Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!!
Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache. Unashinda kwa kutoa HAKI bila kutoa HAKI mnapoteza muda na pesa za nchi hii. Watu wa Mama wanafikiri pesa...
NAOMBA USOME KWA UMAKINI KABISA
Kwanza kabisa Hakuna pesa inayo patikana kiurahisi ,ukiona matangazo kwenye mitandao ya kijamii kama Fb , twitter, instagram wanatangaza kuhusu matumizi ya SMART PHONES ili kujipatia kipato bila kuathiri muda wako wa kazi, tafadhali usiyafuatilie wala kuya tilia...
Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani.
Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao.
Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo.
Kwa sasa nchi...
Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa...
Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze.
Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa.
Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
Anonymous
Thread
chalinze
halmashauri
halmashauri ya chalinze
hatujapewa pesa ya kujikimu
hela
hii
kero
kitu
kujikimu
labda
mara
pesa
pesa ya kujikimu
pesa za kujikimu
sio
tena
watumishi
wilaya
Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication)
Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa wanafanya nini ili iwe fundisho na kwa wengine,
Je wamekufa kwa UKIMWI, Je wamekufa wakiwa wanaiba na...
Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa.
hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja.
Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
Wakuu, Kuna watu wamekuwa wakiwashambulia na kuwatukana akina Maria Sarungi na wenzake kwa kuhamashisha maandamano kwa kuhamashisha watu waandamane.
Mi naona ni bora hawa watu wanaowashambulia maria Sarungi na wenzake nao wahamasishe watu wasiandamane kisha watu watachagua kipi cha kufuata...
Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja.
Na amestahili kwasababu ni mpumbavu na anahatarisha maisha ya kila mmoja wetu ni mwehu mapinduzi yatakuwa mwokozi wa uhai wa watanzania dhidi ya wapumbavu...
Wenzenu wanaikimbizia mars,
Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta.
Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami,
Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu.
Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha,
Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
Hamjambo wote!
1. Kutokuvuja kwa Siri za serikali hasa vikao vya ndani vya wakuu wa nchi ni kiashiria pekee ambacho kinaonyesha bado serikali inanguvu na haijapasuka.
2. Siku zote nasemaga adui mwenye nguvu ni yule aliyepo ndani kuliko wa nje.
3. Kadiri Siri zinavyolindwa ndivyo nguvu...
WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure.
2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia.
3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
Mwenyeji wa Rombo tarakea hapa ananiambia wakazi wa Tarake, Rongai na maeneo mengine ya Rombo maji ni ya kuunga unga, wakati huo Kuna Bomba kubwa sana linatoa maji kutoka kwenye chem chem za chin ya mlima kilimanjaro linapeleka maji kenya yani mpaka nairobi kupitia Leitoktok.
Yani wakazi wa...
Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi
Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.