Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,158
- 4,534
Wote tunakumbuka miaka ya 2008-2010 jinsi chombo kilivyo kuwa imara katika utoaji wa habari bila upendeleo wa chama chochote cha siasa mengi yaliibuliwa na viongozi wa upinzani
TBC nayo ilikuwa kwenye ubora wake kiasi chake chini ya mkurugenzi wake Tido mhando
Chombo hichi cha habari naona muelekeo wake hakina tena sifa ya kuwa super brand zamani ukitaka upate habari za siasa lazima usubiri saa mbili leo hii mpaka uingie mtandaoni ndio utaona habari za siasa hapa jamiiforum na channel za youtube vyombo vingine kimya
sakata hili la uuzwaji wa bandari kituo cha ITV wameamua kujitoa kabisa kuepuka lamama mikutano inafanyika huko kwenye kanda na majimbo lakini hutoona taarifa zozote zikitolewa wala hutoona taarifa ya kiongozi wa upinzani akihojiwa
Kutokuwa na smartphone kwa karne hii ni hasara kubwa sana tuwape maua yao forum hii ya jamiiforum na channel zingine za youtube jambo tv na zingine