kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Kabendera kinajadiliwa kabla hakijasomwa

    Watu wamesikia tu Kabendera kaandika kitabu wanaanza kukijadili. Nadhani ingekuwa bora kusubiri wakisome kwanza hicho kitabu. Sasa hivi Serikali itakuwa inafikiria ichukue hatua gani kuhusu hicho kitabu. Mpaka hapo,watu wawe na subira. Vinginevyo katika kuzungumza maneno mengi bila kuwa na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nakuomba Rais Samia kama unamjali Magufuli utoke hadharani na kukemea hiki kitabu cha Kabendera

    Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Kabendera kina mkono wa viongozi ndani ya mfumo! Maiti inapigwa mateke bila kutetewa na waliopo hai

    Wapo viongozi ndani ya ccm wanaoamini kuwa kuchafua image ya jpm kupitia kitabu cha kabendera inaweza kuwapa sifa nzuri katika uongozi wao! Hadi sasa hakuna tamko lolote juu ya kitabu hicho kinachosambaa kwa kasi chenye maneno ya kuudhi ya kuchafua viongozi. Nachojiuliza utekaji katika serikali...
  4. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake

    Kwanza, nataka kukiri kwamba sijakisoma kitabu hicho, lakini kupitia nukuu mbalimbali za mitandaoni, kidogo nimeweza kupata muhtasari wa kilichomo ndani yake. Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake. Kuna nguvu kubwa inayotoka kwa viongozi wa...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Kitabu ni njia ya kutakatisha fedha chafu

    Sasa hivi tutaambiwa kitabu kimeuza nakala nyingi na kumuingizia fedha nyingi. Kumbe huu ni mkakati wa kutaka kutakatisha fedha chafu zenye lengo la uhaini. Vyombo viendelee kumonitor transactions zake na za wanaomfadhili. Kamwe fedha hizi zisiingizwe kuja kuchafua uchaguzi 2025.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Erick Kabendera huenda kikafanya vitendo vya utekaji na mauji vikapungua kama sio kwisha kabisa

    Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT " Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa...
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, Erick Kabendera hajaiba thread zetu humu JF kushibisha kitabu chake kimhusucho Magufuli?

    Yeah! Nadhani tunakumbuka jinsi bwana Yericko Nyerere alivyotuhumiwa kuiba nyuzi za wana JF kuandika vitabu vyake anavyoviita vya kijasusi hata akawapiga watu pesa Kwa kuwauzi vile vitabu. Sasa hivi kijana wetu Erick Kabendera amekuja na kitabu chake ambacho kwa kiasi fulani kimemgusia...
  8. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

    Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa! Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo; 👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana...
  9. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Ni kitabu gani ambacho ulishakisoma na unatamani watu wengine wangekisoma pia, (recommend hapo chini).

    Wasalaam... Ni marufuku kuongea juu ya jambo lolote kabla ya kufikiri ila pia fikra haziji kwenye kichwa kisicho na maarifa juu ya jambo au mambo yazungumzwayo. Kwahiyo ili mtu apate uwezo mzuri wa kufikiri zaidi ni lazima ajiongezee maarifa ya hapa na pale ndani ya kichwa chake na njia moja...
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

    Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji...
  11. Tumaini Makene

    JamiiForums Tanzania The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    The – book – I – Read, 2024 Ni wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka, tunapoelekea kuhitimisha mwaka 2024, na kuimba ule wimbo maarufu wa “Auld Lang Syne, tukimaanisha ‘For the Sake of Old (good) Days,’ ikiwa ni ishara ya kuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine (au kusheherekea...
  12. BENEDICT BONIFACE

    JamiiForums Tanzania Download kitabu cha "Guidance and counselling in education institution" na ict and computer application for teachers(pdf)

    VITABU HIVI NI VIZURI KWA WALIMU, NA WANAFUNZI WANATAKA KUA WALIMU VITAWASAIDIA
  13. jangos

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu Cha kunifanya niwe na mawazo chanya

    Wakuu nahisi Nina shida psychologically... Nashindwa kufanya Mambo mengi kwa sababu ya kuwaza hasi kila Mara, nahisi kama kitabu kitanisaidia zaidi kupambana na hali hii.... Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia nitashukuru sana
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani?? 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena...
  15. Paul Mchumi

    JamiiForums Tanzania PATA KITABU CHA: KUZA UCHUMI WAKO SASA

    Hiki ndio kitabu kitakachokupa siri ya kukua kiuchumi,kibishara na mbinu za uwekezaji. Bei ya Ofa ya sasa ni Elfu Tatu(3000) badala ya Elfu kumi bei yake ya kawaida. Tunakutumia kwa njia ya WhatsApp au Email yako. YALIYOMO NDANI YA KITABU HIKI 👇👇 ✅Utangulizi ✅Yajue mambo 15 ili uanze...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kinachosubiriwa ni Kitabu cha Bibi Titi Mohamed

    https://www.facebook.com/share/r/Ddz2zfnNcBL6HWPw/?mibextid=Nif5oz
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wale Mliosoma Kitabu cha Poor Dady Rich Dady Miaka 10 iliyopita sasa hivi mna miliki Bilioni Ngapi ngapi?

    Si vibaya tukapeana mrejeshi ili kutoa hamasa mwa watu wengine, vijana na wenye mwelekeo wa kujikomboa kiuchumi. Miaka 10 hadi 15 iliyopita na pengine zaidi nikiwa Chuoni kulizuka utaratibu wa kujisomea vitabu ili kupata maarifa na kukuza ubongo. Pamoja na nia nzuri hiyo wasomaji wa vitabu...
  18. hamis77

    JamiiForums Tanzania KITABU CHA ZABURI YA 1 - 10

    📚 KITABU CHA ZABURI YA 1 - 10 🗞Dondoo Muhimu unaposoma kitabu hiki chenye vitabu 5 ndani yake. (Kitabu cha kwanza Zaburi ya 1 - 41) 1. kipindi ukristo unapita kwenye marekebisho moja ya kitu kikubwa walichokitumia ni nyimbo Luther anasema reformation isingewezekana bila mambo mawili...
  19. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Pitia hiki kitabu kisha ufanye uchambuzi kuhusu Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao!

    Huyu mwandishi alikuwa ndani ya Vatican,kwa siri alizoziona ndani, akatoa kitabu kilichouza sana na kupata umaarufu mkubwa! Alitoa nukuu zifuatazo kama tahadhari kuhusu watu aina ya Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao: "The most dangerous of men are those who appear very...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Safari ya Miaka 60: Kitabu Cha Picha Historia ya Tanzania

    SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na magazeti maarufu ya Ulaya. Ally Sultan. Ally Sultan hakuja mikono mitupu amekuja na kitabu na jarida...
Back
Top Bottom