kodi

  1. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kutoa mapendekezo ya vyanzo vya Kodi kwa Taifa, serikali inasikia kupitia njia ipi?

    Bado ninaamini serikali makini itakuwa na mfumo rahisi na wa wazi kupokea maoni mbalimbali tulionao wananchi juu ya mapendekezo Kodi zitoke wapi na mambo mengine. Hivi kwanini ndugulile akaongezewa kitengo kingine hiyo wizara ya mawasiliano, wakatengeneza data base inayoweza kupokea na kuchuja...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Suluhu kwenye kodi ya kizalendo

    Kimtazamo, kodi hii ni muhimu lakini haitekelezeki. Kodi hii huwezi kuita progressive maana imegusa maisha ya wananchi ambao hata basic needs ni shida. Yaani lower end zile charges ni exorbitant. Nini kifanyike; Tozo zitoe nafuu mpaka 50k TZS na kwenye miamala ya juu yake ziwe ndogo ili ku...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Msingi wa hii dhana kuwa wanasiasa wasilipe kodi, wasishitakiwe inatoka wapi?

    Huwaga nashindwa kuelewa. Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa. Mbaya zaidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe. Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
  4. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

    Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile.. Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania.. 1. Rais wa Tanzania 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yaani mimi nimlipe mwenye nyumba kodi ya Jengo kupitia LUKU?

    Wakuu, itoshe tu kusema Serikali ya CCM imechoka na haina mbinu mpya tena Mawaziri na Wabunge hawana lolote la msingi wanaloweza kufanya kwa sasa Mimi mpangaji mnanilipisha kodi ya jengo? hivi mlikaa kabisa mkanywa na chai mkalipwa na posho mkatoka na hii idea? Nilikuwa namkubali sana Mama...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Wakiambiwa wabuni vyanzo vya mapato wanafikiria kuongeza kodi?

    Sasa ukiongeza kodi ndiyo umebuni nini? Kuna ubunifu gani hapo? Badala ya kuumiza kichwa uchumi ukue ili uweze pata kodi ya kutosha wewe unaongeza kodi, ambayo nayo ni hatari kwa uchumi kukua, harafu unasema 'tumebuni' vyanzo vya mapato! Tutafute njia za kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi...
  8. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Kodi lazima ikusanywe bila Kubembelezana

    Wakuu mambo ya fedha bana huwa hayana kufake kabisa hayo sio siasa. Chungu kikiyumba lazima impact yake imguse kila mtu. Wafanyabiashara wa kubwa iwe wa asili ya kiasia au wa bongo wote hu invest pesa nyingi ili kukwepa kodi ili waweze kumaximize profit za biashara zao ,hivyo hao watu sio wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu apongezwa Iramba licha ya kulalamikiwa kuhusu kodi za miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Matakwa na matamanio ya wananchi ndiyo chanzo cha kupanda kwa matumizi ya serikali na kodi za kuyahimili

    Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani. Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na...
  11. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Katika hali na mazingira haya, ukimuuliza mbunge wako kwanini yeye halipi kodi kwenye kipato chake, unadhani atatoa utetezi gani ukamwelewa?

    Hii video ina-trend kwa kasi sana kwenye social media platforms mbalimbali WhatsApp, FB, Instagram, Telegram, Twitter nk nk. Ukweli huu umewakera wengi sana hususani wanapohusianisha na kodi hizi hatari za tozo kwenye miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu walizopitisha juzi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigullu tuondolee hiyo kodi ya kizalendo kwenye Sadaka za Bwana siku za Dominica kwa njia ya miamala!

    Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba. Kwa kifupi sana: Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna vyanzo vingi vya mapato serikali ingeweza kuvibuni bila kuongeza kodi

    Kando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo vya kulipia, kwa wenye maduka wataingia bure kwani kodi yao inachangia huduma za choo. Halmashauri...
  14. Mag3

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Tunafukuzana na watoto Masikini kuwaomba kodi; Kodi tuliyopewa na Mungu hatuishughulikii

    Nukuu kutoka kwa Kaka , Hayati John Pombe Magufuli kuhusu kunyonya kodi kwa watu wa hali ya chini. Well said.
  16. Livingson1

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali itumie wafungwa kama chanzo cha mapato. Iondoe Kodi inayokata kwenye Miamala ya Simu

    Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote. Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu tozo za miamala kuna na hili la Kodi ya Jengo kulipwa kutumia LUKU

    Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi. Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa ajili ya ambition binafsi, badala ya kuteua watu ambao wana principles zao, ambao wanawaza faida za...
  18. Camilo_Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kila Mtanzania kuyaelewa masuala ya kodi

    Katika hali ya kawaida, kila mtu mwenye kipato lazima kwa njia moja au nyingine ajikute analipa kodi. Kodi inaweza kulipwa kupitia manunuzi/matumizi, mshahara, biashara, au uwekezaji.Kwa utangulizi huo ni wazi kwamba karibia kila mtu lazima anaswe na mtego wa kodi. Ni kwa sababu hiyo naona...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kodi zingetozwa kwenye harusi ingefaa sana

    Napendekeza Serikali ianze kuangalia suala la kodi kwenye harusi. Binafsi kwa mwaka nachangia karibu laki sita kwenye shughuli za sherehe za harusi. Huko nakunywa soda zisizozidi 6 na maji madogo 6 pamoja na chakula ambacho nikiagiza hotelini hakizidi sh.elfu 60 yaani milo sita. Sasa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kodi na Hali ya Uchumi kwa Wananchi

    Lazima kuwe na MAHUSIANO kati ya gharama za Kodi na uchumi wa WANANCHI kwa taifa lolote nyingi. Haiwezekani kuwe na Taifa linye Kodi kubwa kuliko uchumi wa mmoja mmoja kwenye hilo Taifa ndio maana TAIFA lenye Kodi nyingi ni mataifa ambayo kipato Cha mmoja mmoja katika Hilo taifa NI kikubwa...
Back
Top Bottom