..alidai waliomteka dada yake amewaona.
..na akadai anawajua waliowatuma.
..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake.
..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka.
..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki.
..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
Miaka 20 iliyopita Rais mkapa alifungua mlango kwa waekezaji wa madini kule kanda ya ziwa ila kwa masikitiko makubwa mpaka leo kuna umaskini wa kutisha wakazi wa kule hawaoni faida ya madini na yale makampuni- utakua upunguani kuwapa makampuni ya kigeni gesi yetu eti hatuwezi na tutakuwa...
Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga.
Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa siku chache takribani tatu hadi nne kutokana na maboresho ya mitambo yam aji, lakini ilipita wiki...
Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha.
Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi.
Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
Wametumia miaka mitatu na nusu tu kujenga na kumaliza kabisa daraja lote, kwa mwendo huu ndio maana Wachina wameridhika na utawala wa uimla wa Wakomunisti maana ni kama wanawatendea raia wao miujiza katika maendeleo.
Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia.
Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele.
Leo wenda vijana wetu katika...
Ukiacha li nchi hili tunalolijua ambalo lina watu milioni sabini lakini linatawaliwa na kanchi kenye watu milioni 2 nanusu!
Nchi hilo ambalo limejaa wajinga wengi, yani tofauti ya msomi na asiesoma tofauti yao ni makaratasi tu.
Kubwa jinga ambalo kwake gharama za matibabu na nishati ni ghali...
Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na elimu uliyosoma.
Kuna kijana wa kisomali nilisoma nae mpaka chuo kikuu, na akaendelea mpaka...
Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
Kompyuta yako si kifaa kinachofanya kazi kimya kabisa. Ndani yake kuna fans, diski zinazozunguka, na sehemu za kielektroniki ambazo kwa kawaida hutoa sauti ndogo. Lakini pale sauti zinapobadilika ghafla kuwa kubwa zaidi, za ajabu, au zisizo za kawaida, hapo ndipo tatizo linaanza. Leo tutaeleza...
Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi
watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg
Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa.
Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia.
Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa.
Tutawatia...
Huko Nigeria mpishi mmoja aitwaye Hilda ameweza kuwakusanya raia 20,000 Waafrika wenzake wa nchi hiyo wakati katika tukio lake la kupika wali wa jollof katika sufuria kubwa zaid lillovunja rekodi ya ukubwa duniani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.