Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,020
Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.

Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi unaoliandama sio tu afrika bali dunia nzima kutokana na majanga ya Uviko-19 na vita ya Urusi huko Ukraine.

Mtu anayepinga Tozo na Kodi maana yake anapinga Serikali isijenge vituo vya afya na kuboresha huduma za Mama na watoto.

Mtu anayepinga tozo na kodi maana yake anapinga serikali isijenge miundo mbinu ya barabara madaraja na majengo.

Ukipinga tozo na kodi maana yake unapinga serikali isikusanye mapato kwa ajiri ya mishahara ya watumishi, malipo ya huduma mbali mbali kwa wananchi maskini ikiwemo pension kwa wazee.

Mimi naishauri serikali kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa tozo na kodi ili iweze kupokelewa vyema na wananchi woote na yule atakayw rudisha nyuma harakati hizi basi achukuliwe hatua stahiki.

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kazi iendeleee
 
Wazalendo hatupingi tozo.tunachopinga ni matimizi mabaya ya tozo.tozo zinakusanywa na zinapigwa na watu wachache matokeo yake maisha yanazidi kuwa magumu,yaani hakuna cha kuboresah huduma za jamii.Na kingine kwanini kuna ubaguzi kwa tozo?Rais makamu wa rais waziri mkuu na wengine kwa nini wao hawalipi kodi?wapitisha tozo wao wanajiondoa kwenye tozo
 
Wazalendo hatupingi tozo.tunachopinga ni matimizi mabaya ya tozo.tozo zinakusanywa na zinapigwa na watu wachache matokeo yake maisha yanazidi kuwa magumu,yaani hakuna cha kuboresah huduma za jamii.Na kingine kwanini kunaubaguzi kwa rozo?Rais makamu wa rais waziri mkuu na wengine kwa nini wao hawalipi kodi?wapitisha tozo wao wanajiondoa kwenye tozo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawalipi kutoka na previleges walizopewa kwa mujibu wa katiba na sheria za Nchi.
 
qbk4io.jpg

Hebu tucheze kidogo kwanza. 😀
Naipenda Tozonia yangu wewe je?
 
Kiongozi umesahau kuweka namba ya simu kwenye bandiko lako

Hivi mtumishi hawezi kuruhusiwa achukulie mshahara wake kwenye dirisha la mwekahazina wa halmasahuri au manespaa ili aepuke tozo?

Naona gharama za uendeshaji wa benk zipo juu sana
 
Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.

Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi unaoliandama sio tu afrika bali dunia nzima kutokana na majanga ya Uviko-19 na vita ya Urusi huko Ukraine.

Mtu anayepinga Tozo na Kodi maana yake anapinga Serikali isijenge vituo vya afya na kuboresha huduma za Mama na watoto.

Mtu anayepinga tozo na kodi maana yake anapinga serikali isijenge miundo mbinu ya barabara madaraja na majengo.

Ukipinga tozo na kodi maana yake unapinga serikali isikusanye mapato kwa ajiri ya mishahara ya watumishi, malipo ya huduma mbali mbali kwa wananchi maskini ikiwemo pension kwa wazee.

Mimi naishauri serikali kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa tozo na kodi ili iweze kupokelewa vyema na wananchi woote na yule atakayw rudisha nyuma harakati hizi basi achukuliwe hatua stahiki.

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kazi iendeleee
Bado tupo gizani sana .....
 
Hawalipi kutoka na previleges walizopewa kwa mujibu wa katiba na sheria za Nchi.
Hizo previlages zinatakiwa zitolewe ili na wao waanze kulipa.kwa nini nchi tajiri kama japani na marekani viongozi wao wakubwa wanalipa kodi?je tz wao kwa nini wasilipe?.wakiwa wanalipa ndio wataona machungu ya hizi tozo lukuki wanazozipitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.

Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi unaoliandama sio tu afrika bali dunia nzima kutokana na majanga ya Uviko-19 na vita ya Urusi huko Ukraine.

Mtu anayepinga Tozo na Kodi maana yake anapinga Serikali isijenge vituo vya afya na kuboresha huduma za Mama na watoto.

Mtu anayepinga tozo na kodi maana yake anapinga serikali isijenge miundo mbinu ya barabara madaraja na majengo.

Ukipinga tozo na kodi maana yake unapinga serikali isikusanye mapato kwa ajiri ya mishahara ya watumishi, malipo ya huduma mbali mbali kwa wananchi maskini ikiwemo pension kwa wazee.

Mimi naishauri serikali kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa tozo na kodi ili iweze kupokelewa vyema na wananchi woote na yule atakayw rudisha nyuma harakati hizi basi achukuliwe hatua stahiki.

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kazi iendeleee
Acha uchuro wewe. Huwezi kuanzisha tozo kwenye kulipia huduma muhimu za kijamii ambazo ni mahitaji ya msingi ya jamii awe masikini au tajiri. Sasa hivi karibu kila huduma unayolipia lazima ukatwe tozo wakati mlituaminisha kuwa Royal Tour italeta watalii wengi na nchi itaingiza fedha nyingi za kigeni. Sasa iweje tena mnakamua hata ng'ombe asiye na maziwa? Shame on you.
 
Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.

Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi unaoliandama sio tu afrika bali dunia nzima kutokana na majanga ya Uviko-19 na vita ya Urusi huko Ukraine.

Mtu anayepinga Tozo na Kodi maana yake anapinga Serikali isijenge vituo vya afya na kuboresha huduma za Mama na watoto.

Mtu anayepinga tozo na kodi maana yake anapinga serikali isijenge miundo mbinu ya barabara madaraja na majengo.

Ukipinga tozo na kodi maana yake unapinga serikali isikusanye mapato kwa ajiri ya mishahara ya watumishi, malipo ya huduma mbali mbali kwa wananchi maskini ikiwemo pension kwa wazee.

Mimi naishauri serikali kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa tozo na kodi ili iweze kupokelewa vyema na wananchi woote na yule atakayw rudisha nyuma harakati hizi basi achukuliwe hatua stahiki.

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kazi iendeleee
Kwanini unaambatanisha Kodi na Tozo katika chapisho lako?
 
Viwango vya tozo na kodi zote vipandisbwe kwa asilimia mia tano asiyetaka apigwe risasi kama Tundu Lissu,lazima watanyooka tu tunataka maendeleo tuizidi USA.
 
Tuanzishe na tozo ya uzazi... fikiria watoto wanaozaliwa kila siku!
Fikiria pato la serikali kutokana na tozo hii!

Ole wao wanaopenda watoto wengi, watajuta!
Atakayepinga akamatwe apelekwe kwa nguvu Burundi!
 
Back
Top Bottom