Mbeya University of Science and Technology (MUST)
Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo.
Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima):
Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang”
Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani)
Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
Kwa sababu kausoma mchezo kaona asilimia kubwa ya Hilo kundi la wanamtandao anaowataja wengi wao NI watu wazima wenye zaidi ya Miaka 60 na kama mnavyojua umri tuliopewa na Mungu average NI Miaka 70 so ashajua Miaka 20 ijayo wengi wao watakuwa washarudisha namba kwa mola.
Hiyo NI move nzuri Sana...
Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025
1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024)
2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024)
3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024)
4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024)
5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
"Niwe tu muwazi bado Nahitaji Mchezaji mmoja mwenye X Factor kwenye eneo la ushambuluaji, najua tumepata sapoti kubwa Sana kutoka kwa Rais Mo Dewji na mchango wake Msimu huu umekuwa mkubwa Sana"
"Natumai sasa tunapoelekea mwishoni mwa usajili Jayrutty anaweza kutusaidia kumpata Mchezaji huyo...
Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo.
Sasa kuna tukio limetokea jamaa kada mtiifu kapata ajali pikipiki anayotumia ikamlalia hakuna hata...
Unapoambiwa wanawake ni jeshi kubwa usihoji ni jeshi lipi, wewe elewa tu kuwa hawa watu ni jeshi kubwa na wakiamua kuvamia kambi hawatishwi na ukubwa wa adui. Wanapambana na majitu na wanawakalisha chini.
Hakika Kipenda roho hula nyama mbichi. Ama Mwenyekiti naongopa?
VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI
Kwa sasa bidhaa adhimu katika sekta ya teknolojia ni Akili Unde (AI) ambayo ukiitazama kwa umakini utaona kua dunia ijayo ni dunia itakayoendeshwa kwa Akili Unde karibu kila nyanja ya maisha ya binadamu. Hii ni fursa na ni changamoto mpya...
Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena.
Niende kwenye Mada kwa ufupi,
Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;-
Baba Levo- Kigoma Mjini
JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki
Kuna...
Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla?
Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini ya mti hana mbele wala nyumba watu wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi badae wanapita yeye...
Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC)
Habari zenu wanajamii forum,
Kampuni ya Apple wametangaza rasmi kupitia Apple Security Bounty Program kwamba watatoa hadi $1,000,000 (takribani Bilioni 2.5 Tsh)...
Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe. Ndio maana hivi karibuni kabla ya uchaguzi unaenda kutokea mwezi wa 10 mwaka huu 2025 kumeibuka kundi...
Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
Sita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha mwandishi anzory gwanda maana kuvuliwa nguo kwa nchi bado tutasikia toka pole pole.
Nchi hii imejaa...
Mimi katika mambo ambayo siyapendi ni kutumia nguvu kubwa kumziba mdomo mwingine asiongee jambo nisilolipenda, bata huku jamiiforums napenda wale wanaokosoa na kamwe siwezi waweka kwenye ignore list
Mimi ni mtu ambaye niko comfortable kwa wale wanaonikataa, na kunipinga sababu naamini wanahaki...
Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo.
Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu.
Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
Anonymous
Thread
askari
halimashauri
kero
kijiji
kubwa
mgambo
mpimbwe
Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye...
Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI.
Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika kujibu maswali,kuandika documents,kuchora picha hiyo ndio picha watu wanajenga kuhusu AI si ajabu fikra...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.