kodi

  1. Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

    Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile.. Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania.. 1. Rais wa Tanzania 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu...
  2. N

    Yaani mimi nimlipe mwenye nyumba kodi ya Jengo kupitia LUKU?

    Wakuu, itoshe tu kusema Serikali ya CCM imechoka na haina mbinu mpya tena Mawaziri na Wabunge hawana lolote la msingi wanaloweza kufanya kwa sasa Mimi mpangaji mnanilipisha kodi ya jengo? hivi mlikaa kabisa mkanywa na chai mkalipwa na posho mkatoka na hii idea? Nilikuwa namkubali sana Mama...
  3. P

    Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  4. Wakiambiwa wabuni vyanzo vya mapato wanafikiria kuongeza kodi?

    Sasa ukiongeza kodi ndiyo umebuni nini? Kuna ubunifu gani hapo? Badala ya kuumiza kichwa uchumi ukue ili uweze pata kodi ya kutosha wewe unaongeza kodi, ambayo nayo ni hatari kwa uchumi kukua, harafu unasema 'tumebuni' vyanzo vya mapato! Tutafute njia za kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi...
  5. Kodi lazima ikusanywe bila Kubembelezana

    Wakuu mambo ya fedha bana huwa hayana kufake kabisa hayo sio siasa. Chungu kikiyumba lazima impact yake imguse kila mtu. Wafanyabiashara wa kubwa iwe wa asili ya kiasia au wa bongo wote hu invest pesa nyingi ili kukwepa kodi ili waweze kumaximize profit za biashara zao ,hivyo hao watu sio wa...
  6. L

    Dr. Mwigulu apongezwa Iramba licha ya kulalamikiwa kuhusu kodi za miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  7. Matakwa na matamanio ya wananchi ndiyo chanzo cha kupanda kwa matumizi ya serikali na kodi za kuyahimili

    Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani. Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na...
  8. Katika hali na mazingira haya, ukimuuliza mbunge wako kwanini yeye halipi kodi kwenye kipato chake, unadhani atatoa utetezi gani ukamwelewa?

    Hii video ina-trend kwa kasi sana kwenye social media platforms mbalimbali WhatsApp, FB, Instagram, Telegram, Twitter nk nk. Ukweli huu umewakera wengi sana hususani wanapohusianisha na kodi hizi hatari za tozo kwenye miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu walizopitisha juzi...
  9. J

    Waziri Mwigullu tuondolee hiyo kodi ya kizalendo kwenye Sadaka za Bwana siku za Dominica kwa njia ya miamala!

    Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba. Kwa kifupi sana: Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  10. Kuna vyanzo vingi vya mapato serikali ingeweza kuvibuni bila kuongeza kodi

    Kando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo vya kulipia, kwa wenye maduka wataingia bure kwani kodi yao inachangia huduma za choo. Halmashauri...
  11. Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  12. Hayati Magufuli: Tunafukuzana na watoto Masikini kuwaomba kodi; Kodi tuliyopewa na Mungu hatuishughulikii

    Nukuu kutoka kwa Kaka , Hayati John Pombe Magufuli kuhusu kunyonya kodi kwa watu wa hali ya chini. Well said.
  13. SoC01 Serikali itumie wafungwa kama chanzo cha mapato. Iondoe Kodi inayokata kwenye Miamala ya Simu

    Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote. Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
  14. M

    Ukistaajabu tozo za miamala kuna na hili la Kodi ya Jengo kulipwa kutumia LUKU

    Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi. Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa ajili ya ambition binafsi, badala ya kuteua watu ambao wana principles zao, ambao wanawaza faida za...
  15. SoC01 Umuhimu wa kila Mtanzania kuyaelewa masuala ya kodi

    Katika hali ya kawaida, kila mtu mwenye kipato lazima kwa njia moja au nyingine ajikute analipa kodi. Kodi inaweza kulipwa kupitia manunuzi/matumizi, mshahara, biashara, au uwekezaji.Kwa utangulizi huo ni wazi kwamba karibia kila mtu lazima anaswe na mtego wa kodi. Ni kwa sababu hiyo naona...
  16. K

    Kodi zingetozwa kwenye harusi ingefaa sana

    Napendekeza Serikali ianze kuangalia suala la kodi kwenye harusi. Binafsi kwa mwaka nachangia karibu laki sita kwenye shughuli za sherehe za harusi. Huko nakunywa soda zisizozidi 6 na maji madogo 6 pamoja na chakula ambacho nikiagiza hotelini hakizidi sh.elfu 60 yaani milo sita. Sasa...
  17. J

    Mahusiano ya Kodi na Hali ya Uchumi kwa Wananchi

    Lazima kuwe na MAHUSIANO kati ya gharama za Kodi na uchumi wa WANANCHI kwa taifa lolote nyingi. Haiwezekani kuwe na Taifa linye Kodi kubwa kuliko uchumi wa mmoja mmoja kwenye hilo Taifa ndio maana TAIFA lenye Kodi nyingi ni mataifa ambayo kipato Cha mmoja mmoja katika Hilo taifa NI kikubwa...
  18. Kodi bado inapotea na kukwepwa sana..

    Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi.. Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani.. Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ... Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au...
  19. Kodi bado inapotea na kukwepwa sana..

    Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi.. Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani.. Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ... Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au...
  20. K

    Hakuna Mlipa Kodi anayependa kodi! Serikali na wananchi wajue hili

    Watanzania wengi walikuwa wanafikiri kodi ni kitu cha watu wengine! Sasa ndiyo wanajua ni lazima kulipa kodi. Zile risiti ambazo tulikuwa hatuziombi ni pesa ambazo serikali imekosa na sasa tunalipa wote. Wale machinga ambao mlikuwa mnawashangilia wauze bila kodi sasa ndiyo mnajua kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…