kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mhandisi Innocent Luoga: Serikali inajiandaa kuzindua Mkakati na Mpango Kazi wa Kitaifa wa Nishati Jadidifu

    Wizara ya Nishati imeshiriki Kongamano la Kitaifa la Nishati Jadidifu kwa mafanikio ambapo imetumia kongamano hilo kueleza juhudi zinazofanywa na Serikali katika uendelezaji wa Nishati Jadidifu nchini na hii ikijumuisha utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia. Akifungua...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa na ANC wakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Vyama Pinzani

    AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge. Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ni Juni 8, 2024

    Kutakuwa na mawasilisho ya maoni kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii na mjadala wa wazi Mada za Utangulizi 1. Prof. Issa Shivji: Tanzania @ 60 2. Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania ya 2050 Wachagizaji wa Mada 1. Prof. Samwel Wangwe 2. Mama Getrude Mongela 3. Dkt. Neema Mduma 4. Dkt. Richard Mbunda
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa apendekeza kuwe na Midahalo ya Wazi hadi katika ngazi ya Kitaifa ili kupata Wagombea wa kupambana na CCM

    DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
  5. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865

    NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
  6. JamiiForums Tanzania Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania

    Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania Mobhare Matinyi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. 🗓️ 31 Mei, 2024. 📍 Dar es Salaam.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa kitaifa Dodoma

    Mwenyekiti wa UVCCM (T) Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) atashiriki katika Mdahalo wa KITAIFA kuhusu Miaka 3 ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusiana na UTEKELEZAJI wa Ajenda za vijana utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention. TAREHE: 25/5/2024
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

    Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto...
  9. JamiiForums Tanzania Janga la Kitaifa: Watu Waliofeli Kwenye Ndoa Wamejivuka Koti la Ualimu, Wanaelimisha Watu Kuhusu Ndoa ni Hatari Kwa Taifa la Tanzania

    Shalom, Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala. Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa, mibaba mihuni tu inayonyandua mademu hovyo tu imegeukia hio fursa kuelimisha kuhusu Ndoa, mijitu...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja wa Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea Chaguzi za 2024/2025

    TCD kuwakutanisha wadau kutafakari Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu. Mkutano huu wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Umuhimu wa kuzingatia mambo ya msingi mchakato wa katiba mpya

    Tahadhari tisubiri wanaitaka mabadiliko wawe wengi ni hatari!! Nitumie nafasi kuwaonya viongozi wa CCM watumie busara hii kuweka vizuri mambo muhimu kama; katiba, muungano, tumehuru. Nachelea kusema katiba yenye maoni yaliyoratibiwa na tume ya warioba wasiyapuuze.
  12. JamiiForums Tanzania Siasa za Kibaguzi hazitajenga umoja wa Kitaifa

    Na Fredrick Nwaka Tanzania ni nchi inayosifiwa Afrika na duniani kote kwa utulivu wa kisiasa, ikilinganishwa na mataifa jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji na DRC ambazo zote zimepitia majaribu makubwa ya kisiasa ambayo kama kusingechukuliwa hatua za makusudi kumaliza majaribu...
  13. JamiiForums Tanzania Ni lini sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa maonyesho ya kijeshi?

    Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere. Pengine labda nimesahau. Kama ni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je kwenye sherehe kubwa za kitaifa hutuwezi onyesha ubunifu wowote tuloufanya kama taifa ,zama hizi za tenkolojia?

    Ninaandika haya sio kwa kuponda stlye zetu za kila mwaka za watu kujipanga na likatokea neno labda miaka 60 ya uhuru nadhani vitu hivyo zama hizi za tekenolojia tungeviweka pembeni na tutoe nafasi kwa watanzania wavumbuzi kwenye sherehe hizi kwani itatusaidia kuchochea ukuaji wa tekenojia hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Sera za Kitaifa za uwekezaji zimepitwa na wakati

    Kwa kutazama kwangu SERA za uwekezaji zimepitwa na wakati kwa sababu uhai wake hauonekani katika jamii ya Watanzania HASA wazawa. Aidha wananchi hawana uelewa wowote kuhusu Mambo ya uwekezaji kwani haziko CLEAR kwa wananchi ama haziendani na uhalisia wa TAIFA
  16. JamiiForums Tanzania Natamani kuwa kiongozi wa Kitaifa

    Poleni na majukumu ndugu zangu elimu yangu ni advanced Diploma in Accounting. Natamani Sana kuwa kiongozi wa Taifa hili lakini kila nikiangalia uwezekano wa kupata nafasi nakwama kwa sababu kila Chama hakioneshi mwanga wa kuingia bila INTEREST.
  17. JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano

    Kuelekea Maadhimisho ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, UWT imeandaa mdahalo wa Kitaifa wenye Dhima ya Nafasi ya Wanawake ndani ya miaka 60 ya Muungano. Tulipotoka, Tulipo na Tunapoelekea litakalofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Tarehe 25 Aprili, 2024. UWT...
  18. JamiiForums Tanzania Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA kufanyika Oktoba 2024

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Kitaifa wa Chadema utafanyika mwezi wa 10, 2024, hii ni baada ya kumalizika kwa Chaguzi zingine zote za Chama hicho katika ngazi zote za chini. Taarifa hii nzuri imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Benson Kigaila...
  20. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…