Unaweza uKabisha mpaka ukafa ila ukweli uwa unabakia kua ukweli siku zote, tokea nipo shuleni tumekua tukitumia hii ramani ya duniA ambayo imekua ikituonyesha kua Africa ni ndogo sana kwa Russia ambapo nikaja pata elimu kidogo kua raman ya dunia nzima uwa ina chora kwa kutumia 2 dimensio of...
TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU.
1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua tunafahamiana, pia hakuna watoto wa mitaani huko kama mjini.
2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au...
Wakuu hiki Chama mi kimenitia majeraha makubwa hakika. Nakumbuka miaka nane ilopita tukiwa na mama yangu kijijini tukisikiliza radio five ghafla ikatangazwa break news mtangazaji Alli Shemdoe akatangaza kupigwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa NMC moja kati ya majeruhi alikuwepo Abdi Madava...
Hello JF,
Hili sio eneo ninalojua..
ila Sio kila saa mvua ikinyesha kuna janga mahali..
i think projects kubwa kama za kujenga madaraja ziwe zina involve wahandisi wa kigeni…
I believe Mazingira yetu yana pose a challenge kwa wahandisi wa kigeni,
Na pia,wahandisi wetu matokeo ya projects...
GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.
Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji
1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia
Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha...
Kwa mtu mwenye kufikiri kwa kina na kujiuliza mara kadhaa kabla ya kufanya uamuzi,ni wazi angeitumia kauli ile ya watu kufananisha na ng'ombe wasio na mkia kama hatari au ishara ya hatari kukubali kuwa ngo'mbe mpya asie na mkia mara tu baada ya kauli ile kutoka
Mpaka sasa sitaki kuamini kama...
Hizi ni kozi ambazo mtu anaweza akasoma kuanzia ngazi ya Certificate,Diploma, Bachelor au Masters na akawa name fursa kubwa ya kupata kazi nchi yoyote na ni rahisi kujiajiri kwenye sekta ya bahari.
1.Marine Survey
Hii kozi ukisoma la kazi zako itakuwa ni kukagua meli kabla haijajengwa, Meli...
Wanajamvi, hili suala la vipimo vya Corona, hata Marekani wanapambana kuhakikisha vinapatikana nchi nzima kadri ya mahitaji. Trump yeye alilalamikiwa kwa kuzikataa zile walizotoa W.H.O hapo awali.
Lakini leo nimemsikia Waziri Mkuu (na juzi Ummy), akisema sample za wanaohisiwa kuwa na Virusi vya...
(Mafuriko daraja la Dumila mwaka jana-mwaka huu kuna uwezekano kutokea tena mafuriko)
Mkoa wa Morogoro umabahatika kupitiwa na barabara karibu zote zinazoingia Jiji la Dar es salaam.
Barbara hizi zinavuka mito mingi inayoingia Bahari ya Hindi.
Sasa hivi tunaona sarakasi za kukatika madaraja...
Habari za mida,
Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba pia kuna eneo la kuweza kutoa vyumba vitatu single.
Nyumba ipo Buguruni mtaa wa Azimio karibu...
Nakubaliana kabisa na kauli ya mh Mbowe ambaye ni chairman wa Chadema kwamba Wanawake ni jeshi kubwa na ninaamini kabisa mh Mbowe aliitoa kauli hii kwa minajili ya kisiasa.
Lakini ni vema wanawake wa Bawacha na wengine wote wakatambua kuwa wao ni jeshi kubwa kwenye mambo ya Hamasa na kupiga...
Wakati baadhi ya nchi za wenzetu sasa zimefikia hatua ya kudhibiti raia wake kwa kuwataka wabakie majumbani, kufunga mashule na vyuo, kupiga marufuku mikusanyiko ya michezo kama soka, kufunga mipaka n.k zikiwa ni hatua za kudhibiti kusambaa kwa Corona, sisi tume-relax tukiamini udhibiti...
Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana.
Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia.
Kuna mifano mingi sana...
Kabudi (2nd left) in one of his group photos on his recent trip to USA. Credit: Tibor Nagy
THREE weeks ago, Tanzania’s President John Magufuli promised heaven on earth by telling the international community that he was committed to ensuring a free and fair election in October 2020. But two...
Wakati mwingine uhitaji wa huduma za kisheria huja bila mtu kutarajia kama ilivyo kwa magonjwa au kifo vitu ambavyo huwekewa bima(bima ya afya na bima kwa ajili ya kifo) ukiacha mbali bima ya vyombo vya moto pale vinapopata ajali na bima nyinginezo.
Moja ya sababu ya kuwa na bima ni gharama ya...
Ndio hivyo ndivyo ninavyo weza kusema hasa ha makampuni ya KUBET maana baada tuu ya kutanganzwa misuko suko inaanza mara kabambikiwa kesi, mara matapeli wanamsakama, mara majambazi wanamuwinda nk
Nadhani itafutwe njia mbadala ambayo taarifa zza msindi haziwi exposed sana kwenye jamii maana...
Katika mwaka ambao sekta ya utalii itapata msukosuko ni huu hasa ukizingatia utalii si basic needs. Baada ya 9/11 Corona virus ni pigo la pili kubwa kuikumba sekta hii.
Kutokana na takwimu za tovuti maarufu ya safari barani Afrika Safaribooking, kumekua na anguko la karibia 6% kutoka kipindi...
Ifuatayo ni nukuu ya Shabiki wa Yanga FC na Mwandishi Mchambuzi Privaldinho aliyoiandika katika Ukurasa wake wa Instagram hasa baada ya Kuchoshwa na Uwendawazimu wa Mashabiki wengi wa Timu yake ya Yanga FC anayoishabikia.....
" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi...
Serikali ya Kenya, japo imesimamisha ndege zake za KQ kwenda China, imekuwa ikiruhusu abiria kutoka China kungia nchini humo bila kuwa na tahadhari zozote zaidi ya kuwapima joto wanapowasili uwanja wa Jomo Kenyatta au kuwadhibiti katika kile kipindi cha siku 14.
Hii imezua taharuki kwa...
Ukweli ni kwamba mtandao wa mawasiliano ya kompyuta ulimwenguni "Internet" hakuna mtu anayeumiliki. Waasisi wa mawasiliano ya internet ni jeshi la marekani katika mawasiliano ya vita ya pili ya dunia. Baadaye akatokea jamaa mmoja namkumbuka jina lake la mwisho "Lee" akauboresha kwa ajili ya...