kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali yakamata Wahamiaji haramu zaidi ya 1000 katika kipindi cha miezi 3

    Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini. Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma. Amesema kwa sasa kuna operesheni maalum ambayo imeanza tarehe...
  2. Ni dhambi kuvaa barakoa kwa kipindi hiki?

    Habari wakuu, Nadhani ni muda mrefu tangu nipost last thread. Nashukuru Mungu ni mzima wa afya na kutokana na majukumu ya hapa na pale, nikashindwa ku-post, naamini hakijaaribika kitu kwani pamoja na yote nimekuwa nikipata nafasi za kusoma thread za wanajamii wenzangu,πŸ™‚ ingawa ntaimiss free...
  3. Karia ameihangaikia Simba tu kwa kipindi chake chote

    Hatujui ni kwasababu gani Karia anajivunia mafanikio ya soka yaliyopatikana wakati wa kipindi cha cha miaka 4. Binafsi sioni mafanikio ya soka kwenye kipindi chake zaidi ya Karia kuhakikisha kuwa Simba inakuwa bingwa kwa kipindi chake chote na inafanya vizuri kwenye mashindano ya African...
  4. Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

    katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama Tumevuka nyakati ngumu sana...
  5. Jambo ambalo wengi hawalijui: Hakuna kiongozi wa kisiasa atakayeshitakiwa kipindi cha uongozi wake au baada ya uongozi wake, ilimradi awe mwanaCCM

    Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda kipindi cha uongozi wao. Wanawaza kuwajibishwaa kwa namna tofauti ila sio kuwapandisha kizimbani. CCM ni...
  6. Ungekuwa Wewe ndiyo Mtangazaji mahiri na mweledi wa Michezo Kipindi cha Sports Arena Wasafi FM, mada ipi kati ya hizi ingekuwa ni ya Muhimu zaidi?

    Hatimaye Simba SC yaweka rekodi kwa Kuingiza Wachezaji Wanne katika Kikosi bora cha Wiki cha CAF akina Chama, Boko, Miquissone na Tshabalala? Au Twiti ya Kiutani wa Kimchezo ya Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji kwa Kuwaita Kaizer Chiefs FC ni Mediocre ( Wajinga ) baada ya Kufungwa Juzi Goli 3...
  7. Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza

    Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza, round ya kwanza! Hali ninavyoiona kuna vilio vingi upande wa timu ya Mpumzishwa! Vijana wanashambulia sana kila kona ila team mwenyeji inacheza kwa utaalam, upole, ukimya na iko well composed. Leo wamejifunga wenyewe baada ya...
  8. M

    Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

    Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana. Kubugi kwenyewe ni hivi: 1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda. Kwamba mnataka upande wa...
  9. B

    TAKUKURU, Mtumishi wa Umma anaponunua kipindi kwenye radio au TV kujadili masuala ya utendaji wa Serikali ni rushwa au si rushwa?

    Awamu ya sita inalo Jambo la kutafakari kuhusu mmomonyoko wa maadili unaoendelea Nchini. Tumewalea watu wachache wameafika mahali wananguvu kuliko Viongozi wa kitaifa. Tunaweza tukadhani tunapambana na wapinzani kumbe tunapambana kuuwa usawa katika jamii. Tuna vyombo vya dola ambavyo kwa kiasi...
  10. Ushirikina ni kitu kinachochangia sana watu kuogopa kurudi vijijini kwao kipindi cha likizo

    Muhimu: kufanya mila za tamaduni mfano kuchinja mbuzi na kutumia damu katika shughuli za kienzi tamaduni haya ni mambo ambayo yapo karibu kila kabila, huu sio ushirikina bali ni tamaduni. Hapa tunazungumzia ushirikina kama kupigana vipapai (kurogana), kuamka mwili umepigwa chale, kusumbuliwa...
  11. Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi Wasafi FM punguzeni 'Kujikomba' kwa Viongozi wa Serikali na wa Chama cha Mapinduzi kwani 'Mnaboa' mno

    Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu. Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa...
  12. Uchumi wa Tanzania ulikua kwa 6.9% au zaidi kipindi cha mwaka 2017-2019

    - Mpaka napoongea saaahv Tanzania has a gdp of ~($70B)+, nyuma kidogo ya kenya wenye gdp ya ($100B)+, wakati magufuli anaingia madarakani tanzania ilikua na gdp ya $(45.68B), Benki ya tanzania pia ilirekodi ukuaji wa uchumi kwa asilimia 7...
  13. J

    Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

    Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds. Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na...
  14. Viongozi wa dini na Watanzania, hiki ni kipindi cha kumuombea sana Rais wetu Sami zaidi kipindi kingine chochote

    Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka matakwa yetu binafsi kando, tunatakiwa kulinda tunu za taifa letu na kuweka itikadi zetu pembeni...
  15. B

    Viongozi wazawa wa kanda ya ziwa tunajifunza nini kipindi hiki Cha mabadiliko ya uongozi? Tulisimama kwa Hali?

    Nimtizamo wangu kwamba tunaliwa vichwa kimya kimya bila kupigiwa kelele. Nadhani tunapoelekea wale watu wote waliopanda kwa kasi miaka mitano iliyopita na wakashindwa kumaintaini nidham kwa wengine tayari wamekwisha. Kwenye chama tumepotea na hakuna anayetaka kutusikia, kwenye serikali...
  16. Kipindi cha Dakika 45 ITV: Wakati umefikia sasa kuruhusu maswali kwa wageni waalikwa

    Wanajanvi. Hiki ni kipindi kizuri sana. Ni kipindi cha muda mrefu na maarufu hapo ITV. Wanaalikwa watu wazito wenye maslahi kwa umma! Mwandaaji wa kipindi bi Farhia anajitahidi sana kauliza maswali fikirishi kwa wageni wake. Hata hivyo kipindi kinakosa mvuto. Ni cha upande mmoja. Muulizwa...
  17. J

    Dkt. Godwin Gunele: Rais ni taasisi hivyo Kikatiba inabadilika kila baada ya miaka 5, hivyo Rais Samia anatumikia kipindi cha Hayati Magufuli

    Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5. Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki. Dr Godwin anasema hata...
  18. Kumbukizi: Kauli ya Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni 2020

    Kauli hii ilitolewa na Mh. Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 2020
  19. J

    ITV kumkaribisha Dkt. Marcus Albanie wa CHADEMA katika kipindi cha Kipima Joto ni jambo la kupongezwa

    Jana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh. Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana katika vipindi vya Malumbano ya Hoja na Kipima Jotto kama tulivyozoea na badala yake wamekuwa wakialikwa...
  20. Kipindi mzee wangu Magufuli yupo walikuwa hawaongei ameondoka sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki

    Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki. Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…