kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Sebastian Kapufi: Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi

    Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi na idadi ndogo ya wazalishaji . Tutaishia kutamani kujenga madarasa mengi, kuongeza madawati lakini kwa kupitia idadi ya watu ndipo tunaweza kupanga mambo mengine" Mbunge Sebastian Kapufi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nasikia eti mnazitamani tena BUREAU DE CHANGE mmesahau pigo la APRIL 30,2015?

    Anguko kubwa la thamani ya sh ya tanzania lilishuhudiwa mwaka 2015 april, ambapo kwa muda wa mwezi mmoja thamani ya shilingi ya Tanzania ilipolomaka toka sh 1650 kwa dola moja hadi sh 2010 kwa dola moja, hili lilikuwa ni anguko la asilimia 21% ndani ya mwezi mmoja. Hints: Tukio hili lilitokea...
  3. JamiiForums Tanzania ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

    Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa Fastjet. Mfano kama...
  4. JamiiForums Tanzania TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho. Tofauti ya mteja wa TANESCO na...
  5. JamiiForums Tanzania Ibrah na Baba Levo busara ni kukaa kimya

    Moja kati ya principle yangu ya Maisha ni kutoingilia ugomvi kati ya mtu na mtu..Kama ugomvi haunihusu, huwa nakaa neutral kabisaa maana unaweza kujitoa muhanga halafu kesho ukaumbuka. 1. IBRAH Sijui kama aliwaza mara mbili kabla ya kufanya alichofanya sijui kama alijaribu kuifikiria nafasi...
  6. JamiiForums Tanzania Dune: Naisubiria hii movie kwa hamu kubwa

    Hii movie inatokana na kitabu kinachoitwa Dune kilichoandikwa na Frank Albert mwaka 1965. Kitabu kimebase kwenye sayari moja inayoitwa Arakis ambapo kiungo adimu na ghali kiitwacho melange kinapatikana. Lakini sayari hiyo ni jangwa na kuna minyoo wakubwa sana na hatari wanaoishi chini ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ujinga na kukosa exposure ni tatizo kubwa sana kwa wana CCM wengi

    Amani iwe kwenu wadau! Watanzania wote ni mashuhuda kwa jinsi gani Magufuli alivyoliharibu Taifa hili kwa miaka yake 5 na miezi 4 aliyokaa madarakani Alama kuu ya uchumi kuwa vizuri kwenye nchi ni kwa jinsi gani hali ya maisha ya watu wa nchi iyo inavyoboreka na kuwa Nzuri siku hadi siku. Alama...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa hospitali kubwa kama hii

    Habari wakuu, Leo nimeamua kuwachana live maana mmezidi hii ni mara ya pili Mama angu amepewa dawa zilizoisha mda wake shame on you tena wauaji wakubwa. Mama 'angu amekua akisumbuliwa na kisukari so hua anachukulia dawa katka Hospital ya ILEMBULA kwa hili hapana hao watu wanaoiba dawa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania DC wa Hai Ole Sabaya akiachwa, basi mjue kuna tatizo kubwa huko mbele

    Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe. Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili/ wanasheria wa Tanzania sikilize questioning ya Pulmonologist by prosection kuhusu kesi ya George Floyd, kuna knowledge kubwa ya kujifunza

    Kuna live prosecution, very interesting kuna maarifa makubwa mtayapata katika kesi za mauaji. Jebra, Lisu, na wengine fuatilia.
  11. JamiiForums Tanzania 2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031? Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila nimeona Waganda hatunaga nao mivutano sana ukilinganisha na Kenya. Uganda imetupa dili la bomba la...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu nyingine kubwa kwa taifa letu - Naiona CCM kuendelea kuwa juu miaka100

    Wale wanaoanzisha vyama pinzani na wakitumia vyama hivyo kwa maslahi yao binafsi wajue tuu kushika dola itaendelea kuwa ndoto kwao. CCM ni chama tawala chenye misingi imara sana, chama kimeweka mizizi kwa wananchi kwenye Chama kimejenga wanachama makini na imara sana ambao ndio viongozi wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa 'body language' tu ya Mama azungumzapo huhitaji Akili Kubwa kujua ya kwamba...

    1. Baba Mbabe alikuwa hamshirikishi na huenda hata alitamani Kuachana nae. 2. Ushauri wake ulikuwa ukipuuzwa na kudharauliwa na Baba. 3. Hali ngumu ya Maisha imemkwaza Mama japo Baba aliona anatukomesha. 4. Aliwaamini sana Waliodharauliwa na Baba ambao walikuwa Weledi kuliko aliyowateua Yeye...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Dkt. Magufuli chaacha sintofahamu kubwa kwa wafanyakazi

    Tukiwa bado tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu, mchapa kazi hodari, mtu wa matokeo, msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inatumika kwa malengo husika na aliyetufundisha mengi na hasa uthubutu wa kuyaendea mambo. Kwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania As Vita rasmi wamekiri Simba ni team ngumu kubwa isiyozuilika

    Habari mbaya sana kwa deportivo la utopolo ambao kwa sasa wanalalamika kwa nini team ya 13 kwa ubora Africa ambayo very soon itaingia top 10 imeamua kuachana na yutong la sportspesa la 2010 (linalofanana na team ya 74 kwa ubora afrika mbaya zaidi bila aibu sportspesa wanatoa pesa sawa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu naona katua Dar leo. Tetesi zinasema atafanya ziara kwenye taasisi kubwa mbili hivi karibuni

    Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka. Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize. Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
  17. D

    JamiiForums Tanzania Wakristu tumebipiwa na shetani naomba tumpigie kwa sherehe kubwa tufufuke na kristo

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema! Kipindi cha kwaresma huwa ni kipindi cha kuyatafakari matendo makuu ya Mungu! Wapo wanadamu wanaothubutu kujitwalia utukufu wa Mungu! Lakini kamwe Mungu atabaki kuwa Mungu na wala hachunguziki! Skukuu ya pasaka ni siku ya furaha kubwa ya ufufuo wa Yesu...
  18. JamiiForums Tanzania CCM lipo tatizo kwa sasa, tena kubwa sana. Hawamkubali Mama?

    Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo. Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes)...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

    Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii tunahenya , makadirio ya kodi kubwa , vitendea kazi tunavyoagiza kutoka nje ya nchi zikiwemo matirio...
  20. JamiiForums Tanzania Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

    Kesho Lissu yupo Straight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane. Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…