kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada katika uchaguzi wa kozi

    Mawazo yote yanaheshimiwa, Msaada unahitajika kwa wahitimu wa diploma. Ni kozi gani zinaweza kuwa na uwanja mpana kwa government, private na hata kujiajiri kati ya hizi? 1: Bachelor of Community Development 2: Bachelor in Human Resources Management 3: Bachelor in Economics 4: Bachelor in...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Natumai mu wazima wa afya. Pole kwa wanaoumwa, Mungu awajaalie mkapate afya njema. Nimeona niwashauri kuhusu kozi na taaluma za kuwa nazo, vijana wetu wenye lengo la kwenda kujitolea JKT ili baadae waje kupata nafasi ya kuandikishwa JWTZ kwa urahisi. Kijana, kama una nia ya kuja kulitumikia...
  3. Kaka jambazi 9

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya Bachelor in Roads and Railway Logistics and Management pale NIT

    Wadau naombeni ushauri kuhusu kozi ya bachelor degree in roads and railway logistics and management pale NIT. 1. kazi zake hapo baadae. Nina one ya 9 ya HGL
  4. Kelela

    JamiiForums Tanzania Ni kozi gani nisome ili niweze kujifunza matumizi ya Ultrasound?

    Habari, Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound? Na pia ni vyuo gani wanatoa kozi hiyo? Natanguliza Shukurani.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ni nzuri kwa mwalimu wa shule ya msingi?

    Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani? Ufaulu div 3.13 HGK Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nani amefanya kozi ya Bsc Agric investment and banking Sua? Je, kwa mtu wa CBG mwenye EEC anaweza pata?

    Wakuu, naomba mtu mwenye uzoefu na kozi tajwa ili nione kama naweza kumusaidia mtoto mawazo. Anaonekana kuipenda lakini hana details. Asante
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science

    Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science. Na ina utofauti gani na BAF
  8. Twyn

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu nisome kozi gani?

    Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
  9. ngotho

    JamiiForums Tanzania Kozi zinazohusisha matumizi ya kompyuta..

    wakuu Habarini za saiz.. tumsifu yesu kristo.. Bwana yesu asifiwe... salam alihekum... wakuu wangu kuna swala dogo sana linanisumbua akili ... naombeni mnieleweshe .. ivi kozi zote zinazohusisha matumizi ya kompyuta kv.. it, bachelor of sciences information technology.. computer sciences...
  10. hiram

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ana Division ONE HKL anataka kuchukua Journalism nimpe ushauri gani?

    Mdogo wangu amepata matokeo hayo je journalism inalipa?
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kozi ya kusoma chuo kikuu

    .
  12. G

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ili uweze kuchagua kozi sahihi chuoni

    Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya sayansi asilia pamoja na hesabu(CNMS), Hivyo nimebahatika kula, kuishi, kujadili, kuongelea na kulala...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wanaohitimu PCM wanaweza kusoma kozi gani?

    Wakuu hii mada naomba tuijadili hapa. Binafsi kama sioni fyucha ya vijana wa PCM Tanzania. Haijalishi kapiga one kali au ya kawaida. Mada ni hii hapa mezani. Je, Wanaohitimu PCM wanafyucha kwenye kozi gani?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa ukweli kuhusu kozi mpya NIT

    Habari wadau poleni na majukumu, Nasikia kuna kozi mpya ama imepewa jina lingine, zamani ni Shipping and Port Management, sasa hivi inaitwa Cargo Shipping, je kuna anaejua ukweli wa hizi taarifa?
  15. ngotho

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Architecture kwa kombi ya EGM

    Wakuu wangu natanguliza salaamu zangu za dhati na shukurani nikiamini mpo wazima. Wakuu kwa heshima yenu ningependa kujua kutoka kwenu eti aliyesoma Combination ya EGM anaweza kusomea cozi ya architecture?? Nasikia eti hii kozi ni nzuri lakini kiundani zaidi sijajua inakuwaje. Naombeni...
  16. frenderPH

    JamiiForums Tanzania Chuo gani ni kizuri katika kufundisha kozi ya Sheria?

    Wadau inakuaje? Ninapenda kujua chuo gani ni kizuri kinachotoa elimu nzuri ya Sheria 'coz mdogo angu anataka ajue mapema vyuo atakavyo-apply. Kaniomba nimsaidie alafu mimi sijasoma kozi kama yake; kwhiyo inaniwia ngumu kutambua. Lakini wadau wa JF hamtashindwa kunisaidia naombeni vyuo vitano...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu juu ya kozi hii ya kijana wangu!

    Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma. Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake. Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Ushauri kuhusu Programs za Kuomba chuo kwa wanafunzi wa kidato cha sita waliosoma masomo ya sanaa

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, kwa tunaosubiria matokeo ya kidato Cha sita tunaomba mliopita/mliopo & mnaofahamu juu ya kozi mbalimbali vyuoni mtupatie ushauri kwamba kwa watu wenye division Fulani wasithubutu kuziomba Bali waombe kozi Fulani (mfano tunasikia kwamba sheria UDSM na Mzumbe ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kozi gani huwezi kumshauri mtu asome?

    Thread
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kijana kachaguliwa Kozi ya Record Management

    Wadau naomba ushauri, kuna kijana wangu kapata division 3 yenye flat c tano za HGL, HGK atc lakini kachaguliwa kwenda Chuo cha Utumishi wa Umma cha Records Management-SINGIDA. Mnaushauri gani juu ya hii kozi- Fursa na mengineyo.
Back
Top Bottom