Kwanini kuna tofauti kubwa ya gharama za usafiri kwa kampuni za Uber na Bolt? Je, mamlaka za usimamizi zinachukua hatua gani?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,203
4,677
Wadau nimeshangazwa sana na tofauti kubwa ya gharama za kutumia usafiri unaotolewa na Kampuni mbalimbali kwa utaratibu wa Kisasa

Kwa mfano kutoka Upanga hadi Tegeta Kwa Ndevu kwa kutumia usafiri wa aina moja lakini kampuni tofauti , Tofauti ya gharama ni Tsh 6,000!

Wazoefu wa masuala ya usafiri wa Kisasa watupe uzoefu

Screenshot_20201007-071435.png
Screenshot_20201007-071402.png
Screenshot_20201007-074549.png
Screenshot_20201007-074223.png
 
Wadau nimeshangazwa sana na tofauti kubwa ya gharama za kutumia usafiri unaotolewa na Kampuni mbalimbali kwa utaratibu wa Kisasa

Kwa mfano kutoka Upanga hadi Tegeta Kwa Ndevu kwa kutumia usafiri wa aina moja lakini kampuni tofauti , Tofauti ya gharama ni Tsh 6,000!

Wazoefu wa masuala ya usafiri wa Kisasa watupe uzoefu

Ni kweli. Ila kinacholeta utofauti ni uendeshaji wa kampuni kwa hao wamiliki. Pia kila kampuni ina miiko yake na njia zake za kupata wateja na faida.
 
Bei ya colgate na whitedent
Bei ya Tecno na SAMSUNG
Nk....

Mtoa mada punguza wenge.
 
Back
Top Bottom