kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?

    Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali. Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
  2. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?

    Ni moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya. Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia ndefu kwa hizi nchi. Na wengi mpaka babu zao wamezaliwa huku, ikimaanisha wana haki zote za uraia wao...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021 Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo. Pia soma: Mtozi Alloyce...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jambo ambalo wengi hawalijui: Hakuna kiongozi wa kisiasa atakayeshitakiwa kipindi cha uongozi wake au baada ya uongozi wake, ilimradi awe mwanaCCM

    Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda kipindi cha uongozi wao. Wanawaza kuwajibishwaa kwa namna tofauti ila sio kuwapandisha kizimbani. CCM ni...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je, yapaswa mishahara ya viongozi wetu wa kisiasa kujulikana kwa umma?

    Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya n.k na hasa wale wanaopata uongozi kwa kura zetu - je si ni haki yetu rais kujua mishahara yao?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kusajili simu uligeuzwa kuwa kisiasa na sasa tunaona ubaya wake

    Watanzania wanafanywa wajinga sana kwenye maswala ya mitandao kuna mambo mawili ambayo watu wengi hawakuyajua 1. Juzi wakati Raisi anafungua kiwanda cha polisi IGP alisema Polisi hawana teknologia ya kutosha. Rais Samia akasema sasa tulivyo andikisha simu kwa vidole ilikuwa na maana gani? swali...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

    Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu. Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAVICHA yafika gereza la Mkuza Kibaha katika Muendelezo wa kuwafariji na kuwasalimia wafungwa wa kisiasa

    Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji . Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji...
  9. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kuziangalia bidhaa zilizopanda bei kutokana na matamko ya kisiasa na kuumiza wananchi wa hali ya nchi

    Nakumbuka mwaka 2016 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,800 kwa kilo. Bei ya mfuko wa cement ilikuwa 11,000 hadi 12,000. Bei ya mafuta ya kula nayo ilikuwa chini sana lakini baada ya kuwekwa zuio la kutoingiza hizo bidhaa bei ilipanda kwa zaidi ya 60% na imekataa kushuka licha ya kutangaziwa kuwa...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama. Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kinagaunaga; Nyalandu ana ushawishi gani wa kisiasa hapa Tanzania?

    Iliitwa Bongoland sababu ili ukae Bongo lazima utumie akili. Sasa kwa akili za kawaida Nyalandu anaushawishi gani wa kisiasa mpaka kurudi kwake CCM iwe siku ya mkutano mkuu? Kwamba hii leo akisimama jukwaani kuna mtanzania atamsikiliza na kumuelewa? Kashfa kibao alipokuwa wizara ya Maliasili...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ongezeko la mshahara linalofanywa kisiasa kwa kupunguzwa kodi kwa asimilia 01 lina matokeo gani?

    Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi. Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu...
  13. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM

    Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM. 1. Tafuta kadi ya CCM kwenye tawi lako. Kisha jenga mahusiano ya karibu na viongozi wa matawi na kata. (SIASA MAHUSIANO) 2. Soma katiba, kanuni na miongozo ya chama, vitabu kama kanuni za maadili na uongozi na kanuni za uchaguzi vikae...
Back
Top Bottom