Naomba kufahamu hii kozi kutoka SUA Biotechnology and laboratory sciences

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,526
Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake..
Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences

Nawakaribisha.
 
Wapigie simu, namba yao ipo kwenye website yao.
 
Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake..
Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences

Nawakaribisha.
Ina deal na mambo ya maabara..sana sana sample za wanyama. Wanasoma kozi kama microbiology l, molecular na haematology.

Hadi sasa hivo haipo chini ya wizara maalumu kama ilivo Bsc. Microbiology ya udsm(sina uhakika sana kwa microbiology).

Kazi zake wanafanyia sana kwenye maabara za wanyama(TVLA).
 
Asante mkuu
 
Nicheki pm nikuunganishe na jamaa zangu waligraduate hapo years back.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Ina deal na mambo ya maabara..sana sana sample za wanyama. Wanasoma kozi kama microbiology l, molecular na haematology.

Hadi sasa hivo haipo chini ya wizara maalumu kama ilivo Bsc. Microbiology ya udsm(sina uhakika sana kwa microbiology).

Kazi zake wanafanyia sana kwenye maabara za wanyama(TVLA).

Si kweli kuwa wanaspecialize tu kwenye maabara za wanyama, wamegeneralize mpaka mahospitalini wengi tu wapo.

Kinachotokea ni kuwa kwa kuwa BLS ipo chini ya college ya Vet kwa pale sua basi majaribio mengi wanafanyia kwa wanyama.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Si kweli kuwa wanaspecialize tu kwenye maabara za wanyama, wamegeneralize mpaka mahospitalini wengi tu wapo.

Kinachotokea ni kuwa kwa kuwa BLS ipo chini ya college ya Vet kwa pale sua basi majaribio mengi wanafanyia kwa wanyama.

Let's meet at the top, cheers 🍻
Ina deal na mambo ya maabara..sana sana sample za wanyama.

Hapo juu nimesema sana sana kwa wanyama kwa sababu wao hawawezi ajiriwa hospitali za binadamu ingawa field wanaweza kufanya katika hospitali za binadamu.
 
Kigezo kipi kinafanya wasiajiriwe kwenye hospital za binadamu?

Ni wapi umesoma au kuambiwa kuwa bls ya sua imespecialize kwa wanyawa tu?

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Kigezo kipi kinafanya wasiajiriwe kwenye hospital za binadamu?
•hawapo chini ya wizara maalumu hadi sasa
•mitaala yao imebase sana kwa wanyama
•wanasema hawasomi anatomy ya binadamu kama wenzao wa labaratory owa hiyo watawezaje kukusanya sample(draw blood kwenye vein).
 
I wanted to hear something like this, you nailed and you're very right man, unajua unachokizungumza, Ila speaking of laboratories hawa watu wana opportunities nyingi sana kufanya huko iwe hospitals etc na ndio wengi wanapokimbilia now though hawapo kwenye wizara maalumu.

let's meet at the top, cheers 🍻
 
Zamani walikuwa wanaajiriwa kwenye maabara za ma hospital ila Sasa hivi hawaajirili,
 
Back
Top Bottom