kodi

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tuanze kuwatoza kodi wafanyabiashara wanaofanya matangazo ya sauti kwenye maeneo ya biashara

    Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele. Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine. Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo? Ni wakati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TRA inapataje kodi za Kariakoo wakati jamaa hawatoagi risiti

    Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone. Kwanza wana kali moja hiyo, wanakuambia bila risiti bei inapungua, mbili, ukiwa unachukua mzigo mkubwa unapeleka mbali...
  3. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Nafuu ya kodi unapoagiza/kununua gari za Afrika Kusini

    Habari wakuu. Naomba kutoa angalizo ama ufafanuzi kidogo kuhusu nafuu ya kodi pale utakapoagiza gari zilizotengwa South Afrika. Nimeona mijadala mingi humu watu wakisema kuna unafuu mkubwa wa kodi ukiagiza gari South Afrika kuliko Japan. Hilo jambo linaweza kua sahihi ama linaweza kua na...
  4. Pro Biznesi

    JamiiForums Tanzania Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

    Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
  5. bahati93

    JamiiForums Tanzania Huu hapa Mkataba kati ya walipa kodi wa Kenya na Benki ya Exim ya China

    Huu unahusu ile reli yao. Hizi ni punch line. Kwenye mkataba kunakataza mkataba kuweka hadharani, sasa Ruto kaamua kuweka. Pesa zote watakazokopeshwa lazima watumie kununua bidhaa za china. Endapo kenya ata default kwenye mojawapo ya madeni yake mengine, basi nae mchina apewe kipaumbele kwenye...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Tanzania haihitaji kukopa, udhibiti wa mapato yetu uongezwe na wezi wanyongwe!

    Iwapo ripoti za Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali CAG ziatakaposoma upigaji 0.001, na pesa haitoshi ktk kuendesha nchi, hapo ndipo twaweza kwenda kukopa Waziri wa fedha unasini mikopo ya bilioni 500, huku upotevu na wizi wa kodi zetu ni zaidi ya bilion 700, maana yake ni nini.? Form four felia...
  7. P

    JamiiForums Tanzania CCM, mna matatizo ya ubongo.? Miaka miwili kaburini, eti bado anaiba kodi za watanzania

    Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya. Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
  8. Micky driver

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kodi kwa wafanyabiashara

    Habari wana jf Nimekuwa tax consultant kwa miaka miwili sasa katika changamoto nimekutana nazo sugu nipamoja ya tra kwa wafanya biashara watu wengi wamekuwa wakisajili makampuni na kuyatelekeza bila kujua madhara yake ninini? Ambayo imepeleke badae kuwa na madeni makubwa sana leo nataka...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mpangaji anahesabika ni mvamizi mara tu kodi yake inapoisha

    Tarehe 5/10/2022 majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kupitia Rufaa Na. 333/2019 kati ya Lawrence Magesa t/a Jopen pharmacy VS Fatuma Omary na Rimina Auction Mart wamesema kuwa pale mpangaji kodi yake inapoisha na akawa hajaondoka katika nyumba ama eneo la pango, basi hadhi yake inabadilika na...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TRAB na TRAT zasababisha TRA ikose kodi ya Tsh. Trilioni 2.8

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema TRA ilipanga kukusanya kodi ya Tsh. Trilioni 20.7 kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2021 lakini ilikusanya Trilioni 17.89 pekee. Upungufu huo ambao ni 14% umetokana na kutoshughulikiwa ipasavyo kwa Madeni na Mashauri ya Kodi ambayo...
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

    Mbunge Luhaga Mpina amehoji ni kwa nini kampuni ya Symbion ililipwa pesa zaidi ya bilioni Mia tatu bila kutozwa kodi ya Serikali? Amehoji pia ni kwa nini mkataba wa symbion uliokuwa unakoma 2015 ulihuishwa September 2015 bila kufuatwa taratibu na ajabu Serikali kwa uharaka ilikubali kuilipa...
  12. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wananchi Ukerewe waanza kutozwa kodi ya mifugo tena

    Taarifa zinadai kuwa kuna zoezi la ukusanyaji wa kodi ya mifugo linaendelea wilayani Ukerewe. Inadaiwa kuwa Mbuzi na Ng'ombe sasa wanalipiwa kodi. Yaonekana, kuna kodi nyingi zinarudishwa.
  13. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchumi wa Tozo sasa wananchi UKEREWE waanza kutozwa kodi ya mifugo tena

    Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli mitaani. Taarifa niliyorushiwa, kuna zoezi la kodi ya mifugo inaendelea wilayani Ukerewe. Mbuzi na...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwanini tunalipa kodi?

    Hebu tujiulize " Kodi tunayolipa ni kwa matumizi gani?" Tunamfahamu fika kuwa serikali ina vyanzo vingi vya mapato ambayo yanachangia miradi ya maendeleo. Vyanzo hivi ni pamoja na mapato yanayotokana na huduma za bandari, mauzo ya madini na mazao ya kilimo, usafirishaji nk. Kodi tunazolipa kwa...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TRA mmeanza kudai kodi kwa kunyang'anya biashara kama miaka ya nyuma? Ref. Mama Bonge

    Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani. Hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo ama haionekani. Na kodi mnazo bambika watu hazisaidii sana zinaua biashara za watu na watanzania...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi. Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kodi za maskini nchi hii zinatumiwa na matajiri

    Nimekutana na andiko hili la ndugu yetu, nikaona si vibaya tukashea pamoja, maana naona kaandika vitu vingi vya msingi kwa mtazamo wangu, japo sikulazimishi kuamini kama ni kweli au la, msome ndugu Mushi.... 88888888888888 Na Thadei Ole Mushi Kama kuna jambo ambalo nitasimama kidete...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Sri Lanka afuta kodi zote kwenye Taulo za Kike

    Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuwasaidia wanawake na wasichana wasioweza kumudu gharama hizo kutokana na mzozo wa kiuchumi unaolikumba taifa hilo. Ofisi ya Rais Ranil Wickremesinghe imeagiza kufutwa mara moja kwa Ushuru wa Forodha, Ushuru unaolipwa kwenye Viwanja vya Ndege na Kodi nyingine...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa msaidieni Rais. Misamaha ya kodi ni chaka, TRA mpaka wizarani kunanuka rushwa

    Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba! Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Panya road wanauawa kwa risas. Je, wezi wa mabilioni ya kodi za Watanzania wanabakije salama?

    Kundi la vijana wanaojulikana kama Panya road' limekuwa ni tishio kwa wananchi kwa siku za hivi karibuni! Vijana hawa wamekuwa wakitishia usalama wa jamii na hata kufanya mauwaji mbalimbali kwa lengo LA kuiba na kupora kila kilicho mbele ya macho yao! Tunapenda kulishukuru Jeshi la police kwa...
Back
Top Bottom