kuamini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema Rushwa imetembea Dodoma Jiji FC hamtaki Kuamini

    Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa? Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana? Huu Mpira walioucheza Dodoma Jjji FC Kipindi cha Pili walikuwa wapi Kuucheza Kipindi cha Kwanza? Hivi Kipa Makini anaweza...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushirikina walioufanya Simba ugenini ni kutuchafua watanzania, Vitendo vyao vina madhara makubwa sana juu ya fikra za wageni kwa watanzania kiujumla

    Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo. Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ? Hiki kilichofanyik ni kinyume...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu hizi, nalazimika kuamini Zanzibar hawana tatizo la Ajira

    Poleni na majukumu wakuu na hope mko na afya njema, wanaosumbulia na maradhi namuomba mwenyezi MUNGU awaponye na warudi kwenye hali zao za kawaida. Basi bhana! Wazo la kuandika uzi huu limekuja baada ya kuingia huko ajira portal nikiwa ninadhumuni la kuangalia matokeo ya written interview ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuamini haya yanatokea, why kill innocent people? Mungu awe pamoja na wote wanaoadhirika na vita hii

    Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona. Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii. Vyombo vinavyosukia pia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

    Naona watu wengi mitandaoni wanajadili namna majaji wanavyopatikana. Watu wanahoji 1. Jaji anapatikana Kwa kupanda vyeo serikalini? 2. Wanapatikana Kwa UMAHIRI? 3. Wanatokana na perminmance nzuri kwenye private sector? 4. Wanatoakana na ukubwa wa GPA? 5. Wanatokana na mahusiano Yao na wanasiasa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Jumanne Sagini: Serikali haihusiki na matukio ya moto

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa serikali haihusiki na matukio ya moto yaliyotokea katika baadhi ya mikoa nchini na itawachukulia hatua watakaobainika kuhusika na matukio hayo. Chanzo: itvtz Endeleeni kudhani wote tu hatuna Akili. Nitakuwa wa mwisho...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Humphrey Polepole ni kuamini alikuwa " the chosen one" na sasa ameathirika kisaikolojia

    'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana lakini bado naikumbuka mpaka kesho I we usingizin au penginepo. Kutokana na usia huo naweza kusema Mimi...
  8. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

    Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao. Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia utendaji kazi wa Rais Samia, PM Majaliwa na VP Mpango, huwezi kuamini awamu ya tano walikuwa wamoja na Hayati Magufuli

    Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao. Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba chama cha upinzani kikishika madaraka kitaleta maendeleo ni kujidanganya!!

    Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao. Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Moto jirani na hosteli za UDSM wateketeza vibanda vya wafanyabiashara

    Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Yanga inakata upepo kipindi cha pili

    Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani kunufaika nazo. Mara nyingi timu inayokata upepo aiwezi ikacheza mechi zaidi ya moja bila kuruusu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika umeshindwa kutengeneza chanjo ya COVID-19?

    Kuna tatizo kubwa Afrika, Yaani hata kwa kuunganisha Nguvu zetu kwa pamoja kuja na chanjo moja imeshindikana, tunabaki kuwapa pongezi kubwa wazungu kwa kutuletea chanjo. maisha ya mwafrika yapo mikononi mwa mzungu. Sasa tuna Uhuru gani? Uhuru wa kupandisha bendera na kushusha basi. Uhuru wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

    Ameandika Evans Rubara I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.
  15. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Freeman Mbowe ni gaidi

    Nitakuwa wa mwisho kwa akili zangu kuamini kua Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe Freeman Mbowe ni GAIDI kwa sababu zilizo wazi kabisa. Mbowe hana chembe chembe za ugaidi na ni ajabu kuamini eti yeye ni gaidi. Sababu za kunifanya niamini kua Mbowe si gaidi ni hizi: 1. Mbowe ndiye kiongozi pekee...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

    Asikudanganye Mtu popote pale ulipo kuwa kauli za Watu waliokufa namaanisha Marehemu wakizisema huwa hazitimii. Ni kwamba huwa hawatanii kabisa na wayasemayo hutokea na hutimia. Mwaka jana nilihudhuria Msiba Mmoja ambapo kumbe Marehemu wakati anakata Roho alisema akifa azikwe Dar es Salaam na...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

    Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni 1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia rekodi za Askofu Gwajima napata mashaka kuamini hichi anachokizungumza leo

    kusema ukweli Askofu Gwajima amekua na tabia ya kuzikana kauli zake anazozungumza, hii inanipa shida sana kuamini kama hiki anachokisimamia leo hatakikana, hebu tufuatilie kidogo hizi clips fupi fupi sana hapa askofu alizungumza wazi wazi mbele ya waumini wake na kutuhumu dini za watu lakini...
Back
Top Bottom