kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuamka kiroho pokea zawadi ya Kitabu hiki upate mwanga wa maisha

    KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru. Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Quran ilitamkwa na Muhamad wakawa waandishi wanaandika na baadaye yakakusanywa maandiko kutengeneza kitabu

    Kwa mujibu wa Uislamu: 🔹 1. Aliyetunga Muhamad Waislamu wanaamini kuwa Qur’an ni neno la moja kwa moja kutoka kwa Mwenyezi Mungu (Allah). Haikuandikwa au kutungwa na mtu yeyote—bali iliteremshwa (wahyi) kwa Mtume Muhammad (SAW) kupitia malaika Jibril (Gabriel). Hii inakija kuonekana...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Kitabu Cha Rajabu Ibrahim Kirama

    MAKTABA IMEPOKEA KITABU CHA RAJABU IBRAHIM KIRAMA Rajabu Ibrahim Kirama ndiye aliyeuingiza Uislam Uchaggani kiasi cha zaidi ya miaka 150 iliyopita. Katika maajabu ya Allah alipofariki watoto wake walihifadhi nyaraka zake zote ambazo zinafika umri wa miaka 100. Nyaraka hizi zilihifadhiwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania June 23 TEHRAN kupigwa pigo takatifu, Kitabu cha Esther tarehe 23 kwa kalenda ya Kiyahudi

    23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu : Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka...
  5. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo”

    JINA LA KITABU: “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo” UTANGULIZI: Kariakoo ni kama mgodi wa biashara Tanzania — lakini si kila mtu anajua mahali pa kuchimba. Wengi wanapoteza muda, hela, na nguvu wakizunguka Kariakoo bila mafanikio — wananunua bidhaa ghali, feki, au kutoka kwa...
  6. Fateema

    JamiiForums Tanzania Kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP", kimetoka ila it is not for SALE, only for EDUCATIONAL PURPOSES.

    Yule mwamba wa kusema " Tupac alikuwa kapandwa na kiumbe wa kiroho ( spirit) wakati ana yupo studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up" , tayari ameachia kitabu chake chenye CHAPTERS 77 na kurasa 220 . The book is not for SALE. It is for Educational Purposes. Nakala arobaini elfu ambazo zimetoka...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM kufadhili kitabu cha mzee Songambele kuenzi historia ya nchi, chama na serikali

    CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI - Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA someni hiki kitabu

    Hiki kitabu kina itwa THE BOOK OF SOUTHERN QI DYNASTY kinazungumzia vipi unaweza kuua kwa kutumia upanga wa kuazima. Yaani hapa njia ni kua unapenyeza watu wako kule ambako unatk kuangusha ufalme halafu unatumia hao kuangusha ufalme. Mfano Chadema ingepenyeza watu serekali washike nafasi za juu...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!

    Et naye ataonyesha kujutia sana!!. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!
  10. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpoki akisaini kitabu cha maombolezo cha Dkt. Mango, aliyekuwa Meneja Idara ya Uchunguzi MOI

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, akisaini kitabu cha maombolezo kwa heshima ya aliyekuwa Daktari Bingwa wa Radiolojia na Meneja wa Idara ya Uchunguzi MOI, Dkt. Mechris Mango, leo Mei 30, 2025. Dkt. Mango atakumbukwa...
  11. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Zawadi Yangu Kwenu: Kitabu Original Sin: President Biden's Decline, Its Cover-Up, and His Disastrous Choice to Run Again

    Kama Li Nchi lenye nguvu kubwa kichumi, kijeshi, kiintelijensia, kijeshi, kidemokrasia nk., "Wahuni" waliweza kumpachika madarakani Rais wa kuiongoza nchi huku wakijua kuwa AFYA yake kiakili na kimwili ni dhoofu, ila kwa maslahi yao wakampitisha. Je Hali hii haiwezi kutoka huku kwetu? Weekend...
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ipo Siku Rais Samia Atandika nae kitabu.

    Habari wanajukwaa. Binadamu alie na madaraka au mamlaka au Nguvu hua anataka kukumbukwa vizazi na vizazi hata baada ya Mamlaka aliyonayo kuisha hii hulka ni toka enzi na enzi. Sa anakumbukwa vipi maana kama Nguvu anakua hana Tena za kutoa Amri so hapo njia pekee hua ni kuandika kitabu au...
  13. FK21

    JamiiForums Tanzania Anatafuta hiki kitabu hiki anitafute

    Bei ya punguzo kabisa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Maisha ya nyumba za kupanga uswahilini ni kama sinema ya bure, Ukiishi humo mwaka mmoja, unaweza andika kitabu kizima

    Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani.. Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja.. Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
  15. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwenye kitabu Cha Dar es salaam usiku cha Ben R. Mtobwa anisaidie

    Niko chini ya miguu ya atakeyenisaidia hicho kitabu tajwa hapo juu🙏. Cc Mshana Jr
  16. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Alipambana Kuilinda Katiba Mtu Awe Madarakani Kama Isemavyo, Lakini Aliyepiganiwa Anasema ni Kitabu tu. Nani Tumlaumu?

    Nimekuta mjadala mkali sana na mwisho ni kutuhumiana. Kwa maelezo yake, kulikuwa na mizengwe lakini alitumia power yake KATIBA iheshimiwe na aliyetajwa na katiba aingie madarakani. Tukampongeza. Lakini baada ya muda aliyepiganiwa akaanza dharau ya hiyo katiba na kuiita kuwa ni KITABU tuu kwa...
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania PCB Hii Si Ya Watoto, Ila Naweza Kukubadilisha Uwe Beast! Njoo Nikulazie Kitabu!

    Kama wewe ni msee wa PCB (Physics, Chemistry, Biology) au unayo mtoto anakamua advance na anazidiwa na hizi topics ngumu– basi stop struggling alone, coz I'm the plug you’ve been looking for! Mimi si mwalimu wa kawaida – niko street smart na book smart all in one. Najua hizi topics hazicheki na...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mtu anahangaisha kichwa chake kuhakikisha kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu lakini mtu huyo huyo anaamini kitabu chao cha dini kilipokelea kutoka mbiguni😁

    Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti. Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
  19. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kwani Mungu ni kitabu?

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Kila kitu nikiuliza kwa Masheikh na mapadri na wachungaji na hata katika forum mbalimbali mnanifungulia KITABU, Ina maana Mungu alikosa njia zote za kujieleza katika dunia na watu wake bila ya KITABU tu? Ndugu msomaji naomba tumia akili kidogo unaposoma...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Technofeudalism: What killed capitalism.

    Kitabu hiki kimeandikwa na mwanazuoni Yanis Varoufakis, ambaye amewahi kuwa waziri wa fedha wa Ugiriki na pia ni mwalimu wa chuo kikuu. Kwenye hiki kitabu anaelezea jinsi ambavyo ubepari umegeuka kuwa Ukabaila-Teknolojia(Technofeudalism). Kabla ya ubepari kulikuwa na ukabaila. Kabaila ni mtu...
Back
Top Bottom