kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania CHEO BILA KITABU

    WATU HAWAITAKI KABISA ELIMU YA VITABU ILA WANATAKA VYEO KWA SABABU GANI !?!? KWA SABABU NI WEZI WALIOVAA NGOZI YA MWANAKONDOO HUKU WAKIWA NI MBWA MWITU. Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Usingizini nikibwata kuwakemea wezi wenye sura za kiutu huku wakiwa Mashetani yaliyovaa miili...
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Quran inakubali kuwa Injili ni kitabu cha Mungu na hapo ndio nakuwa na mashaka na Quran pia

    Ndugu waislam naamini humu wote mumesoma injili na mnayajua maisha ya issa yule mtoto wa mariamu, Kuzaliwa kwake kuishi kwake na kufa kwake,. Sasa huyu kijana ukimsoma maisha yake hakuna sehemu yeyote ile anakuwa kalibu na Mungu (allah), Labda injili ingekuwa kitabu cha ADAMU sawa, maana...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ndg zetu katika Imani hii kucheza namna hii nayo imeandikwa kwenye kitabu kitukufu Quran?

    Sina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Katika kitabu cha " Ninety minutes at Entebe.

    Baada ya Rais Idd Amin wa Uganda kuiteka ndege iliyokuwa imewabeba waisraeli na kuilazimisha kutua katika uwanja wa Entebe, kuna uokoaji uliandaliwa na askari wa kikosi kazi huko Israel. Haya yamo kwenye kile kitabu kiitwacho " ninety minutes at Entebe. Moja ya simulizi ya kuvutia ni sehemu...
  5. Sayari1

    JamiiForums Tanzania Kuna kitabu unatafuta?

    Endapo umehangaika kutafuta vitabu bila mafanikio, tafadhali wasiliana nami kwa barua pepe hii jambojambo633@gmail.com au WhatsApp 0737317870. Kujiunga na group gusa link. https://chat.whatsapp.com/GeMQxtUquSY6VEEejW7FwO
  6. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuandika Kitabu

    Jinsi ya Kuandika Kitabu: Mwongozo Kamili Kwa Waandishi wa Kila Kiwango Kuandika kitabu ni ndoto ya wengi, lakini mara nyingi inaweza kuonekana kuwa kazi ngumu. Hata hivyo, kwa mwongozo sahihi na nidhamu, mtu yeyote anaweza kuandika kitabu chenye mafanikio. Katika blogu hii, tutaangazia hatua...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania JamiiForum pitieni kitabu cha Erick kabendera mje na majibu kuhusu ID ya ben saanane

    Hakuna binadamu anaye chukua masaa,siku,mwezi na miaka bado tukaweza kusema majibu rahisi. Na hii imeshakuwa desturi ambayo majibu mepesi utolewa wakati wapendwa wao mpaka leo wajawahi kupata hatma yao. Kuna kawaida hapa JF ikitokea mtu kafariki au kupandisha hadhi inajulika. Swali la kwanza...
  8. VITABU DHAHABU

    JamiiForums Tanzania Kitabu Gani kimebadilisha maisha yako ungependa wengine wakisome

    Kama mada inavyojieleza, karibu sana katika kurasa huu wa wapenzi wa kusoma vitabu utushirikishe ni kitabu gani kimebadirisha maisha yako ungependa wengine wakisome
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

    Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali kwa muda wa takriban miaka 1,500, lakini vyote vina ujumbe mmoja unaotuelekeza kwa Mungu na jinsi ya kupata wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. Biblia imegawanyika katika sehemu kuu mbili: Agano la Kale – Linaeleza uumbaji wa...
  10. apostleonesmodeus

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Nabii Amosi

    Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Muislamu yeyote hakikisha una kitabu cha Mkweli Mwaminifu. Hii ni moja ya nukuu mujarab toka humo.

    Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha. Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu "Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha uchawi kidigitali

    Katika ufalme mdogo wa kidijitali, watu waligombana mara kwa mara kuhusu nani anamiliki nini. Kulikuwa na vitabu vingi vyenye hadithi tofauti, jambo lililosababisha machafuko na udanganyifu. Siku moja, mvumbuzi mwenye hekima alitengeneza kitabu cha kichawi kinachoitwa Blockchain. Kitabu hiki...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kudownload kitabu chake last week leo nakutana na news amejiua. Nakichoma moto kitabu chake sikisomi.

    That's why the book was moving very slowly. Nilisha soma kama page 10 za kitabu chake. Mwanasaikolojia anae heshimika kama huyu anajiua? What pushed him that low? Moral of the story: Tuache kutukuza mawazo ya watu wengine. Instead tutukuze mawazo yetu wenyewe. Kwa mfano kitabu " 48 laws of...
  14. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Imeandikwa katika kitabu cha kutoka 22:18"usimuache mwanamke mchawi akaishi"mbona wachawi ndio wanaishi muda mrafu kuliko watu wema?

    Hapo vip!! Andiko hili linatia faraja sana ukilisoma na kama litajidhihirisha kwa matendo ila unapokuja kugundua na kuona kihalisia ni ngumu kulifanyia kazi kwa vitendo na kiroho inaumiza na inakatisha tamaa,labda mimi ndio sielewi ila mwenye ufahamu anifungue kwenye andiko hili. Mimi binafsi...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ime

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
  16. Wang chung

    JamiiForums Tanzania Jina la kitabu :Jinsi ya kuendelea kuwa maskini

    Kitabu cha "Jinsi ya Kuendelea Kuwa Masikini" kinatoa mifano na ushauri kuhusu tabia na maamuzi yanayoendelea kuwafanya watu kubaki kwenye umasikini. Hiki ni kitabu kinachokosoa mtindo wa maisha, ufikiriaji, na maamuzi ambayo mara nyingi huwafanya watu kushindwa kufanikiwa kiuchumi. Kinahimiza...
  17. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Adam na Hawa

    Habari zenu wakuu, Katika uzi huu, nitaleta maandiko ya kitabu cha Adam na Hawa (The book of Adam and Eve) cha kwanza na cha pili ambacho kwa sababu wanazozifahamu wahusika wamekiondoa kwenye vitabu vya Biblia. Kitabu hiki nitakituma humu kwa Kiswahili kupitia Google translate kwa hiyo baadhi...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania "Ujanajike" Kitabu Kilichoshinda TUZO ya Fasihi

    "UJANAJIKE" KITABU KILICHOSHINDA TUZO YA KISWAHILI YA CORNELL YA FASIHI Mwandishi wa kitabu hiki Dotto Rangimoto kaniletea kitabu hiki nimekikuta nyumbani tena "autographed." Bahati mbaya lau nilikiona na nikakifungua sikuona kuwa kilikuwa na jina langu na sababu ni kuwa nilikuwa nimetoka...
  19. joseph_mbeya

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Core Genius by Joel Nanauka

    Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core Genius,” yaani uwezo wa kipekee ulio ndani yetu ambao, tukiuendeleza, unaweza kutufikisha kwenye...
  20. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Tupeni simulizi kidogo kuhusu hiki kitabu

Back
Top Bottom