Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama.
Ichukulie kama ni wewe.
Unauhakika wa kupata 20M cash,
Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu.
Una vyombo na kitanda tuu,
Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale...
Risk ni kwamba ukichukua umechukua...
Sio mara ya Kwanza Mungu kuwafanya wanaomufuata Mungu.
Ili Musa amvae Farao ambaye kwa kimisri alikuwa anahadhi ya muungu alimfanya kuwa mungu kwa farao.
Kuna watu ni miungu, kuna miungu mingi, ukiwaface kama binadamu watakushinda, lazima uvae cheo chako cha umungu ili uwe juu yao.
Biblia...
Mtanisamehe kwa mada hii inayoweza kuleta ukakasi ila hili ni Jukwaa huru.
Tumekuwa tukiambiwa kuwa alietuweka hapa duniani alifanya hivyo ili tumuabudu. Binafsi hili swala kwangu linanifanya nikjiule maswali mengi sana;
1. Yaani alijichosa kisa tu kuabudiwa?
Na kama ni kweli ili tumuabudui...
Na hakuna asiejua kwamba hizi timu mbili zote simba na yanga zina kamati maalum za wataalam wa mambo ya kiroho ila simba huwa inafanya wazi.
Tetesi zilizopo ni kwamba katika marekebisho ya uwanja, Yanga walitumia mwanya huu kupenyeza wataalam kubaini na kuziondoa ndumba za Simba,
magreda...
Tupo zama za kidijitali,
Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra).
Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini...
Muonekano wa sasa wa Aunty Ezekiel umetushtua watu wengi sana
Japo Aunty alikuwa na kishepu fulani hivi tangu hapo awali ila kwa sasa mmmmmmmmmmh surgery imehusika hapa tusidanganyanee 😂😂😂😂😂😂
Aunty Kawa na mshepu wa haja ghafla na kuonesha msisistizo katuonesha liiiive ili tusije tukasema ni...
Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana.
Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu.
Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi unajikuta huna option nyingine.
Ktk Class unakuta kuna wasiachana kama letsay 20 kwente darasa la...
Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi.
Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki.
Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.
Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.
Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
Nimeona taarifa ya Tanesco kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo chake cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo na kusababisha upungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kwenye mfumo, hivyo baadhi ya maeneo kwenye mikoa yanakosa umeme nyakati tofauti.
Nimempigia...
Nasoma post nyingi hapa zimeondoka kwenye hoja na kuhamia kwenye Udini; mfano kamata kamata inayoendelea na idadi ya wapinga hoja ya bandari imeleta picha kwamba watu dini moja kwa pamoja bila kujali vyama wanakubaliana na kinachoendelea wakiwemo hata wapinzani.
Upande wa pili hali inaonyesha...
Sauti ya Rais ni faraja,
Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi
Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo
Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!
Kila upande...
Na ndio maana elimu ya uzazi hupewa tangu tulipokuwa darasa la saba na huko sekondari form 3, ni sababu wengine wanakuwa washaanza kufanya ama kushawishiana kuanza michezo hii.
Binafsi nakumbuka shuleni kwetu darasa la sita mwaka 2004, darasani wengi tulikuwa na miaka 12 hadi 14, wengine...
Hili suala nilikua nalisikia tu lakini sasa niko asilimia nyingi kuamini kua kuna wanawake ukiwanao au ukikutana nao wanakua na bahati sana.
Kuna mdada kila tukikutana baada ya hapo nitapata habari njema, nashangaa sana.
Ni kweli haya mambo yapo au ni coincidence tu?
Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia.
Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano.
Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa.
Njoo nikejeli, nitukane ila Jumamosi utakuja kusema nilitabiri. Naandika hivi nikifahamu vyema home...
Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni...
Wanaoamani Mungu hutumia uumbaji kama hoja kuu ya kuamini Mungu yupo, siwalaumu because after all bila uumbaji tusingekuwepo kubishana hapa kama mungu yupo au la! Na uwepo wake usingekuwa na maana.
Hoja yao ipo hivi:
1. kila kitu kilichopo kina chanzo hakiwezi kutokea from nothing,
2. Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.