Je, ni kweli kwamba nchi za Magharibi zinatengeneza makundi ya kigaidi kwa makusudi?

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,798
11,881
Mara nyingi ninapofuatilia mijadala inayohusu ugaidi, kuna kambi mbalimbali za mawazo. Wengine wanasema ( mfano"Mashehe wa Uamsho" au "Watuhumiwa halisi wa ugaidi Tanzania")"Hakuna ugaidi, ni propaganda za nchi za Magharibi tu", .

Wakati utetezi huo ukisemwa, tunaona kweli vurugu na mauaji ya kikatili na ambayo yanaafanywa kwa watu wote wasiokuwa kwenye vikundi vya magaidi, yakilenga hasa wananchi wa hizo nchi za Magharibi na wanaofanana nao.

Mara nyingine kumekuwa na utetezi kwamba "Sheria ya ugaidi, inakandamiza uislam", lakini ukiuliza uhusiano uliopo kati ya uislam na ugaidi, hakuna kinachojibiwa.

Ila kuna wengine wanasema "Magaidi si Maislam", wakati wakisema hivo, hao magaidi wanasema wanafanya hayo kwa kuwa allah amesema hivyo, ala ambaye ni mungu wa waislam. Na hata kwenye vitabu vyao ukisoma unaona kula aya zinaagiza kuwapigana vita dhidi ya walengwa wa ugaidi.

Mara zingine, vikundi vya kigaidi vinasema, si wapiganaji wote wanakipigania kile kinachomaanishwa na founders wa hivyo vikundi kwa kuwa mara nyingi vina localized agenda kama, "kutaka kuwa na supreme power katika jamii", "Kutafuta influence", Kujihami na visasi", Kupigania dini",. n.k. Lakini wengine wanajiunga na makundi ya kigaidi kwa kutafuta jamii za kuwapa satisfaction ya kuwa recognized; kutafuta ajira; frustrations; ignorance, dini n.k.
KIPI NI KIPI?

NI kweli kwamba nchi za Magharibi zinatengeneza makundi ya kigaidi kwa makusudi ? Tuanze kwa kumsikiliza huyu HEZIBOLLAH.

 
Wengi maamuma Shehena ila wana wa HAJIRI maisha yao ni ya visasi tu na wanamtetea "mola" wao kwa mitusi na upanga hata dini yao huenezwa kwa nguvu nyingi na sio ushawishi
 
Military industrial complex--read about them..Dwight Eisenhower aliileta hiyo term...kampuni kama Raytheon leo hii mfanyakazi Wao wa zamani ni waziri wa ulinzi Marekani..ndio maana Trump alipingwa sana
 
Back
Top Bottom