Tozo/kodi kwenye miamala ya Benki kuweka na kutoa inalipwa pia na mabenki

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
Mwaka 2014 serikali ilitengeneza sheria ya kodi excise duty ambayo mabenki yanatakiwa kulipa 10% ya charges wanazokusanya kwa wateja wake katika kutoa huduma ikiwemo uwekaji na utoaji fedha na sheria hiyo iliweka angalizo kuwa hii 10% ilipwe na benki na sio mteja kwa lengo la kuzuia kubadilika kwa charges hizo na mzigo kwenda kwa mteja.

Sasa wataalamu wanawatoza wateja wa benki kwa kila muamala unaofanywa na wateja. Je, benki zikiathirika na hizi tozo serikali itawasaidia nini?

Gavana BOT anatakiwa kuingilia kati suala hili
 
Back
Top Bottom