimeamini mkata roho haachi kutapatapa. Enyi CCM mmekosa kabisa think tank hata wa mambo amabyo yanahitaji "Common Sense" tu? Hamuonagi hata wasanii huwa wanaangalia nyimbo gani zinatrend sana mtaani ili wasije wakatoa wimbo kisha ukadoda! Ni mahesabu ya kutumia akili ya darasa la...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elon Musk aondoka serikalini kwa aibu kubwa, utapeli wake wa DOGE washindwa vibaya na kulaaniwa kila kona

    Huyu bwana alianza kwa mbwembwe kubwa akiwa analazimisha watumishi wote wa serikali kuu nchi nzima wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya kila wiki mwishowe ikaishia kwa yeye kutakiwa na bodi ya wakurugenzi arudi kazini kwake Tesla na kufanya majukumu yake aliyotekeleza. Naada ya...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Balaa: Kuna ajali kubwa huko Iwambi

    Kulikoni? Naambiwa Huko Iwambi Mbeya kuna ajali kubwa. Pigia simu ndugu na jamaa.. Sijajua zaidi hadi sasa sababu ni taharuki tupu.. Tusubiri Polisi waseme ===== UPDATES: 1200HRS ===== Watu 28 wamefariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu ikiwamo...
  19. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  20. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
Back
Top Bottom