kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili zaidi ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Bandari Salama, bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria

    Kishindo kikuu 'Bandari Salama', bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria. Kaa tayari kujua. Kuna jamaa kaandika; "It's our Vessel called Frontier Ace is coming direct from Singapore carrying 4342 units. Accordingly to Vessel Captain tomorrow morning at 0900Lts confirmed will be...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani 'Bunge Live' imerejeshwa kwa moja ya sababu ipi labda Kubwa hapa?

    1. Kuwaambia Watanzania kuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa ni Dikteta na ana Roho Mbaya sana? 2. Kumtafutia Sifa na Umaarufu Rais wa sasa Samia kwa Gharama ya Maamuzi ya iliyokuwa Serikali ya Rais Hayati Rais Dkt. Magufuli ambayo Rais wa sasa Samia nae alikuwa ni sehemu yake.? 3...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Simba ni kubwa Afrika. Comments za baadhi ya Waafrika Kusini wakiogopa Simba kupangwa na Orlando Pirates

    Ni vile tu tumezungukwa na majinga sana nchi hii ila simba kwa sasa ishajiweka kwenye level fulani kubwa sana soma mwenyewe comments za wana orlando pirates wakitamani wasipangwe na simba kwenye draw ya kesho.
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kinana: CCM ni kubwa kuliko Serikali

    "Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!" Huu...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

    Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Kafara' Kubwa na la Hatari tulilofanya ukithubutu kwenda Kuwapokea Gendamarie kwa 'Kiherehere' chako tusilaumiane

    Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa alilofanya Ndugai Jimboni mwake ni lipi?

    Wengi wanamkumbuka kwa kuchukia washindani wake. Ama iwe ndani ya Chama au wa nje ya Chama. Hapendi kabisa kushindana. Huyu ana mbinu ya KiMasai ukimshinda ni bifu kubwa mno hivyo hata fimbo anakulamba nayo ukikaa kizembe zembe. Kwa sasa mjadala ni mkubwa Jimboni kwake. Wanatamani kama vile...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuwavalisha sare za shule matabibu Ni fedheha kubwa mno.

    Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tamasha kubwa la Wavuvi laja

    Tamasha kubwa litakalojulikana kwa jina la Wavuvi Festival &Culture Tourism Tanzania liko njiani kufanyika kwa siku mfululizo jijini Dar es Salaam likiwa ni la kwanza katika historia ya nchi. Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Alphone Mkama, Wavuvi Festival litafanyika kwenye Ufukwe wa Coco...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

    Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia. Source: BBC
  14. bernard10

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yafanya majaribio makubwa tangu 2017

    Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017, huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
  15. mkenya wa kova

    JamiiForums Tanzania Serengeti Lager kubwa inafoka

    Ni kwa mda mrefu kidogo nimekua nikiwa nchini Tanzania natumia bia ya Serengeti Lager, hii ni vile taste yake kidogo inakalibiana na bia ya balozi ya Kenya. Sasa kwa kipindi hiki nina kama week moja na nusu niko nchini na nikiitisha hii bia waiter akifungua inafoka, na inamwagika kama 25% hivi...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Video: Suala la Steve Nyerere na Shirikisho la Muziki vita kubwa ya kisiasa nyuma ya pazia

    Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo. Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo. Video: Global TV
  17. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata Storage kubwa ya disk?

    Habari zenu wadau Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi? Je itakuwa ni disk moja au mengi? Je maximum hard disk ni kiasi gani? Je kwa Bongo yanapatikana?
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi

    Kuna njia au namna za kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi. Ni vizuri ukajua kuzitofautisha. Njia utakazotumia kutafuta mke/mume ni tofauti na njia utakazotumia kutafuta mpenzi. Ukijichanganya kwenye hizo njia, mwisho wake huwa ni kilio; mfano ulitumia njia za kutafuta mpenzi ili upate...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania itapiga hatua kubwa ya maendeleo pale wakoloni watakaporudi upya

    Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia! Tutasubiri sana! Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama! Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya...
  20. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya Umoja katika kuwezesha kutatua changamoto kubwa za maisha zinapokujia

    Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. UTANGULIZI Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
Back
Top Bottom