kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siku utakayofanikiwa mambo yatakuwa hivi kwa sehemu kubwa

    Kwema Wakuu! Siku utakayofanikiwa Wale uliodhani utawakomesha, utawaringishia wengi wao watakuwa hawapo, watakuwa wamekufa! Siku utakapofanikiwa wengi WA watu uliokuwa unawaonea aibu na kuwahofia watakudharau usifanye kazi fulani watakuwa wamekufa, au utagundua hakuna aliyekuwa anafuatilia...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, nguvu kubwa ya Simba SC iwe ni katika hamasa ya Mitaani au kuiandaa timu Kisayansi (Kiufundi) ili ishinde?

    Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za Hamasa na Tambo za Hekaya za Abunuasi?
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 wanaCCM wengi watakihama chama chao directly or indirectly. Na huenda ikawa sababu ya anguko kubwa kwa CCM

    Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama. Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila. Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya serikali kutenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuisapoti Simba SC

    Hakuna ubishi kuwa Simba ndio nembo ya Taifa hili kwenye medani za kimataifa ngazi ya klabu barani Afrika. Simba imekuwa tunu ya Taifa hili hakika tunapaswa kujivunia, huko nyuma tulikuwa wanyonge timu kutoka nje ya nchi zilikuja na kujibebea pointi na kuondoka zao. Hivi sasa kuna klabu gani...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kuwa na Mbunge kama Musukuma ambae anadhania kuwa Mbunge ni kinga ya kutokukamatwa kama akifanya makosa ya jinai.

    Taifa letu linarudishwa nyuma sababu ya kuwa na wanasiasa wanaojali upuuzi huku wakipoteza kodi za watanzania kujadili masuala yasiyo na na maana Bungeni. Yaani mtu akiwa Mbunge ndio watumishi wake wasikamatwe kwa kupakia samaki waliovuliwa kinyume na sheria? Askari gani ambae hana weledi...
  7. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania TARURA na mfumo wa maegesho kuna tatizo kubwa

    Nakumbuka mwanzo mwezi wa oktoba 2021 mfumo huu ulipokuja ulikuwa na changamoto nyingi mpaka ikabidi usimamishwe kwanza ili kuangalia namna mpya ya mfumo unavyofanua kazi ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji wa maegesho.Lakini cha kushangaza mfumo huu umerudi na mbaya zaidi tatizo badala kuwa...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Dunia kwa sasa haina tena taifa kubwa

    Kushindwa kwa Urusi kuiteka Ukraine kwa haraka na kukimbizwa Marekani kule Afghanistan na wanamgambo wa Taliban kumedhihirisha kwa mara nyengine kuwa kwa sasa dunia hakuna tena taifa kubwa. Baada ya Urusi kupeleka msururu mrefu wa vikosi vya jeshi vinavyofikia kilomita 4 kuuzunguka mji mkuu wa...
  9. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Simu ya tsh 240,000/= kutoka Tecno yenye sifa kubwa zaidi

    Hii ni habari njema kwa watumiaji wa simu janja. Kampuni ya yetu imezindua simu janja SPARK 8C ambayo inapatikana kwa bei poa kabisa ya Tsh 240,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 2GB na Tsh 290,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 3GB. Katika simu hiyo kuna teknologia ya “Memory fusion”. Unaweza...
  10. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili ya ile ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  11. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili zaidi ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Bandari Salama, bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria

    Kishindo kikuu 'Bandari Salama', bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria. Kaa tayari kujua. Kuna jamaa kaandika; "It's our Vessel called Frontier Ace is coming direct from Singapore carrying 4342 units. Accordingly to Vessel Captain tomorrow morning at 0900Lts confirmed will be...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani 'Bunge Live' imerejeshwa kwa moja ya sababu ipi labda Kubwa hapa?

    1. Kuwaambia Watanzania kuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa ni Dikteta na ana Roho Mbaya sana? 2. Kumtafutia Sifa na Umaarufu Rais wa sasa Samia kwa Gharama ya Maamuzi ya iliyokuwa Serikali ya Rais Hayati Rais Dkt. Magufuli ambayo Rais wa sasa Samia nae alikuwa ni sehemu yake.? 3...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Simba ni kubwa Afrika. Comments za baadhi ya Waafrika Kusini wakiogopa Simba kupangwa na Orlando Pirates

    Ni vile tu tumezungukwa na majinga sana nchi hii ila simba kwa sasa ishajiweka kwenye level fulani kubwa sana soma mwenyewe comments za wana orlando pirates wakitamani wasipangwe na simba kwenye draw ya kesho.
  15. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kinana: CCM ni kubwa kuliko Serikali

    "Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!" Huu...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

    Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Kafara' Kubwa na la Hatari tulilofanya ukithubutu kwenda Kuwapokea Gendamarie kwa 'Kiherehere' chako tusilaumiane

    Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa alilofanya Ndugai Jimboni mwake ni lipi?

    Wengi wanamkumbuka kwa kuchukia washindani wake. Ama iwe ndani ya Chama au wa nje ya Chama. Hapendi kabisa kushindana. Huyu ana mbinu ya KiMasai ukimshinda ni bifu kubwa mno hivyo hata fimbo anakulamba nayo ukikaa kizembe zembe. Kwa sasa mjadala ni mkubwa Jimboni kwake. Wanatamani kama vile...
Back
Top Bottom