Nilitegemea kipindi cha mfungo wa Ramadhani kwasababu watu hufunga kula, basi bei za vyakula zingeshuka sana na hata wafanyabiashara kukosa biashara kabisa, lakini ndio kwanza vyakula havishikiki na bei zipo juu hata zaidi ya wakati wa kawaida.
Ndio kumaanisha wakati wa mfungo watu hula zaidi...