Projects kubwa ziwe na wahandisi wa nje!

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,313
2,000
Hello JF,

Hili sio eneo ninalojua..

ila Sio kila saa mvua ikinyesha kuna janga mahali..

i think projects kubwa kama za kujenga madaraja ziwe zina involve wahandisi wa kigeni…

I believe Mazingira yetu yana pose a challenge kwa wahandisi wa kigeni,

Na pia,wahandisi wetu matokeo ya projects zao peke yao zimekua zikisikitisha…

So nadhani tuchanganye skills...

Projects ziwe na wahandisi wa ndani na nje…

Itasaidia wao kupata EXPOSURE..

Ingependeza kuona madaraja yetu yanatengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu,lakini pia unaofaa kwa mazingira yetu...so combications ya skills unahitajika…

Inawezekana ikawa expensive ila mbona tuna Pay high price kila siku na pengine watu kufa kutokana na hii miundo mbinu mibovu.
 
mmbangaya

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
1,007
2,000
Acha kuamini watu wa nje wewe. Unadhani vitabu vya nje na ndani ni tofauti??
Skills ni zile zile. Point hapa ni ufinyu wa budget tuu hamna kingine usidanganyike ndugu
 
labda basics,ntakua wa mwisho kuamini vitabu vya nje na ndani ni sawa,sababu nje mara nyingi wanaangalia nini kinahitajika katika mazingira yao,baada ya kugundua nini kinahitajika ndio wanaandika syllabus na sio vice versa...so sidhani kama mnatumia vitabu sawa..otherwise mbona madaraja yao hayavunjiki kama mnasoma vitu sawa??...budget sio sababu
 
Toa mfano wa daraja moja lililovunjika nikuambie sababu ni nini halafu ndio uje na conclusion yako. And do you know what miradi yote inayofanywa hapa tz na hao wa nje inasimamiwa na wataalamu wa kitanzania. Unaweza kusimamia kitu usichokijua.
Hapa achana na mamiradi kama ya umeme bwawa la nyerere ambayo hiyo inahitaji wataalamu wenye uzoefu nayo.
Lakini sijui barabara sijui madaraja tupo vzr sana kwenye swala la technical skills.
Na pia unatakiwa utofautishe uhandisi na ukandarasi hapa
 
Mkuu unajua kabisa madaraja yaliyovunjika,na wala sio moja, siwezi kushinda kutafuta nani alijenga hili au lile..ukweli ni kwamba karibu kila mwanzo wa mvua nyingi..huwa tuna expect kutopitika au kuvunjika kwa daraja..ni kitu ambacho tumekizoea...hapa sijasema wahandisi wa nje wawa replace wahandisi wa Tanzania bali mfanye kazi pamoja mpeane uzoefu/experience.... sijui hili nani alijenga Tanzania bridge collapse causes jitters among Rwandan traders
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
10,137
2,000
Tatizo sio Wahandisi wa Nje wa au wa Ndani bali tatizo la msingi ni corruption!!

Corruption haina cha huyu wa nje, yule wa ndani... corrupts people are everywhere!

Bank in the days nilishuhudia malipo kwa contractor mmoja hivi. Baada ya Contractor kulipwa check yake, ukafuata mlolongo wa watumishi wa halmashauri kuingiziwa chao kutokana na malipo ya ile cheki!

Hapo unatarajia yule contractor atakuwa amefanya kazi kwa viwango wakati zaidi ya 30% ya malipo yake yalirudi kwa watumishi wa halmashauri?!

Lazima atalipua tu ili kubana gharama kwa sababu hapo gharama ni pamoja na pesa ya rushwa kwa watumishi wa idara husika!! So, kama alishindwa kukwepa gharama za hongo, atakachofanya ni ku-compensate kwenye gharama ya vifaa!
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,813
2,000
Toa mfano wa daraja moja lililovunjika nikuambie sababu ni nini halafu ndio uje na conclusion yako. And do you know what miradi yote inayofanywa hapa tz na hao wa nje inasimamiwa na wataalamu wa kitanzania. Unaweza kusimamia kitu usichokijua.
Hapa achana na mamiradi kama ya umeme bwawa la nyerere ambayo hiyo inahitaji wataalamu wenye uzoefu nayo.
Lakini sijui barabara sijui madaraja tupo vzr sana kwenye swala la technical skills.
Na pia unatakiwa utofautishe uhandisi na ukandarasi hapa
Kusoma uinjinia na kuitwa injinia (kama wabongo wengi wanavyopenda) ni tofauti kabisa na ufanisi wa kazi. Hapa kwetu tuna wasomi wa kwenye makaratasi waliokariri ili kushinda mitihani na siyo wataalam. Na ni sekta zote, siyo ujenzi tu. Kwenye udaktari, ujenzi, uhasibu, kilimo, sheria.... kote huko mambo ni bora liende. Sikatai kuwa wako wachache wenye weledi wa kazi lakini impact yao inamezwa na wazembe ambao ndiyo wengi. Ukiwa Dar maeneo mengi yenye barabara mpya kuna barabara zimejengwa... du... inasikitisha. Ukiziangalia unajiuliza hizi ni injinia aliyekaa darasani akafuzu amejezijenga au ni watoto wa chekechea. Waswahili husema chema chajiuza na kibaya chajitembeza. Sisi waswahili tumebaki kujitembeza na visingizio viiiiiiingi lakini ukweli ni kuwa hatuna uwezo wa kujisimamia. Tu wavivu, wazembe na wezi.
 
Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
14,307

Mkuu,umemaliza!
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,313
2,000
tatizo ni ufinyu wa budget kuanzia ujenzi mpaka ukarabati. ukitaka hata daraja la elf sabini sisi tutakujengea. ila wakati wa malalamiko ukifika, basi useme kua ulitoa elf sabini.
Sio mmoja aliyesema budget ni tatizo...hii imejirudia ,mkuu Rais lazima aliangalie hili,kujenga madaraja mabovu yanayocost life za watu,na shughuli za kiuchumi kusimama, in my opinion tunalipa high price...ni time sasa aliangalie hili
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,813
2,000
Tatizo sio Wahandisi wa Nje wa au wa Ndani bali tatizo la msingi ni corruption!!

Corruption haina cha huyu wa nje, yule wa ndani... corrupts people are everywhere!

Bank in the days niliwahi kufanya kazi kwenye benki moja. Enzi hizo nikiwa mgeni kabisa, nikalipa check kwa contractor mmoja! Sitakuja sahau baada ya contractor kupewa cheki yake, ukafuata mlolongo wa watumishi wa halmashauri kuingiziwa chao kutokana na malipo ya ile cheki!

Hapo unatarajia yule contractor atakuwa amefanya kazi kwa viwango wakati zaidi ya 30% ya malipo yake yalirudi kwa watumishi wa halmashauri?!

Lazima atalipua tu ili kubana gharama kwa sababu hapo gharama ni pamoja na pesa ya rushwa kwa watumishi wa idara husika!! So, kama alishindwa kukwepa gharama za hongo, atakachofanya ni ku-compensate kwenye gharama ya vifaa!
Tatizo ni sisi wenyewe.... sijui unachobisha ni nini! Hiyo corruption ingefanyika bila sisi kuitekeleza? Mbona hizo nchi za nje wengi ndiyo wanaofanya vizuri?
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
10,137
2,000
Tatizo ni sisi wenyewe.... sijui unachobisha ni nini! Hiyo corruption ingefanyika bila sisi kuitekeleza? Mbona hizo nchi za nje wengi ndiyo wanaofanya vizuri?
Nikuulize wewe sijui unachobisha ni nini?! Nimesema tatizo la msingi hapa ni corruption!!

Corruption ni two ways, and anyone can initiate corruption... mtoa tenda au mtafuta tenda!!

Huyu Mtafuta tenda anaweza kuwa mtu wa ndani au wa nje!

Zipo foreign companies throughout the world ili kupata tender kwenye nchi fulani, wanaamua kutumia rushwa ili kupata tenda husika!!

Huyu wa ndani akikubali kuchukua rushwa, msingi wa tatizo hapo sio huyu mtu wa ndani bali msingi wa tatizo ni rushwa!!!

Na hata kama rushwa itakuwa initiated na huyu mtu wa ndani, bado tatizo la msingi linabaki pale pale kwamba ni corruption!!
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,146
2,000
Hello JF,

Hili sio eneo ninalojua..

ila Sio kila saa mvua ikinyesha kuna janga mahali..

i think projects kubwa kama za kujenga madaraja ziwe zina involve wahandisi wa kigeni…

I believe Mazingira yetu yana pose a challenge kwa wahandisi wa kigeni,

Na pia,wahandisi wetu matokeo ya projects zao peke yao zimekua zikisikitisha…

So nadhani tuchanganye skills...

Projects ziwe na wahandisi wa ndani na nje…

Itasaidia wao kupata EXPOSURE..

Ingependeza kuona madaraja yetu yanatengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu,lakini pia unaofaa kwa mazingira yetu...so combications ya skills unahitajika…

Inawezekana ikawa expensive ila mbona tuna Pay high price kila siku na pengine watu kufa kutokana na hii miundo mbinu mibovu.
Aliye design ile ikulu yetu ya Dodoma Mungu anamuona. Hata Sultan Barghash atakuwa anamshangaa
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
10,137
2,000
tatizo ni ufinyu wa budget kuanzia ujenzi mpaka ukarabati. ukitaka hata daraja la elf sabini sisi tutakujengea. ila wakati wa malalamiko ukifika, basi useme kua ulitoa elf sabini.
Hili nalo ni tatizo lingine!!

Ni Contractors wachache sana wanaoweza kukataa project kwa sababu tu anafahamu bajeti yako itamfanya ajenge kitu sub-standard!

Wakati nyumba ya ghorofa moja Contractor X anaweza kuijenga kwa 200M, lakini nyumba ya ghorofa inayofanana na hiyo hiyo, kwa kutumia contractor yule yule, anaweza kuijenga kwa 100M.

Hata hivyo, katika mazingira ya kawaida, mtu asitarajie in terms of durability, hizi ghorofa zinaweza kuwa sawa!!!
 
BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
1,366
2,000
Acha kuamini watu wa nje wewe. Unadhani vitabu vya nje na ndani ni tofauti??
Skills ni zile zile. Point hapa ni ufinyu wa budget tuu hamna kingine usidanganyike ndugu
Wenzetu kidogo wapo More Advanced kuliko sisi huo ni ukweli mchungu na hilo linathibitika kwa kutokuwa na case nyingi za uharibikaji wa miundombinu kwenye nchi zao binafsi napenda kuunga mkono hoja na hii haimaanishi kutokuwa na uzalendo Bali ni halisi muanzilishi ni muanzilishi tu.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,813
2,000
Nikuulize wewe sijui unachobisha ni nini?! Nimesema tatizo la msingi hapa ni corruption!!

Corruption ni two ways, and anyone can initiate corruption... mtoa tenda au mtafuta tenda!!

Huyu Mtafuta tenda anaweza kuwa mtu wa ndani au wa nje!

Zipo foreign companies throughout the world ili kupata tender kwenye nchi fulani, wanaamua kutumia rushwa ili kupata tenda husika!!

Huyu wa ndani akikubali kuchukua rushwa, msingi wa tatizo hapo sio huyu mtu wa ndani bali msingi wa tatizo ni rushwa!!!

Na hata kama rushwa itakuwa initiated na huyu mtu wa ndani, bado tatizo la msingi linabaki pale pale kwamba ni corruption!!
Du... alikuwepo mtoto wa chekechea darasani anapuliza filimbi mwalimu akamwambia aache kelele yeye akajitetea siye anayepiga kelele bali ni ile filimbi! Ndugu yangu weee nauliza tena ''kwanini nchi za Ulaya haya matatizo hayapo kwa wingi kama hapa Bongo? Tatizo la msingi siyo rushwa bali ni tatizo la msingi ni sisi tuache utetezi usio na mantiki.
 
-KANA-

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
3,910
2,000
Hili nalo ni tatizo lingine!!

Ni Contractors wachache sana wanaoweza kukataa project kwa sababu tu anafahamu bajeti yako itamfanya ajenge kitu sub-standard!

Wakati nyumba ya ghorofa moja Contractor X anaweza kuijenga kwa 200M, lakini nyumba ya ghorofa inayofanana na hiyo hiyo, kwa kutumia contractor yule yule, anaweza kuijenga kwa 100M.

Hata hivyo, katika mazingira ya kawaida, mtu asitarajie in terms of durability, hizi ghorofa zinaweza kuwa sawa!!!
waswahili wanasema utamu wa ngoma, ingia kati ucheze. kwa mtu alie nje ya hii sekta ni rahisi sana kuwatupia lawama wahandisi wa ndani. ila walioko ndani wanaujua ukweli. Daraja linavunjika kwa kukosa ukarabati ambao budget yake ni mpaka wanasiasa waamue kuitenga kwa muda wanaopenda wao. Then wakija hapo eneo la tukio unasikia 'hakikisheni daraja linakamilika ndani ya siku saba'. Anaetoa hayo maagizo ni mwanasiasa ambae pengine amesomea ualimu wa kemia na hajafanya utafiti wowote kujua mchakato mzima unahitaji muda kiasi gani. Kitakachofanyika ni bora liende!
 
zege la nyasi

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
220
250
Tatizo sio Wahandisi wa Nje wa au wa Ndani bali tatizo la msingi ni corruption!!

Corruption haina cha huyu wa nje, yule wa ndani... corrupts people are everywhere!

Bank in the days nilishuhudia malipo kwa contractor mmoja hivi. Baada ya Contractor kulipwa check yake, ukafuata mlolongo wa watumishi wa halmashauri kuingiziwa chao kutokana na malipo ya ile cheki!

Hapo unatarajia yule contractor atakuwa amefanya kazi kwa viwango wakati zaidi ya 30% ya malipo yake yalirudi kwa watumishi wa halmashauri?!

Lazima atalipua tu ili kubana gharama kwa sababu hapo gharama ni pamoja na pesa ya rushwa kwa watumishi wa idara husika!! So, kama alishindwa kukwepa gharama za hongo, atakachofanya ni ku-compensate kwenye gharama ya vifaa!
Kweli kabisa ....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom