kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CODEX GIGAS; Kitabu cha kale chenye historia ya ajabu

    KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI. Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu kisicho cha kawaida ambacho watu wengi wanasema ni Biblia ya Shetani. Usishtuke sana, acha tupige...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  4. JamiiForums Tanzania Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

    Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania. Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu cha simu ya kifo

    Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura. Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya. Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872. Asante.
  6. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

    Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili. Nikienda kwenye mada moja Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angemaliza muda wake na Kustaafu akaandika Kitabu haya yasingekosa, pitia uzi huu kwa Umakini

    Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema, Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe . Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika...
  8. JamiiForums Tanzania From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kitabu cha unmerried wife anitumie

    Wakuu naomba mwenye kitabu kinaitwa unmarried wife anitumie Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli 🙏
  10. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yesu Wa Tongaren Asema Hakuna Palipo Andikwa Katika Kitabu Takatifu Kuwa Atasulubishwa Mara Ya Pili

  11. JamiiForums Tanzania Qur'an ni kitabu chenye maajabu wanasayansi wanathibitisha

    Qur'an Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha? Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji kitabu hiki "Alkaline Herbal Medicine: Reverse Disease and Heal the Electric Body"

    Wakuu, Nahitaji kitabu hiki: "Alkaline Herbal Medicine: Reverse Disease and Heal the Electric Body"
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata marafiki na kushawishi watu (Tafsiri ya kitabu How to win friends and influence people cha Dale Carnegie)

    Pictuspublishers tumefasiri kitabu How to win friends and influence people. Kila wiki siku ya ijumaa tutasoma sehemu moja. Unaweza kusoma sehemu iliyofasiriwa ndani ya maktabaapp. kuungwa tucheki whatsapp 0715278384. Muandishi: Dale Carnegie, 1936. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata fund au sponsorship ya ku-print kitabu changu?

    Nimeandika vitabu vya financial education, women empowerment na girls rights maalum kwa ajili ya watoto. Pia nna vitabu vya Kiswahili kwa wageni kujifunza. Sina pesa ya designing na kuvichapisha. Ni wapi naweza kupata msaada wa aina yoyote nichape vitabu vyangu? Ikiwezekana kwa makubaliano maalum.
  15. JamiiForums Tanzania Nimesoma sana hiki kitabu na hii chapter nilikuwa bado sijaielewa, juzi baada ya kusikiliza hotuba fulani ndipo nikaisoma tena na nikaelewa

    Hello bosses and roses... Hii chapter ina mistari kumi tu, lakini ni fikirishi sana hasahasa kwa historia ya siasa hapa Tanzania kwa kipindi cha 2015 hadi sasa. Kwa muda mrefu nilishindwa kung'amua mafundisho yake lkn hivi juzi ndipo nikaelewa mwandishi (Lao Tzu) alimaanisha nini. Chapter...
  16. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Maisha yako yangekuwa kitabu, chako ungekiitaje? Na ungemtumia sababu zipi kukiita hivyo?

    Jina la kitabu changu ningekiita. NDIVYO YALIVYO. Sababu. 1. Mpaka Saa hii nimegundua kubishana Sana na hali ya maisha ni kujipotezea muda. (Ndivyo YALIVYO) 2. Mapenzi bila pesa ni bure hata waje watabiri wa nyota ILa mwisho pesa ni muhimu. (Ndivyo YALIVYO) 3. Marafiki wengi wanamatatizo...
  18. JamiiForums Tanzania Godbless Lema na kitabu Nchi ya wasioona(The country of the blind)

    Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde lililokuwa limezungukwa na milima iliyosimama wima pande zote. Bahati akakuta kuna watu wanaishi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa uwepo wa MUNGU bila kuhusisha kitabu cha dini

    Wakuu nimejaribu kufikiri kwa logic ndogo tuu ili kutoa uthibitisho wa mungu kwa kutumia laws of nature tujadili. Kila kitu kilichopo ulimwenguni kina opposite yake mfano uongo kuna ukweli giza kuna mwanga njaa kuna shibe kila kitu kina kinyume chake ,,,sasa hakuna mtu aliyewahi kumouna Mungu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mafunzo 6 ya kujifunza kutoka kwenye kitabu cha Rich Dad, Poor Dad

    Hi,leo tutajifunza kuhusiana kitabu cha RICH DAD, POOR DAD. 1. Wote tunahitaji elimu ya fedha. Mwandishi anasema kuwa wanafunzi wengi wanamaliza shule bila ya ujuzi wa fedha. Wanajifunza kutengeneza fedha lakini hawana mawazo juu ya namna ya kutengeneza fedha kutoka katika fedha walizonazo. 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…