kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya kitabu cha Quran kisayansi

    Quran ni kitabu chenye muongozo na mafundisho ya dini ya kiislam ni ufunuo kutoka Kwa Mungu muumba Mbingu na aridhi kupitia Kwa mtume wake Muhammad (s,a,w) Kadiri binaadamu wanavyopata ufuhamu wa kugundua mambo mbali mbali wanaikuta Quran ipo mbele Yao Kwa hatua nyingi sana 1) Mwaname na...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mungu alishusha Kitabu kingine ili kusahihisha Maandiko yake ya awali yaliyopotoshwa?

    Kuna watu wanaosema kwamba Mungu alishusha Torati, Zaburi na Injili lakini wanadamu wakavichezea na kuvipotosha vitabu hivyo. Kwa sababu hiyo ikabidi Mungu ashushe kitabu kingine baadaye, ili kusahihisha maandiko yaliyovurugwa! Kama ni hivyo, Covax na wenzako, naomba mnisaidie kujibu maswali...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Tequila wars.

    Leo hii brand ya Tequila ya Jose Cuervo ndiyo inayoongoza kwa mauzo duniani. Kitabu hiking cha 2025 kinaelezea struggle alizopitia muazilishi wake, siasa za Mexico, figisu za uchaguzi, vita na machafuko wakati huo, mapambano ya ardhi na jinsi Marekani ilivyoingilia siasa za Mexico. Kitabu kizuri.
  4. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Neno langu la Imani kutoka kitabu Cha wanabii

    Kama ilvyoandikwa 1👉 Kama vile inzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. 2 👉 Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume, lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto. 3👉 Hata anapotembea barabarani, mpumbavu hukosa ufahamu na kudhihirisha...
  5. Think2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kitabu au notes za veta ufundi simu ziwe pdf

    Naomba kitabu chochote cha ufundi simu haswa smartphone kiwe kwenye mfumo wa pdf
  6. T

    JamiiForums Tanzania Historia na maadili kitabu cha kidato cha tano

    Kitabu hiki ni muhimu.... a compulsory subject kwa kidato cha Tano Historia ya Tanzania na Maadili Academic Communication
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: House of Huawei

    Kitabu hiking kimetoka mwaka huu. Kinazungumzia historia ya Huawei na maanzilishi wake. Jinsi Huawei ilivyoanza hadi kuja kuwa kampuni kubwa kabisa ya Telecom duniani. Ikizipita Ericcson, Nokia na kuziacha zingine zikifika. Ikaja kuwa muuzaji mkubwa kabisa wa simu za mkononi ikizipita Apple na...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Kitabu: The Winner’s Law – by Bodo Schäfer

    Tafsiri kwa msaada wa ChatGpt "The Winner’s Law" ni kitabu kinachofundisha kanuni na sheria ambazo watu wenye mafanikio huzitumia ili kufanikisha ndoto zao. Bodo Schäfer, ambaye ni mtaalamu wa fedha binafsi na maendeleo ya mtu binafsi, anaeleza kwa lugha rahisi namna mtu yeyote anavyoweza...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Colder than hell

    Kitabu hiking kinasimulia jinsi Wanajeshi wa Marekani walivyoingia kwenye mtego wa Wachina wakati wa vita ya Korea 1950-1953. Juni Mwaka 1950 NK iliivamia SK na kuteka kwa Kasi karibu nchi yote. Majeshi ya US yakaingia kuikomboa. Wakayarudisha majeshi ya NK hadi kwao. Yakawa yamepangwa kupigana...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Soma kitabu cha Vita ya kKuku

  11. Think2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada naomba kitabu hiki

    Kitabu kinaitwa mobile phone repairing soft copy mwenye nacho naomba
  12. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuamka kiroho pokea zawadi ya Kitabu hiki upate mwanga wa maisha

    KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru. Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Quran ilitamkwa na Muhamad wakawa waandishi wanaandika na baadaye yakakusanywa maandiko kutengeneza kitabu

    Kwa mujibu wa Uislamu: 🔹 1. Aliyetunga Muhamad Waislamu wanaamini kuwa Qur’an ni neno la moja kwa moja kutoka kwa Mwenyezi Mungu (Allah). Haikuandikwa au kutungwa na mtu yeyote—bali iliteremshwa (wahyi) kwa Mtume Muhammad (SAW) kupitia malaika Jibril (Gabriel). Hii inakija kuonekana...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Kitabu Cha Rajabu Ibrahim Kirama

    MAKTABA IMEPOKEA KITABU CHA RAJABU IBRAHIM KIRAMA Rajabu Ibrahim Kirama ndiye aliyeuingiza Uislam Uchaggani kiasi cha zaidi ya miaka 150 iliyopita. Katika maajabu ya Allah alipofariki watoto wake walihifadhi nyaraka zake zote ambazo zinafika umri wa miaka 100. Nyaraka hizi zilihifadhiwa...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania June 23 TEHRAN kupigwa pigo takatifu, Kitabu cha Esther tarehe 23 kwa kalenda ya Kiyahudi

    23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu : Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka...
  16. Heritage123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitabu cha “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo”

    JINA LA KITABU: “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo” UTANGULIZI: Kariakoo ni kama mgodi wa biashara Tanzania — lakini si kila mtu anajua mahali pa kuchimba. Wengi wanapoteza muda, hela, na nguvu wakizunguka Kariakoo bila mafanikio — wananunua bidhaa ghali, feki, au kutoka kwa...
  17. Fateema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP", kimetoka ila it is not for SALE, only for EDUCATIONAL PURPOSES.

    Yule mwamba wa kusema " Tupac alikuwa kapandwa na kiumbe wa kiroho ( spirit) wakati ana yupo studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up" , tayari ameachia kitabu chake chenye CHAPTERS 77 na kurasa 220 . The book is not for SALE. It is for Educational Purposes. Nakala arobaini elfu ambazo zimetoka...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM kufadhili kitabu cha mzee Songambele kuenzi historia ya nchi, chama na serikali

    CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI - Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA someni hiki kitabu

    Hiki kitabu kina itwa THE BOOK OF SOUTHERN QI DYNASTY kinazungumzia vipi unaweza kuua kwa kutumia upanga wa kuazima. Yaani hapa njia ni kua unapenyeza watu wako kule ambako unatk kuangusha ufalme halafu unatumia hao kuangusha ufalme. Mfano Chadema ingepenyeza watu serekali washike nafasi za juu...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!

    Et naye ataonyesha kujutia sana!!. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!
Back
Top Bottom