kuanzisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umuzukuru

    JamiiForums Tanzania Tulio tayari tuungane kuanzisha kikundi cha muziki

    Habari wakuu natumaini mko poa na wazima wa afya Niende kwenye mada husika Kuna msemo usemao kuwa "umoja na nguvu na utengano ni udhaifu" hivyo basi mimi kama kijana Mwenye ndoto na malengo ya kujikomboa kimaisha kupitia fani ya Muziki kuna wazo limenijia la kutafuta watu ili tuweze...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba nchi za Magharibi zinatengeneza makundi ya kigaidi kwa makusudi?

    Mara nyingi ninapofuatilia mijadala inayohusu ugaidi, kuna kambi mbalimbali za mawazo. Wengine wanasema ( mfano"Mashehe wa Uamsho" au "Watuhumiwa halisi wa ugaidi Tanzania")"Hakuna ugaidi, ni propaganda za nchi za Magharibi tu", . Wakati utetezi huo ukisemwa, tunaona kweli vurugu na mauaji ya...
  3. Website design

    JamiiForums Tanzania WAZO LA BIASHARA : Njoo uwekeze katika wazo hili la biashara linaloenda na wakati wa kisasa uendeshaji wake ni rahisi sana

    Habari Mimi ni mtaalamu wa masuala ya I.T Nimefanikiwa kutengeneza mobile apps za food delivery kama ambavyo ilivyokuwa inafanya kazi jumiafood au ubereats Hapa kunakuwa na apps 3 ambazo ni 1.application ya mteja anaye order chakula 2.application ya mmiliki wa restaurant ambaye anakuwa...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: RITA Kuanzisha mfumo wa usajili wa ndoa kwa njia ya Mtandao

    Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa. “Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya 191 kwenye mwaka huu, kitu pekee walichofanikiwa Chadema ni kuanzisha mikutano Twitter

    Hamna CCM imara kama upinzani ni dhaifu, Chadema fanyeni kujitahidi hili kuleta amsha amsha ndani ya nchi. Kwa kifupi mtu akisema Chadema imepoteza dira anakuwa yuko sahihi sana. Ebu tujikumbushe baadhi ya vitu vilivyofanywa na Chadema mwaka huu. Kuwatoa wabunge 19 bungeni (hapa chadema...
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuanzisha duka mtandaoni

    Kwa mana rahisi tunaweza kufasili duka la mtandaoni kuwa ni jukwaa maalumu kwaajili ya kuuzia bidha au huduma mtandaoni. Mfano wa maduka ya mtandaoni ni Amazon, Ebay, Jumia market, na Kikuu .Bidhaa unazoweza kuzifungulia duka mtandao ni, vitabu, vifaa umeme, mavazi na kadhalika. Zipo faida...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Duka la vifaa vya umeme na Plumbing

    Habari za Mchana wadau. Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara

    🏃‍♂️ HATUA YA 2 YA BIASHARA ✍🏿 karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara. 🔽 Hatua ya pili ni kitafuta ujuzi wa biashara uliyo ichagua, kujifunza ni muhimu sana kuliko hata mtaji, make...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kampuni inaweza kuanzisha ligi ya mpira wa miguu tofauti na hii iliyo chini ya TFF?

    Habari wakuu, Hapa namaanisha kampuni inataka kuwekeza kwenye mpira wa miguu. Inatafita viwanja vyake, kwa kukodi au kwa kujenga. Kisha inatafuta timu na kuanzisha ligi yake. Mapato ya mlangoni na haki za matangazo inachukua. Yaani kampuni inaendesha kila kitu, inakuwa haiko chini ya TF wala...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara

    HATUA ZA KUANZA BIASHARA 🖊️ Biashara ni kitu kizuri ila kinaweza kuwa kitu kibaya( itategemea na matokeo uyapatayo) 🎤 Ukizngatia hatu muhimu 10 biashara itakuwa ni kitu kizuri kwako *. 1. Kuwa na wazo zuri la biashara* 💧 Jambo la kwanza ni kuwa na wazo la biashara ambalo litakufanya wewe...
  11. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani Dar affordable kuanzisha maisha ukiwa na familia yako?

    Wanandugu ninataka wa kuanzisha maisha nikiwa na familia yangu nikiwa na mke wangu na pamoja na mtoto wangu Hivyo ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar kuanzisha maisha ambapo ninaweza kupanga vyumba viwili at affordable price na eneo nitakaloishi lisiwe la gharama hivyo naomba kufahamu...
  12. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini ni muhimu sana kuajiriwa au kujitolea kwanza kabla ya kuanzisha Biashara yako

    Tatizo la ajira linazidi kuwa janga kubwa sana afrika na dunia na soko la ajira zitazidi kuwa baya zaidi miaka kadhaa baadaye baada ya dunia kuendelea kuamini juu teknolojia ya roboti kuliko binadamu katika kufanya kazi kwa weledi , kulalamika tu kwamba tumesoma na hakuna ajira huku tukiendelea...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

    Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu. Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara. Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzisha shule za michezo mikoa yote nchini

    Serikali imesema ipo kwenye hatua za mwisho za kuanzisha shule maalum za michezo, za msingi na sekondari, katika mikoa yote nchini lengo likiwa ni kuwa na shule na vituo maalum vya kuendelezea vipaji vya michezo (sports academies). Akizungumza kwenye Sherehe za kufunga mashindano ya Michezo na...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Muda muafaka wa kuanzisha tovuti ya ongea na Rais Samia

    Habari wakuu, Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake. Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu...
  16. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Azampay mbioni kuanzisha Azampesa

    For mobile money companies to convert more transactions from cash to digital, they need to segment the market more effectively. "The P2P transaction fee business model does not address all the use cases," said Ahmad, Azampay CEO. While virtual goods such as airtime, TV payments and electricity...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wazo la kuanzisha Jamiiforums Veteran

    Habarini wakuu. Nimekaa nikawaza. Binafsi napenda sana kucheza soka la kujifurahisha. Nimekaa nikawaza tunaweza humu watu kadhaa tukajipanga tukaja na timu yetu ya maveteran umri kuanzia miaka 27 kwenda mbele ambapo tutajipanga na kukubaliana kwa lengo la kutafuta mechi za kirafiki na timu...
  18. Blue G

    JamiiForums Tanzania Mwonekano mzuri huvutia kuanzisha Mahusiano, Utu au Tabia nzuri ndio hudumisha mahusiano

    Habarini Wana MMU, Nimekuwa nikijaribu kufikiria hii kauli ya "mke sio sura bali tabia" na matumizi yake,wengi hasa vijana wa siku hizi wanaichukulia kauli hii kama kauli iliyopitwa na wakati hasa kwa kuwa vijana wengi siku hizi ni wazee wa pisi kali wakiamini kuwa na pisi kali au smart...
  19. Merci

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unaweza kuanzisha timu ya mpira wa miguu kuchochea ajira na 'legacy' yako

    Ahsante sana mama yetu mheshimiwa rais kwa kuanza kuja maeneo yetu sisi wananchi wako kututembelea, tumekuona na umesikia na kufahamu adha mbalimbali tunazopata na hata kuwachukulia hatua watendaji mbalimbali ambao hawaleti ubunifu katika kutatua kero zetu au hata kuongeza ugumu wa maisha...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kabla ya kuanzisha Benki ya Vijana tujiulize Benki ya wanawake na Wakulima zimekwama wapi? Dirisha la vijana katika benki zetu linatosha?

    Nilimsikia Rais wetu mpendwa Mama Samia akisema tuanzishe Benki ya Vijana. Kwa kuwa alileta wazo, basi mimi naongezea katika wazo lake, Benki zilizopo zinatosha, ila serikali iweke dirisha maalum kwa ajili ya vijana. Nina maana kwamba, kama serikali ilipanga kutumia bilioni hamsini kuanzisha...
Back
Top Bottom