Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Bsc in Range Management

Hassan malika

Member
Oct 15, 2020
36
24
Habari wana JF,

Naomba kufahamishwa kuhusu kozi ya Bsc in Range Management inayotolewa pale SUA inahusu nini?
 
Mkuu unamaanixha nn unavyosema equivalent ndio wengi? Af mkuu vp hiyo kozi na education ukikompare for now days?
Mara mia na education mkuu... Equivalent ni wenye diploma ndugu na mostly wanaosoma na wenye diploma za mifugo au range yenyewe... Bora hata education ukiwa mjanja hutakufa njaa ila hyo range kwa ushauri wangu dont persue it...
 
Sawa mkuu nimekuelewa lakini nasikia ukichange coz mzigo wa loan unasumbua kuhamisha mkuu!
 
Kapambane ubadili hy course,ikishindikana acha utaomba upya mwakani....nange mngt, animal health sio nzuri sana kwa freshers.
 
Back
Top Bottom