Ya Haji Manara na kisa cha Chanjadi, Mkristo wa Kinondoni

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,110
27,092
Miaka ya tisini Na mwanzoni mwa miaka ya elfu 2 mitaa ya kino Kuna brother mmoja alijulikana Kwa Jina la Chanjadi. Chanjadi alizaliwa katika familia ya Kiislamu. Kama ilivyo ada kwa watoto wa Kino chanjadi ishu zake nyingi alikuwa anafanyia Dizonga.

Siku moja Chanjadi from nowhere akawaambia ndugu jamaa Na rafiki zake "kuanzia leo Mimi ni Mkiristo. Watu hawakuamjni waliona kama anafanya vile na wengine walifikiri amechanganyikiwa but huo ndio UKAWA ukweli mpya. Chanjadi hakuwahi kurejea nyuma. Mara ya mwisho kusikia kuhusu chanjadi ilikuwa Na mwaka 2012 Na bado alikuwa Mkiristo.

Up to now sijui kama bado yupo Hai au la.

The same to Bugatti, ndo amesha hamia Yanga hivyo
 
Dini na ufuasi wa kisiasa unaweza ukabadili moja kwa moja na ukawa totally umeishika itikadi mpya bila tatizo, maana huwa havikai ndani ya moyo. Mapenzi ya timu ni kama kabila lako, huwezi kuwadanganya watu kwamba umebadili.

Kwa Haji Manara kuna mawili, either tangu awali alikuwa anaipenda Yanga ila alikuwa Simba kwa ajili ya fedha, AU bado anaipenda Simba ila yupo Yanga kwa ajili ya fedha (na lazima alazimishe aonekane hivyo mbele ya macho maana ukigundulika unafanya usanii ni hatari sana kwa hisia za watu). Lakini suala la kusema amehama ni kusema uongo kweupe
 
Usichokijua tu haji pale kafata ajira, ingekuwa ni timu basi angetangaza siku ile ile baada ya kutimuliwa simba, lkn baada ya ya kuahidiwa ajira na GSM ndo kajitangaza ya kuwa yeye ni Yanga.

Tofauti na huyo chanjadi yeye kwa uamuzi wake mwenyewe bila kufukuzwa kutoka kwenye uislam isipokuwa kaenda mwenyewe
 
Nionanvyo mimi Haji ni shabiki wa Simba na mwanachama wa Simba na nimfanyakazi wa Yanga kwa sasa.

Haji alikua akifanya kazi Simba Kwa mujibu wake Kwa kujitolea hata bila malipo, yote ni Kwa mapenzi yake Kwa Simba.
Haji alieleza anaondoka Simba kwa sababu ya mgogoro na viongozi sio na Simba.

Haji amepewa mkataba na GSM wa kufanya kazi sio wa kuwa shabiki wa Yanga na bila fedha Haji hangeweza kwenda kufanya kazi Yanga.

Kwaujumla Haji ni Mwanachama na shabiki wa Simba anaefanya kazi Yanga.
 
Miaka ya tisini Na mwanzoni mwa miaka ya elfu 2 mitaa ya kino Kuna brother mmoja alijulikana Kwa Jina la Chanjadi. Chanjadi alizaliwa katika familia ya kiislamu . Kama ilivyo ada kwa watoto wa kino chanjadi ishu zake nyingi alikuwa anafanyia Dizonga.

Siku moja Chanjadi from nowhere akawaambia ndugu jamaa Na rafiki zake " kuanzia leo Mimi Ni Mkiristo. Watu hawakuamjni waliona kama anafanya vile Na wengine walifikiri amechanganyikiwa but huo ndio UKAWA ukweli mpya. Chanjadi hakuwahi kurejea nyuma. Mara ya mwisho kusikia kuhusu chanjadi ilikuwa Na mwaka 2012 Na bado alikuwa Mkiristo.

Up to now sijui kama bado yupo Hai au lah.

The same to Bugatti ndo amesha hamia Yanga hivyo
Sitaki kujua alipo ila Mungu anajua his destiny akamuokoa

Yer 1:5 SUV

Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

2 Tim 2:19

Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, BWANA awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la BWANA na AUACHE UOVU.
 
Makolo hamtaki kukubali ukweli
Usichokijua tu haji pale kafata ajira, ingekuwa ni timu basi angetangaza siku ile ile baada ya kutimuliwa simba, lkn baada ya ya kuahidiwa ajira na GSM ndo kajitangaza ya kuwa yeye ni Yanga.

Tofauti na huyo chanjadi yeye kwa uamuzi wake mwenyewe bila kufukuzwa kutoka kwenye uislam isipokuwa kaenda mwenyewe
 
Sitaki kujua alipo ila Mungu anajua his destiny akamuokoa

Yer 1:5 SUV

Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

2 Tim 2:19

Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, BWANA awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la BWANA na AUACHE UOVU.
Ukristo no Imani isiyo na mantiki,lands alipenda mini skirts na suti,na kuimba kwaya
 
Dini na ufuasi wa kisiasa unaweza ukabadili moja kwa moja na ukawa totally umeishika itikadi mpya bila tatizo, maana huwa havikai ndani ya moyo. Mapenzi ya timu ni kama kabila lako, huwezi kuwadanganya watu kwamba umebadili.

Kwa Haji Manara kuna mawili, either tangu awali alikuwa anaipenda Yanga ila alikuwa Simba kwa ajili ya fedha, AU bado anaipenda Simba ila yupo Yanga kwa ajili ya fedha (na lazima alazimishe aonekane hivyo mbele ya macho maana ukigundulika unafanya usanii ni hatari sana kwa hisia za watu). Lakini suala la kusema amehama ni kusema uongo kweupe
Umemaliza
 
Kumbe ni kama John Bocco vile shabiki wa Yanga Lia Lia anae kipiga Simba Sport
Shida yenu uto mnataka kulazimisha nyeupe kuwa nyeusi,, haji mwanachama wa simba anaefanya kazi yanga, utaki ndo hivyo usitake ndo hivyo hivyo,,,
 
haji ni kahaba mwenye masilahi ikitokea tajiri yoyote kufungua timu ikafikia kutandika yanga na simba mfululizo mara 5.na kwambia utamuona kujisharagua
 
Dini na ufuasi wa kisiasa unaweza ukabadili moja kwa moja na ukawa totally umeishika itikadi mpya bila tatizo, maana huwa havikai ndani ya moyo. Mapenzi ya timu ni kama kabila lako, huwezi kuwadanganya watu kwamba umebadili.

Kwa Haji Manara kuna mawili, either tangu awali alikuwa anaipenda Yanga ila alikuwa Simba kwa ajili ya fedha, AU bado anaipenda Simba ila yupo Yanga kwa ajili ya fedha (na lazima alazimishe aonekane hivyo mbele ya macho maana ukigundulika unafanya usanii ni hatari sana kwa hisia za watu). Lakini suala la kusema amehama ni kusema uongo kweupe
Dini unaweza kushawishiwa kwa hoja Ila mapenzi ya timu ni kitu kingine ,unaweza kuwaridhisha watu Ila kiundani unaumia
 
Usichokijua tu haji pale kafata ajira, ingekuwa ni timu basi angetangaza siku ile ile baada ya kutimuliwa simba, lkn baada ya ya kuahidiwa ajira na GSM ndo kajitangaza ya kuwa yeye ni Yanga.

Tofauti na huyo chanjadi yeye kwa uamuzi wake mwenyewe bila kufukuzwa kutoka kwenye uislam isipokuwa kaenda mwenyewe
Sijaona sehemu amerudisha kadi ya simba
 
Nionanvyo mimi Haji ni shabiki wa Simba na mwanachama wa Simba na nimfanyakazi wa Yanga kwa sasa.

Haji alikua akifanya kazi Simba Kwa mujibu wake Kwa kujitolea hata bila malipo, yote ni Kwa mapenzi yake Kwa Simba.
Haji alieleza anaondoka Simba kwa sababu ya mgogoro na viongozi sio na Simba.

Haji amepewa mkataba na GSM wa kufanya kazi sio wa kuwa shabiki wa Yanga na bila fedha Haji hangeweza kwenda kufanya kazi Yanga.

Kwaujumla Haji ni Mwanachama na shabiki wa Simba anaefanya kazi Yanga.
Na wengi ni hivyo!! Mfano si kila mfanyakazi wa manispaa ya kinondoni ni mshabiki wa KMC
 
Dini unaweza kushawishiwa kwa hoja Ila mapenzi ya timu ni kitu kingine ,unaweza kuwaridhisha watu Ila kiundani unaumia
Kuna mzee mmoja huko Mwanza miaka ya 90 alikuwa anaitwa Maalim…………....alibatizwa na kuwa Mkristo. Alichokuwa anafurahisha kwenye ile mikutano, wakati wa kutoa ushuhuda, ukitaka kumkasirisha, umwambie auongelee Uislamu. Hata ashawishiwe vipi, alikuwa hataki kabisa auelezee UBAYA wa alikotoka.
Sina shaka waliokuwepo Mwanza wakati huo, na kufahamu issue ya yule mwamba, watamkumbuka!
 
Back
Top Bottom