Kituo cha Runinga cha T.B Joshua (Emmanuel TV) kitazima matangazo yake DSTV Januari 17, 2024

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
Just a few hours before the new year, DStv consumers were very alarmed to see a termination notice put up on Emmanuel TV. A christian television channel founded by the former TB Joshua is set to go dark various DStv and GOtv platforms across the country from January 17.

Emmanuel TV is currently one of the most subscribed christian channels on YouTube with over 250 000 active subscribers and nearly two million followers on Facebook. Emmanuel TV’s numerous videos online have amassed well over 200 million views.

Since its beginning in 1993, Scoan has grown to become one of the most sought after christian ministries across the world. The church’s television network, Emmanuel TV, was established in 2006 and has been broadcasting worldwide with a viewership of over 100 million.

In recent years or at least from what several outlets had uncovered, the channel went on a downward spiral telecasting old services. Basically, Emmanuel TV's entire existence revolved on TB Joshua and with his passing there's not much left of an Emmanuel TV.

Management had opted to rather leverage of his legacy instead of trying to restructure Emmanuel TV and look at other means for survival. Aside from MultiChoice, it had also been confirmed that Emmanuel TV will exit StarSat and other pay-tv platforms.

As to whether MultiChoice or affected pay-tv platforms will look into replacing Emmanuel TV. That has yet to be seen but if we had to guess both providers will likely focus on the existing bouquet of religious channels.

Although, Emmanuel TV will cease to exist on most major platforms across the world. The channel will remain on free-to-air HD decoders and put more emphasis toward its online presence through Apple TV or App Store, Roku, Fire TV Stick, Google TV and soon Google Play Store.
 
Vitu vyenye thamani kama Legacy, Biashara kubwa, n.k. kwetu waafrika baba akiondoka huwa anaondoka navyo,

Hakuna watoto ?
Ile sio biashara kama duka, ile ni huduma ya kiroho (kichungaji) ambayo anajaliwa mtu binafsi yaani ule upako anakuwa yeye ndio kajaliwa Sio kama mfano udereva ambao baba anaweza kumfundisha mwanaye naye akawa dereva.

Aliondoka Getrude Lwakatare na huduma yake imebaki kama haipo, kondoo wametawanyika, na ndivyo itakavyokuwa Kwa wengine kama akina Kakobe, Mwamposa na wengineo pale watakapoondoka.
 
Shida ipo kwa wachungaji wenyewe..Hawa watu wakiona kuna mchungaji kijana ni potential..unapigwa zengwe, huwa wenyewe wanataka kumonopolize....Anapokufa kila kitu square one...Hata haya madhehebu makubwa yalianza na mtu mmoja aliye- institutionalize...
 
Wanaogopa uasi. Huyo kuhani Mussa aliondoka na karibia kondoo wote wa boss wake Mzee wa Yesu. Yeye ndiye alikuwa Right hand Man wa mchungaji Mzee wa Yesu.
 
Huwa natafakari sana huu mfano alivyo utoa Bwana Yesu.
IMG_20240107_204108.jpg
IMG_20240107_204108.jpg
 
Wanaogopa uasi. Huyo kuhani Mussa aliondoka na karibia kondoo wote wa boss wake Mzee wa Yesu. Yeye ndiye alikuwa Right hand Man wa mchungaji Mzee wa Yesu.
Hivi Mzee wa Yesu alisharudi nchini? Kuna kipindi alifukuzwa akarudi Congo
 
Yule mama Hana uwezo wa kufanya mazingaumbwe kama mume wake. Fedha zimeisha hata za kulipia muda wa hewani. Wafuatiliaji wa TV hiyo wamepungua kwa sababu hakuna kipya zaidi ya recorded video za mwendazake. Ndio shida ya vikanisa ambavyo sii taasisi Bali ni Mali ya bwana na bibi.
 
Ile sio biashara kama duka, ile ni huduma ya kiroho (kichungaji) ambayo anajaliwa mtu binafsi yaani ule upako anakuwa yeye ndio kajaliwa Sio kama mfano udereva ambao baba anaweza kumfundisha mwanaye naye akawa dereva.

Aliondoka Getrude Lwakatare na huduma yake imebaki kama haipo, kondoo wametawanyika, na ndivyo itakavyokuwa Kwa wengine kama akina Kakobe, Mwamposa na wengineo pale watakapoondoka.
Kama huduma ilitoka kwa Mungu kwenda kwa huyo mchungaji/nabii n.k basi hata akifa, lile kusudi la Mungu huendelea kusimama.
 
Kama huduma ilitoka kwa Mungu kwenda kwa huyo mchungaji/nabii n.k basi hata akifa, lile kusudi la Mungu huendelea kusimama.
uko sahihi, annointing huwa inaweza kuhamishiwa kwa mtu mwingine, lkn huyo mtu mwingine huchagui wewe bali anachagua Mungu mwenyewe!

kwenye mambo ya kiroho nadhan kuna vitu kizazi hiki (worldwide) tunakosea, kwa sababu wenzetu kina Eliya walizaa Elisha, kina Paulo wakazaa kina Timotheo n.k

All in all huduma kama ya TB Joshua ilikua ni ngumu ku-survive baada ya kifo chake kulingana na nature ya huduma yenyewe, ni sawa tu na ile ya Myles........ hapa tanzania kina mwamposa, gwajima, mzee wa upako, kuhani Musa, mwingira hizi huduma zitakufa wao wakiondoka!..... hii ni kwa sababu ni huduma tunazoziita personal calling,

tofauti na kina katoliki, kkkt, tag, moravian......ambao ni taasisi, na hizi taasisi mara nyingi zinaenda kwa mfumo wa secularisms....... mara nyingi haya madhehebu yaliyokaa kitaasisi kuna limit ya namna Mungu anaweza ku-operate ktk huduma zao, ni kama wanam-manage Roho Mtakatifu........or to be more precise hakuna nafasi ya RM kuhudumu ktk taasisi zao
 
Back
Top Bottom