kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na joto la ardhini kikikamilika kitazalisha Megawati 70

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na Umeme wa Joto ardhi kilichopo Kijiji cha Mbeye, Kata ya Isongole. Katika ziara hiyo Haniu ameagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huu kufanya kazi kwa bidii ili...
  2. Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

    Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
  3. Kituo cha polisi Chang'ombe temeke kimulikwe, huyu kijana mnayemfuga (Kadoda) analitia doa sana jeshi la polisi

    Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera. Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka...
  4. CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

    Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu. Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya...
  5. Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida. Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na...
  6. K

    katika utumbuaji, natamani kituo kinachofuata kiwe NSSF .

    Wote waliochukizwa na namna iliyotumiwa na NSSF kwenye ajira kwa kuonesha upendeleo wa wazi tunatamani sana kituo kinachofuata katika utumbuaji kiwe NSSF ili kuwe na nidhamu katika ajira za utumishi wa Umma. Nina imani na Rais wetu Samia Suluhu, ni msikivu na mzingatiaji atasikiliza kilio hiki...
  7. Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

    Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko. Naibu Waziri anazungumza Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine...
  8. KERO Responded Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

    Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600 Pia soma: DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
  9. Mahakama yathibitisha Stella Moses aliyepoteza maisha akiwa Kituo cha Polisi Mburahati alijinyonga

    Mahakama ya Korona Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu hiyo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses ambaye alifariki akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi Mburahati, Desemba 20, 2020, ambapo imesema kifo chake...
  10. Live on TBC: Revo wa TIC Azungumzia Uzinduzi wa Kituo cha Pamoja, TeIW Utakaofanywa na Waziri Mkuu Majaliwa 25 Sept. Mlimani City

    Watch TBC live ! https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wawekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli. Kwa vile sio wote wenye access na TBC saa hizi, nitawaletea kwa uchache yale ya muhimu aliyozungumza. Mkurugenzi...
  11. Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

    Mkuu wa Kituo cha Polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira. Katika tukio hilo la Septemba 18, gari la askari Polisi na Kituo cha polisi kimechomwa moto. IGP hana habari! ============== POLISI YAKIRI KUTOKEA KWA TUKIO HILO Alipoulizwa na JamiiForums kuhusu...
  12. Kituo cha Afya Mundindi Tarafa ya Liganga Kinachokwenda Kuhudumia Wakazi Zaidi ya 40,000 Wilaya ya Ludewa

    TIZAMA PICHA ZA KITUO CHA AFYA MUNDINDI AMBACHO KINAENDA KUHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 40,000 TARAFA YA LIGANGA- KATA YA MUNDINDI, WILAYA YA LUDEWA Wakazi zaidi ya 40,000 wa Tarafa ya Liganga wilayani Ludewa mkoani Njombe wameondokana na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya Km. 50 kufuata huduma ya...
  13. DC Ludewa azindua Kituo cha Afya na Zahanati

    DC LUDEWA AZINDUA KITUO CHA AFYA NA ZAHANATI Na. Damian Kunambi, Njombe. Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amezindua kituo cha afya Mundindi kilichogharimu kiasi cha zaidi ya sh. Mil. 500 ambapo uzinduzi wa kituo hicho uliambatana na mapokezi ya vifaa tiba vvyenye thamani ya sh. Mil...
  14. Gari T887 CKW imeibwa, atakayeiona atoe taarifa kituo cha polisi

    Kwa masikitiko napenda kutoa taarifa kuwa gari inayoonekana pichani imeibwa. Aina ya gari: Nissan Gloria No za usajili T887 CKW Rangi: Nyeusi, iliibwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam. Yeyote atakayeiona atoe taarifa kwa jeshi la polisi. Ahsante kwa ushirikiano. Wako Mmiliki, Bemendazole
  15. Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Atembelea Kituo cha Afya cha Kagongwa, Kahama

    MAKAMU MWENYEKITI UWT MNEC. ZAINAB SHOMARI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KAGONGWA-KAHAMA Makamu mwenyekiti wa UWT MNEC. Zainab Shomari mapema leo Agosti 28.2023 akiwa wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga ametembelea na kukagua kituo cha Afya cha Kagongwa Kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kahama,ikiwa...
  16. Achangisha Milioni 43 Ujenzi Kituo cha Mafunzo cha Wanawake, Watoto na Vijana Kanisa la AICT

    NAIBU WAZIRI MHE. MASANJA ACHANGISHA MILIONI 43 ZA UJENZI KITUO CHA MAFUNZO CHA WANAWAKE, WATOTO NA VIJANA CHA KANISA LA AICT Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb)amechangisha kiasi cha shilingi milioni 43 zitakazotumika kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Mafunzo ya...
  17. Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

    Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani ...
  18. Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  19. Nini sababu ya wasafiri wa vijijini kukaa kila mtu na kituo chake?!

    Moja ya ushahidi wa baadhi ya wanakijiji kutotumia akili ni suala la wao kuchagua apandie wapi gari. Sio kukusanyika kwenye kituo kimoja cha karibu. Unakuta kituo kinafahamika lakini yeye anakaa mita 200 ya kituo anataka gari limfuate. Hata mwingine atakaa mbele kidogo ya mwenzie. Nimeshuhudia...
  20. DOKEZO Kwa mara nyingine tena Kituo cha Daladala Mwisho Mbezi Luis hakuna mwanga, taa zimezima usiku

    Kama kawaida Kituo cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, leo tena Agosti 11, 2023 hakuna mwanga, giza limetawala na kusababisha usumbufu mkubwa wa watumiaji. Hii sio mara ya kwanza wala ya pili kwa hali hii kutolea katika Kituo hiki kilichopo karibu na Stendi Kuu ya Mabasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…