Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 4,739
- 17,956
Nitangaze mapema kwamba
1. Mimi ni graduate na ni jobless kama walivyo vijana wengi
2. Mimi Sina chama chechote na siyo msenaji wa yeyote.
Lakini najiuliza sana Hawa wahindi na wazungu waliohamia kutoka nje na kuwawekea watoto wao misingi ya mafanikio na Sasa wengi wa watoto wao under 35 ambao wengi wao ni wazaliwa wa Tanzania wanakula butter, je, sera za siasa za Tanzania hazikuwaathiri wazazi wao kuwaandalia watoto wao maisha?! Hapa utafahamu kwamba asilimia kubwa ya ugumu wa kiuchumi tulionao ni makosa ya wazazi kutokuwekeza kwaajili yetu.
Unaweza kusema Tanzania ina masikini wengi. OffCourse Kila nchi Ina asilimia flani ya wananchi walio kwenye Hali ngumu kiuchumi na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira. hao walio kwenye Hali Mbaya wanapaswa kusaidiwa na serikali Yao of which hata hapa Tanzania tunaoma juhudi za serikali kupitia TASAF na mikopo isiyo na riba kupitia halmashauri mbali mbali.
Lakini je Hawa ambao hawapo kwenye mkwamo mkubwa, kwanini Kila unayemkuta Hana direction anatoa sababu kwamba Serikali inamkwamisha?!
Unaweza kusema Tanzania ina teknolojia ya chini, lakini je, Hawa wasomi wa sayansi waliosheheni katika nchi Wana kazi gani na ikiwa wao ni wanasayansi wa kweli kwanini wanakimbilia kwenye siasa
Wengi watasema mtaji, je serikali itupe mitaji ya bure nchi nzima?! Lakini Ujue hata kama wafadhili wakija kabla ya kukusaidia, wanataka uwaonyeshe Vision & mchanguo wa matumizi endelevu ya rasilimali endapo ukikabidhiwa, hapo napo ni changamoto maana unakuta kijana anayelalamika throughout Hana Vision, which means hata akipa mtaji wa ghafla utaishia tu kwenye matumizi mabaya kwa sababu vision ndiyo Kila kitu katika safari ya mafanikio.
Japo serikali Ina mchango mkubwa katika ku soften utekelezaji wa maono ya vijana lakini sioni sababu ya msingi kuilaumu kuanzia asubuhi Hadi jioni, mchana na usiku. Binafsi nilimaliza college Mwaka Jana nikaingia kitaa kupiga kazi za zege na vibarua vya mashambani plus boom nililobakizaga na Sasa ni msimu wa kilimo naingia katika kilimo.
Maisha yangu hayamtegemei bibi Hangaya Wala dada Tulia ili yaende. Nilijiwekea vision kwamba ifikapo 2031 in any how kuwepameeleweka.
In God we Trust