kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaosoma kozi kama Bsc in Physics, Bsc in Chemistry, Bsc in Mathematics huwa mnapanga kuja kuwa kina nani hasa?🤣

    Hawa wasomi wanashangaza. Hivi ninyi ni walimu?🤣 Hivi taaluma yenu mnaijua kweli. Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ? Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣 Anyway, mimi sijui.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

    Habari za saa hii wakuu Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni 1.Clinical medicine 2.medical lab 3.dentristry 4.pharmacy 5.physiotherapy...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini kozi fupi za madereva NIT ni gharama sana?

    Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu! Hivi hiki chuo si serikali jaman? Kozi ya mwezi mmoja laki nne. Wanyonge wanasaidiwaje maana wengi hawana uwezo huo wa kumudu hzo gharama.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ajira za watu waliosomea Human Resource Management

    Nijulisheni kuhusu Ajira za watu waliosoma Human Resource Menagment na pia kwa aliemaliza degree ajiendeleze na Kozi zipi? Au asomee skills ipi?
  5. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Kwani Ufaulu Kidato cha nne ni lazima ili Kusomea Ufundi?

    Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi? Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha ufaulu kidato cha nne? Nielimisheni tafadhali.
  6. L

    JamiiForums Tanzania kuhusu udahili kozi za afya stashahada na astashada 2021/2022

    jamani nilikuwa naomba kuuliza dirisha la udahili kwa kozi za afya september intake kwa ngazi za stashahada na astashahada kwa mwaka wa masomo 2021/2022 litafunguliwa lini kwa vyuo vya serikali?! msaada tafadhali
  7. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Amesoma kombi ya HGE, kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university?

    Hamjambo wana JamiiForum? Naombeni mnijuze, mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha. Amesoma kombi ya HGE, hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? Natanguliza shukurani kwenu.
  8. Political stability

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa machache kuhusu Chuo cha Wanyamapori Pasiansi

    Wakuu habari za mihangaiko.. Nilikuwa naomba, kujuzwa vitu vifuatavyo kuhusu chuo cha wanyapori , Pasiansi wildlife, kilichopo Mwanza. 1. Sifa za kujiunga na hicho chuo 2. Kozi zitolewazo 3. Kozi ni za muda gani 4. Gharama (ada) 5. Na baada ya kuhitimu, upatikanaji wa ajira upoje NB...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kati ya kozi ya Public Health na Health System Management

    Habar ya kazi wakuu, nahitaji kusoma masters. Naomba mwenye uelewa wa hizi kozi ipi ni nzuri zaidi na ni Vyuo gani hutoa hizi kozi. Asanteni
  10. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wahitimu wa kozi za ualimu na kozi nyingine

    Habari za wakati huu; Wakati ukiendelea kutuma barua kuomba ajira katika sehemu mbalimbali unaweza pia kutumia elimu yako kutafuta solution ya moja ya changamoto za elimu ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya masomo ya ziada.Baadhi ya Masomo ya ziada unaweza ukayatoa kwa njia ya VIDEO-YOU TUBE,Au...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Wizara ya Nishati: Nashauri uandaaji wa rasilimali watu ya mafuta na gesi usimamishwe

    Poleni na majukumu yote hapo wizarani. Sina mengi sana ya kuandika ila ninao ushauri tu. Nao ni, Ninawashauri msitishe kuandaa rasilimali watu ya mafuta na gesi kwa sababu tayari wasomi wa kozi za mafuta na gesi wameshakuwa wengi ukilinganisha na ajira zilizopo na zitakazo kuwepo. Idadi...
  12. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
  13. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?

    Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo? Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
  14. Mkalifumbi

    JamiiForums Tanzania Je naweza soma Kozi fupi VETA halafu nikaenda diploma

    Habari zenu Wana JF, Mtu aliyesoma veta kozi ya muda mfupi anaweza kusoma diploma?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya afya kozi ya clinical medicine MARCH, 2021 intake

    Naomba anayejua vyuo vya afya vinavyochukua MARCH intake 2021 aniwekee hapa. Kiwe na Clinical Medicine please.
  16. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Ili niweze kufanya kazi TTCL natakiwa nisomee masomo gani na kozi gani chuoni?

    Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye. Je, HGL yangu ya div 2 inatosha? Au kuna somo inabidi niyareseat? Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
  17. FredMaria

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hivi naweza kupata nafasi chuo cha VETA Kozi ya Umeme miaka miwili Kigoma au Chato?

    Habar wana JF. Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika mwaka huu) nimeingia kwenye website mbali mbali lakin sikufanikiw kupata mawasiliano na uongoz husika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo na kubadilisha kozi

    Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
  19. EJOSMAT

    JamiiForums Tanzania Jifunze Computer na ujuzi ujiajiri

    JIFUNZE SOFTWARE ZA UCHORAJI VITU KAMA RAMANI ZA NYUMBA, BARABARA , RELI N.K TUNAFUNDISHA SOFTWARE ZIFUATAZO 1.AUTOCAD 2.ARCHICAD 3.CIVIL 3D 4.REVIT ARCHITECTURE 5.EPANET 6.PROKON 7.PROTA 8.MASTERSERIES JIFUNZE UJIAJILI , PESA YAKO ITARUDI KWA PROJECT MOJA TU WASILIANA NASI KWA SIMU 0767 267...
  20. Little brain

    JamiiForums Tanzania Kozi nzuri ya computer

    habari.. Wadau kuna dogo amemaliza form 4 anadai anataka kusomea kompyuta.je ni kozi gani nzuri(inayoenda na upepo wa ajira kwa sasa) asanteni..
Back
Top Bottom