Hi I Maana yake ni kwamba YEYOTE atakayeamua kuridhiana n.a. Shetani atakuwa anamkosea Mungu wake na kwa vile atakuwa anavunja kanuni za Mungu mwenyewe basi bila Shaka atakuwa anatenda dhambi ya hatari na. atahukumiwa haraka sana.
Nimeweka Uzi huu kwa lengo la kuwakumbusha wacha Mungu wenzangu...
OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA
Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook)
DOWNLOAD hapo👇
in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book)
Tuwasiliane kwa namba 0623446608
Ubarikiwe!
Kitabu East of the Sun kinazungumzia jinsi warusi walivyolichukua eneo la Siberia. Migogoro yao na wenyeji, Wachina, Wajapan na madhara ya kufika kwao kwa wenyeji.
Kinaelezea jinsi explorers walivyofanya safari zao kuelekea Siberia, Bahari ya Arctic na mashariki ya mbali. Jinsi walivyofika...
My people,
Hii hapa Summary ya Kitabu cha Gifted Hands kwa Kiswahili na Kiingereza.
Nimekisoma ni kizuri sana....
"Gifted Hands: Hadithi ya Ben Carson" ni kitabu cha wasifu kilichoandikwa na Dr. Ben Carson, ambaye ni mtaalamu maarufu wa upasuaji wa ubongo. Kitabu hiki kinasimulia maisha yake...
Karibu VINIEBOOKS Tuna package tofauti tofauti kulingana na mahitaji yako
1. Marriage
2. Finance
4. Marketing
5. Psychology &
7. OTHERS
Enjoy a 25% discount.
Each book 25,000/=
Whatsapp & Calls: 0787728422/
Follow us
instagram.com/kelvin_booksto…
Kwa kiswahili na Kiingereza
🪐 Muhtasari wa Jumla
Kitabu hiki, kilichochapishwa mwaka 1992, kinazungumzia tofauti za kisaikolojia na kihisia kati ya wanaume na wanawake katika mahusiano.
John Gray anatumia mfano kwamba wanaume wametoka sayari ya Mars na wanawake wametoka sayari ya Venus...
Nakulete Summary kwa Kiswahili na Kiingereza
Here’s a summary of The Subtle Art of Not Giving a F*ck: A Counterintuitive Approach to Living a Good Life by Mark Manson:
---
Key Ideas
Life involves pain, struggle and limitation. Avoiding these altogether isn’t realistic — embracing the right...
Katika ulimwengu wa sasa, mahitaji ya nishati na mafuta yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, ukuaji wa uchumi, na ongezeko la shughuli za usafirishaji mijini na vijijini. Biashara ya mafuta ni mojawapo ya sekta zenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa na katika...
1)Zab 68:20
Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana.
2)Yohane 14:13
Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
3)Zab 46:1
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso...
MJUE MWANADAMU NA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKE
Kitabu hiki ni mwongozo wa kujitambua, kuelewa nguvu za mawazo, ndoto, mapenzi na nguvu ya tendo la ndoa, pamoja na mbinu za meditation. Kinaeleza jinsi mawazo yanavyogeuka hisia na vitendo, siri za maisha ya ndani na nguvu zilizojificha ndani ya...
Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo nimewaza haya kwa kuanzia
1“Machozi na Damu za Ukombozi”
2. “Kilio cha Mashujaa: Historia...
Jamaa amakuwa akitoa madini sana humu na kutupa ilimu akhera kwa weledi mkubwa sana bila hata kututoza. Nashauri awe anatoza nyuzi zake angalau basi hata Tsh 50,000 kwa uzi mmoja.
Najua atakuwa anapigwa vita na kuchukiwa na watu. Nikija Bongo nitamtafuta nimpatie mbinu za kijasusi nyingine za...
Kwa kweli hili jambo limewaumiza sana wafadhiri na mwandishi mwenyewe. Kimekuwa kama kitabu cha mchanganyiko wa stories za mtaani kuhusiana na Jambazi mmoja maarufu au mtu mmoja mashuhuri.
Ni mkusanyiko wa nliambiwa, nlisikia na watu wanasema. Hakuna ushahidi uliowekwa wazi. Najiuliza ina...
kitabu gani unahitaji bei 10,000 tsh kimoja, natafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 - 10,000 Tsh, inategemea na ukubwa nicheki 0756704145
TUJIKUMBUSHE KITABU HIKI BAADA YA MWAKA MMOJA KUPITA "BARAZA YA MAJESTIC..."
Niliombwa kufanya pitio la kitabu hiki Zanzibar ndani ya ukumbi si mbali na Majestic.
Hili halikufanyika kwa sababu waandaaji waliambiwa panahitajika kibali.
Kabla ya kitabu hiki nilikuwa nimealikwa mara mbili...
Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.