Je, Fiston Kalala Mayele angekutana na Wachezaji Masela wa Kitanzania kama wafuatao enzi hizo angekuwa anatukera hivi hapa Mjini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,570
1. Rostar Ndunguru
2. Frank Kasanga Bwalya
3. Salum Kabunda Ninja
4. Idi Seleman Kibode Nyigu
5. Kenneth Mkapa
6. Said Mwamba Kizota
7. Fikiri Magoso
8. Willy Martin Scania
9. Bakari Malima Jembe Ulaya
10. Rajab Msoma
11. Twaha Hamidu Noriega

Mabeki / Wachezaji wa leo laini sana.
 
Mkuu Mbona unamsimanga Babu Ntibazonkiza bila kujua? Akiisoma hii poyako anaweza kukurushia matusi ambayo hujawahi kuyasikia.
Khaaa we Acha Ukolo kabisa, hv Saido utamfananisha na Wazee wa pale Simba akina unyango.. Yule ni pure kijana ndo maana now Yuko On fire anawapelekea moto. Ety Saido awe baby Sasa Kikosi Cha Mikia chote c kitakuwa Cha vikongwe😁
 
1. Rostar Ndunguru
2. Frank Kasanga Bwalya
3. Salum Kabunda Ninja
4. Idi Seleman Kibode Nyigu
5. Kenneth Mkapa
6. Said Mwamba Kizota
7. Fikiri Magoso
8. Willy Martin Scania
9. Bakari Malima Jembe Ulaya
10. Rajab Msoma
11. Twaha Hamidu Noriega

Mabeki / Wachezaji wa leo laini sana.
Hawa mabeki wanaokiri wenyewe Mayele ameshindikana?
 
Khaaa we Acha Ukolo kabisa, hv Saido utamfananisha na Wazee wa pale Simba akina unyango.. Yule ni pure kijana ndo maana now Yuko On fire anawapelekea moto. Ety Saido awe baby Sasa Kikosi Cha Mikia chote c kitakuwa Cha vikongwe
Kwa akili za kisukule unaweza kufikiri kwamba Ntibazonkiza ni kijana . Lakini ukweli ni kwamba yule ni kibabu. Lile jangwa lake la utosini linatosha kukuthibitishia Kabla ya kuambiwa umri wake wa miaka 37
 
Kesho Ni Siku Mbaya Kwa Makolo Kwani Watafungwa Na Berkane...Huku Yanga Tunamfunga Kagera Sugar Gape Linakuwa Point 11 Na Mbaya Zaidi Wasiyempenda Mzee Wa Kudonoa Fiston Kalala Mayele Anatupia Tena (Frustration)
 
Kwa akili za kisukule unaweza kufikiri kwamba Ntibazonkiza ni kijana . Lakini ukweli ni kwamba yule ni kibabu. Lile jangwa lake la utosini linatosha kukuthibitishia Kabla ya kuambiwa umri wake wa miaka 37
Hata angekuwa na miaka mia.. Sisi tunachotaka acheze Mpira na afunge mambo ya umri hayamake sense kwetu mamaake anajua au we ndo umemzaa..?
 
Nilikua napenda kusoma comments na nyuzi zako ila dah Mimi ni simba damu,unazingua .niliacha
 
Hadithi za kufikirika, toka usingizini rudi kwenye uhalisia. Kila zama na nyakati zake. Wamepita wachezaji wazuri zaidi na watakuja bora zaidi. 🤔
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom