kodi

  1. comte

    JamiiForums Tanzania Kodi kwenye mafuta haiepukiki

  2. S

    JamiiForums Tanzania Kodi kubwa kwenye mafuta ndio chanzo kikuu cha bei ya mafuta kuwa juu nchi hii

    Waulizeni watawala wanatoza kodi kiasi gani kwa kill lita moja ya mafuta yanayoingia nchini ndio mtajua nini hasa chanzo cha hizi bei kuwa juu. Sasa kwakuwa kodi ziko juu, issue ya vita inafanya bei ambazo teyari ziko juu, ziwe juu zaid na hiki ndio kinatutesa leo hii. Suluhisho ni kwa...
  3. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Picha: Manispaa ya Ubungo yazindua kampeni ulipaji kodi kwa hiari

  4. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tusipunguze kodi kwenye mafuta ya kula tuwawezeshe wakulima kuzalisha alizeti kwa wingi bei itashuka yenyewe

    Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na michikichi, tuwasaidie wananchi kuwekeza kwenye mashine za kuchakata mafuta ya kula hasa alizeti...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini waliotajwa kutafuna mabilioni ya pesa ya walipa kodi na CAG, hawachukuliwi hatua za kisheria?

    Ni jambo lilizoeleka kwa mkaguzi mkuu na mdhibiti wa pesa za Serikali (CAG) kuibuka na ripoti kila mwaka, inayoonyesha namna mabilioni ya pesa ya walipa zinavyotafunwa na "wajanja" wachache walioko Serikalini, pasipo kuchukuliwa hatua zozote. Lakini tunashuhudia magereza yetu, yakiwa yamefurika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mkuu wa Nchi huko USA imetugharimu walipa kodi kiasi gani?

    Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500. Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika? Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  9. luangalila

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya mji Kibaha zoezi la Postikodi linahujumiwa

    Nikiwa kama mkazi ndani ya Halmshauri ya mji huu, Kiukweli zoezi la postikodi lina hujumiwa licha ya jitihada ya serikali kuwapa taarifa wananchi mara kwa mara juu ya zoezi hili. Ndani ya halmashauri hii ikiwa leo ni tareh 15 ya mwezi April, kuna kata ambayo sitaitaja zoezi la ukusanyaji wa...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Kwanini ukinunua kitu Zanzibar, ukija nacho Tanzania Bara unatakiwa kulipia kodi?

    Hii kitu inaumiza sana , Tanganyika na Zanzibar ni nchi 2 tofauti tujue kabisa ! Mtu unanunua gari Zanzibar ukija bara unadaiwa tena ushuru , kwanini ? Wataalamu wa Kodi mnaweza nielezea hili kwa nini iwe hivi ? Kama sisi ni nchi 2 tofauti tuelewe basi
  11. FAJES

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba imefika wakati mbadilike sasa, mtuhurumie sisi wapangaji, kodi zilipwe kwa mwezi na si miezi 3,6 wala mwaka

    Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi? Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya wenzetu Kenya kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yliyoundwa nchini Kenya.

    Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya. Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa. Tahadhari kwa...
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba kupandisha kodi je hii nayo inaenda na kupanda bei za mafuta?

    Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine, sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu, maana jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda...
  14. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi na kutoza kodi ya viwanja na nyumba. Je, wananchi wameandaliwa?

    Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Afrika inasomesha vijana kwa pesa za walipa kodi, wakihitimu wanapata kazi USA

  18. comte

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni kucheza na tozo kwenye bei ya mafuta punguzeni kodi ya VAT toka 18 hadi 10

    Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani serikali ipunguze VAT kwenye mafuta ili kuleta suluhisho la kudumu kuliko hili la kutoa tozo.
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mifumo mibovu ya Kodi ndio inafanya Serikali kukosa mapato na watu kukwepa Kodi

    Siku zote serikali inabidi kukaa na wananchi wake kupata mawazo mazuri ambayo kila mtu yata mgusa. Mifumo ya kodi kwa nchi yetu ni mingi na ina msululu usio kuwa na sababu ukimuumiza mtu wa mwisho. Huu ni moja wa mfano tosha: - Unapopanga fremu ya kufanya biashara TRA wanataka kujua mkataba...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Kutoza kodi Mapema kwenye Biashara za mitandaoni kutaua ajira za Vijana wengi na kudumaza e-Commerce

    Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi. Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa Mitandao amesema kutoza kodi mapema kwenye biashara za mitandaoni kutauwa AJIRA za Vijana wengi na...
Back
Top Bottom