Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi.
Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa litawatua akili Chawa wengi waliokuwa wanaihi ishi tu.
Sasa tutakapo sema tunahitaji Katiba Mpya ili kudhibiti na kuwajibisha wafujaji wa mali zetu nadhani tutashirikiana kwa pamoja..
Rais ana nia njema na taifa hili tumpe muda na tuvumilie tutavuka salama.