kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanakuwa wabishi wakati evidence ipo kwenye kitabu chao na hadithi zao kuhimiza fujo, udhalilishaji na ubaguzi

    Wafanye hawa mateka. Waue hawa. Wabague hawa. Wapige wake zenu Wafanye hawa watumwa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa kitabu cha Zaburi

    Waandishi wa kitabu cha zaburi Zaburi ni nini katika Biblia Zaburi maana yake ni nyimbo takatifu. Hivyo kitabu cha Zaburi katika biblia, ni kitabu cha nyimbo takatifu. Zimeitwa nyimbo takatifu kwa sababu zimetungwa kwa lengo la kumrudisha mtu kwa muumba wake, kwa njia hiyo ya kusifu na...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitabu chochote kitakatifu (Qoran/Bible) kilichoagiza Maridhiano na Shetani

    Hi I Maana yake ni kwamba YEYOTE atakayeamua kuridhiana n.a. Shetani atakuwa anamkosea Mungu wake na kwa vile atakuwa anavunja kanuni za Mungu mwenyewe basi bila Shaka atakuwa anatenda dhambi ya hatari na. atahukumiwa haraka sana. Nimeweka Uzi huu kwa lengo la kuwakumbusha wacha Mungu wenzangu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kingereza na uchumi; jipatie ofa hii ya KITABU kuboresha kiingereza kwa matumizi tofauti kiuchumi

    OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook) DOWNLOAD hapo👇 in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book) Tuwasiliane kwa namba 0623446608 Ubarikiwe!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kitabu cha financial accounting by Frank Wood anisaidie

    Kama habari isemavyo hapo juu naomba msaada aliyena kitabu hicho pdf anisaidie.nitashukuru sana kwa msaada
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: East of the sun

    Kitabu East of the Sun kinazungumzia jinsi warusi walivyolichukua eneo la Siberia. Migogoro yao na wenyeji, Wachina, Wajapan na madhara ya kufika kwao kwa wenyeji. Kinaelezea jinsi explorers walivyofanya safari zao kuelekea Siberia, Bahari ya Arctic na mashariki ya mbali. Jinsi walivyofika...
  7. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Summary ya Kitabu Cha Gifted Hand, Sio Cha Kukikosa

    My people, Hii hapa Summary ya Kitabu cha Gifted Hands kwa Kiswahili na Kiingereza. Nimekisoma ni kizuri sana.... "Gifted Hands: Hadithi ya Ben Carson" ni kitabu cha wasifu kilichoandikwa na Dr. Ben Carson, ambaye ni mtaalamu maarufu wa upasuaji wa ubongo. Kitabu hiki kinasimulia maisha yake...
  8. VITABU DHAHABU

    JamiiForums Tanzania Niambie kitabu chochote unachokihitaji nikutafutie

    Karibu VINIEBOOKS Tuna package tofauti tofauti kulingana na mahitaji yako 1. Marriage 2. Finance 4. Marketing 5. Psychology & 7. OTHERS Enjoy a 25% discount. Each book 25,000/= Whatsapp & Calls: 0787728422/ Follow us instagram.com/kelvin_booksto…
  9. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Summary ya Kitabu Men are from Mars and Wemen are from Venus

    Kwa kiswahili na Kiingereza 🪐 Muhtasari wa Jumla Kitabu hiki, kilichochapishwa mwaka 1992, kinazungumzia tofauti za kisaikolojia na kihisia kati ya wanaume na wanawake katika mahusiano. John Gray anatumia mfano kwamba wanaume wametoka sayari ya Mars na wanawake wametoka sayari ya Venus...
  10. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Summary ya kitabu cha The Subtle Art of Not Giving a Fuc..

    Nakulete Summary kwa Kiswahili na Kiingereza Here’s a summary of The Subtle Art of Not Giving a F*ck: A Counterintuitive Approach to Living a Good Life by Mark Manson: --- Key Ideas Life involves pain, struggle and limitation. Avoiding these altogether isn’t realistic — embracing the right...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Biashara ya Vituo vya Mafuta Vijijini na Mjini

    Katika ulimwengu wa sasa, mahitaji ya nishati na mafuta yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, ukuaji wa uchumi, na ongezeko la shughuli za usafirishaji mijini na vijijini. Biashara ya mafuta ni mojawapo ya sekta zenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa na katika...
  12. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Upi ni mstari wako pendwa katika kitabu cha biblia unaokupa nguvu, faraja, amani, tumaini, silaha/ushindi katika vita vya kiroho?

    1)Zab 68:20 Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana. 2)Yohane 14:13 Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 3)Zab 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso...
  13. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Kitabu kinauzwa: Gundua Siri za Ndani Yako: Nguvu, Mawazo na Maisha Mapya

    MJUE MWANADAMU NA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKE Kitabu hiki ni mwongozo wa kujitambua, kuelewa nguvu za mawazo, ndoto, mapenzi na nguvu ya tendo la ndoa, pamoja na mbinu za meditation. Kinaeleza jinsi mawazo yanavyogeuka hisia na vitendo, siri za maisha ya ndani na nguvu zilizojificha ndani ya...
  14. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu kuhusu upinzani Tanzania,naomba ushiriki kupendekeza angalau jina la kitabu

    Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo nimewaza haya kwa kuanzia 1“Machozi na Damu za Ukombozi” 2. “Kilio cha Mashujaa: Historia...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hamis77 Mtu wa Kitabu Anayefaa Kuenziwa

    Jamaa amakuwa akitoa madini sana humu na kutupa ilimu akhera kwa weledi mkubwa sana bila hata kututoza. Nashauri awe anatoza nyuzi zake angalau basi hata Tsh 50,000 kwa uzi mmoja. Najua atakuwa anapigwa vita na kuchukiwa na watu. Nikija Bongo nitamtafuta nimpatie mbinu za kijasusi nyingine za...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwitikio wa Kitabu cha Eric Kabendera umekuwa tofauti na Matarajio

    Kwa kweli hili jambo limewaumiza sana wafadhiri na mwandishi mwenyewe. Kimekuwa kama kitabu cha mchanganyiko wa stories za mtaani kuhusiana na Jambazi mmoja maarufu au mtu mmoja mashuhuri. Ni mkusanyiko wa nliambiwa, nlisikia na watu wanasema. Hakuna ushahidi uliowekwa wazi. Najiuliza ina...
  17. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh

    Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh, softcopy/ nakala laini
  18. Tech Max

    JamiiForums Tanzania kitabu gani unahitaji bei 10,000 tsh kimoja, natafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 - 10,000 Tsh

    kitabu gani unahitaji bei 10,000 tsh kimoja, natafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 - 10,000 Tsh, inategemea na ukubwa nicheki 0756704145
  19. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh, vitabu vya kiingereza na kiswahili nakutafsiria

    Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh, vitabu vya kiingereza na kiswahili nakutafsiria, nicheki 0756704145
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tujikumbeshi Kitabu Hiki: Barza ya Majestic...''

    TUJIKUMBUSHE KITABU HIKI BAADA YA MWAKA MMOJA KUPITA "BARAZA YA MAJESTIC..." Niliombwa kufanya pitio la kitabu hiki Zanzibar ndani ya ukumbi si mbali na Majestic. Hili halikufanyika kwa sababu waandaaji waliambiwa panahitajika kibali. Kabla ya kitabu hiki nilikuwa nimealikwa mara mbili...
Back
Top Bottom