kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    Ukrainian President Volodymyr Zelensky said the Ukrainian army has already destroyed more than 1,000 Russian tanks, nearly 200 Russian aircraft, and almost 2,500 armored fighting vehicles. Despite these losses, Russian troops still have equipment to launch additional attacks, Zelensky said...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa huu ndio wakati wako kutupatia skendo za ufisadi kama huko nyuma ulivyofanya

    Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana. Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo. Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi kurudi kwa kasi ya 5g. Huu ndio wakati wa kuwalipua mafisadi. Wasiliana na jamaa zako ili wakupe...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utalii, una kazi kubwa sana

    Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view. #Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  5. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za makampuni makubwa ya kiteknolojia duniani yameichagua Kenya

    Ananias Edgar ambaye ni Mtanzania ambaye huwa namkubali kwa video zake nzuri anaeleza kwamba makampuni kubwa za kiteknolojia duniani kama Google, Visa na Microsoft zinakuja Kenya kwa sababu Kenya hakuna kukatika katika kwa umeme. Miundo mbinu ya umeme ni dhabiti.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Gesi ya Urusi haikwepeki ulaya: Aidha uingie mkataba mwenyewe na Urusi au Uinunue kwa aliyeingia mkataba na Urusi kwa bei kubwa zaidi!

    Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo, Poland, September 13, 2014. © Getty Images / NurPhoto Poland on Wednesday significantly raised its...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gesi ya Urusi haikwepeki ulaya: Aidha uingie mkataba mwenyewe na Urusi au Uinunue kwa aliyeingia mkataba na Urusi kwa bei kubwa zaidi!

    Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo, Poland, September 13, 2014. © Getty Images / NurPhoto Poland on Wednesday significantly raised its...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kisiasa yasiyozingatia maslahi ya wananchi: Bulgaria ni mfano halisi, yaachana na gesi rahisi na kugeukia gesi ya bei kubwa!

    Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuzaa si kazi, kazi kubwa ni kulea

    Lilian na Vivian walikuwa majirani, wote wawili wazazi wao walikuwa maofisa waandamizi serikalini. Wote walisoma Kenya shule ya msingi na upili na walikwenda vyuoni Ulaya. Lilian alibahatika kuolewa baada ya masomo, alipata watoto wawili wa kike na wa kiume. Wa kike aliitwa Tyrana wa kiume...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais kujali uzinduzi wa movie kuliko Siku Muhimu ya Muungano ni aibu kubwa sana

    Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania. Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo. Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msekwa: Aliposaini hati ya muungano, Nyerere alipiga wine kwa furaha. Asema muungano ulitawaliwa na siri kubwa

    Mzee Msekwa amesema wakati muungano unaasisiwa yeye alikuwa ni Katibu wa bunge na ndiye aliyeupeleka Ikulu muswada huo baada ya kupitishwa na bunge ili ukasainiwe na iwe sheria. Mzee Msekwa anasema alipofika Ikulu na kumweleza Rais kuwa wabunge wote kwa kauli moja wamepitisha mswada wa muungano...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kumsifu rais Samia

    Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake. Mama amefungua mipaka. Wawekezaji wameanza kumiminika. Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa. Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kwanini kila mtu au asilimia kubwa wamekuwa mitume au Mapasta au watumishi? Je, ni ugumu wa maisha!

    Leo katika pita pita zangu kila nilipokuwa nakaa tu anatokea kijana eti anataka aniombee yeye ni pasta. Sasa Mimi nilikuwa nakunali tu ili kuwachora. Leo nimeombewa kitaa na zaidi ya mapasta watano. Makanisa nayo yamekuwa utitiri huku mtaani kiasi ambacho nchi imekosa uelekeo kila mtu anaona...
  14. I

    JamiiForums Tanzania E-VAT FILLING SYSTEM UNA CHANGAMOTO KUBWA!!!!

    Napongeza marekebisho yanayofanywa na TRA kwenye ukusanyaji wa mapato kwa kutumia njia za kielektroniki. Mabadiliko hayo ni pamoja na mfumo mpya wa kuwasilisha ritani za VAT ambapo mfumo ulioboreshwa na kuanza kutumika kwa mwezi machi 2022 una changamoto kubwa. Kwamba kawaida risiti...
  15. Poker

    JamiiForums Tanzania Sauti yenye thamani kubwa duniani yatunukiwa tuzo na UN

    David Attenborough champion of the earth by UN! Ndio yule mtangazaji maarufu na pendwa duniani ambae inaaminika sauti yake inathamani ya USD dollar billions aliezaliwa huko uingereza mwaka 1926 amepewa tuzo hiyo kutokana na mchango wake katika mabadiliko ya hali ya hewa na dunia asilia na viumbe...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kufanya siasa yahitaji afya ya akili kubwa, Uongozi wa ACT Wazalendo chini ya Zitto, akili hiyo hawana, ila kutumia frusa wanaweza!

    Wasalaam Mimi si mwandishi mzuri, lakini twende hivi! Mbali na kwamba Chadema siipendi hasa kwa tukio la 2015, lakini hawa jamaa wanauongozi wenye watu waliojaliwa kuwa na akili kubwa sana, Hawa watu, wamepitia mambo magumu mno mbali na kuwa na ushawishi Mkubwa kwa jamii, lakini hakuna...
  17. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba tuna tatizo kubwa sana la uongozi wenye uwezo

    Duniani kote hatua kubwa za kimaendeleo zinaathiriwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa kisiasa. Hawa ndio hutoa maamuzi ya mwisho kuhusu mstakabali wa Taifa. Hivyo tutake tustake lazima viongozi wetu wakuu wa kisiasa wawe akili kubwa, na wawe weledi. Anzia Marekani, njoo Uingereza, pita hapo...
  18. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

    Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

    Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tulitegemea uzinduzi wa Royal Tour uwe mubashara kwenye TV kubwa kubwa

    Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa ungefunga screen kadhaa maeneo yenye watu wengi watu wawe sehemu ya mashuhuda wa tukio la uzinduzi...
Back
Top Bottom