Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,092
- 11,888
Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada