kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na kushindwa kulipa kodi, Diallo bado anaomba Uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza!!

    Hii inaingia akilini kweli? Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
  2. JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la wanaodai Katiba Mpya hawajui wanachokitafuta na hawana kazi ya kufanya

    Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa. Leo ameingia...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna muda huyu Mchambuzi wa Michezo mwana Yanga SC 'lia lia' Privaldinho wa Clouds FM huwa anakuwa na akili Kubwa hivi? Heko Kwake!

    " TV Sponsorship ni tofauti kidogo na uwekezaji ambayo unaweka 20bil mara moja sio kwa mgawanyiko. Kama watu wanafikiri ni rahisi basi atokee mdhamini atoe hata nusu Tsh 20bn kwa mkupuo. Wadhamini wenyewe wanategemea kupata humo humo ili waweze kulipa tena " Chanzo: @privaldinho Haya sasa wana...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mifumo mingi ya serikali imelala, asilimia kubwa ya Wanachi tunaumia sana

    Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi. Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi asasi za serikali. Aidha uadulifu ni dhana na kiungo muhimu Sana katika kulisukuma gurudumu hili la...
  5. JamiiForums Tanzania Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

    The Radford Family Noel (50) na Sue (46) Radford walikuwa mayatima na walikutana wakiwa wadogo. Sue alipata mimba akiwa na umri wa miaka 14 huku Noel akiwa na 18. Walikaa bila kongeza mtoto hadi walipooana binti akiwa na miaka 17. Tangia wakati huo karibu kila mwaka Sue huwa na ujauzito...
  6. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanywa pombe ni watu wenye mipango mizuri ya maendeleo

    Connection nyingi za kazi mara nyingi utazikuta Bar. Ukiwasikiliza walevi mazungumzo yao huwa ni ya maendeleo tu kama ujenzi, harusi, miradi mbalimbali n.k Kazi yangu ya mwisho (temporary) nimeipatia Bar baada ya kuhangaika for 4 yrs. Na kazi inayofuata (naiombea iwe) imepatikania kwa kuwa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania CEO Barbra na wenzako hapo Simba SC ni kweli mna deal kubwa zaidi ya Azam TV?

    Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical benchi au hata kuanza kuelekezwa kujenga majukwaa uwanjani kule Bunju. sababu ya pili ni kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha kama mji wetu mkuu wa kitalii una Hoteli yoyote inayomilikiwa na brand kubwa?

    eti, ni hoteli gani Arusha inamilikiwa na franchise kubwa ya hoteli? brands kama Serena, Sheraton, Kempinski, Hyatt nk, ipo?
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

    Habari Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. . Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa akili hii ya Prof. Sospeter Muhongo, nadhani yeye sasa ndiyo wa kujengewa sanamu upesi sana

    “Siamini sana Kama ujenzi wa Sanamu ni ishara tosha ya kumkumbuka hayati, Bali ingejengwa shule au taasisi ya kurahisisha Huduma za kijamii ikaitwa jina la anayetaka kukumbukwa na si sanamu “ Professor Sospeter Muhongo. Chanzo: Tanzania Abroad TV Kama kuna Profesa ambaye nina uhakika Uprofesa...
  11. JamiiForums Tanzania Sisi Yanga tunashukuru tena Msimu huu Tumefikia lengo letu kumfunga Simba. Hilo ndilo lilikuwa kubwa kwetu

    Nadhani Simba bado mnaugulia kipigo. Poleni sana. Sisi tunaendelea na kufurahia na ushindi wetu dhidi yenu msimu huu. Hilo ndilo lilikuwa lengo letu kubwa na tunashukuru tumefanikiwa sana. Hayo ya Ubingwa si big deal. Wala hatuna presha na mpira au ligi. Tunaendelea ku enjoy ushindi wetu. Na...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Wasaidizi wake wapunguze pressure; support aliyonayo ni kubwa sana

    Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani hawatapata sapoti ambayo polisi wanadhani itakuwepo, punguzeni mihemko ya kitoto. Tena kama...
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauzwa vitu mbalimbali (Pazia, Chuma za Pazia, Net, Kava za Makochi, Mashuka nk)

    Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi? SALE SALE SALE Sofa la mmoja ni 30000 Sofa la wawili ni 44,000 Sofa la watatu ni 54,000 ●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo 1: Hazipauki wala kuchuja...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya: inawezekana CHADEMA wana baraka za Rais ila kwa siri kubwa

    Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya. CHADEMA wanaweza kuendelea na hii agenda bila vikwazo huku MATAGA wakiwa hawelewi halafu mwisho wa siku Mama anawaunga...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

    Habari Wakuu, Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule? Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu, wanaondoka mmoja baada ya mwingine, huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

    Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno. SOURCE TBC 1 SIKU...
  17. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba kubwa kwenye kiwanja hekari 1 na nusu - Madale

    Habari! Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa: 1. Sebule kubwa (6M × 8M) 2. Dining room kubwa (4M x 4M) 3. Jiko kubwa (3M x 5M) 4. Vyumba vitatu vikubwa, kimoja master 5. Public toilet 6. Stoo kubwa. 7. Kuna miembe na miti...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kusafirsha mwili au maiti toka nchi za nje Ni gharama kubwa sana

    Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
  19. JamiiForums Tanzania Web developers let's change Tanzania's government web applications look and feel!

    Wakuu za kushinda, natumaini ni wazima wa afya, moja kwa moja nishukuru wadau wote pamoja na kuwa hatufahamiani ila laweza kuwa wazo zuri na jema, mtapendekeza wenyewe. Nilikaa chini na kutafakari kwa kifupi wala si kwa kina hivyo nimeleta hoja hii wadau mchambue tuone. Hizi interface za...
  20. JamiiForums Tanzania Fremu kubwa sana ya biashara inapangishwa mbezi mwisho

    Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center na nyingine nyingi. Bei ya kupanga fremu ni laki tano kwa mwezi . Ukihitaji kuona fremu nicheki 📞...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…