Pilau na biriani zinakosewa heshima sana ukilinganisha kipindi cha zamani

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Miaka 90 kushuka chini swala la pilau na biriani mpaka kuwe na sherehe au sikukuu ndio chakula kinapikwa.
Watu walikuwa wapo tayari kukaa na njaa ili wale sana chakula hiko.

Kwa sasa imekuwa fujo kila ijumaa ni fujo yani ukienda kwenye harusi walaji wa pilau hawapo kabisa na unaweza usipakuliwe.
 
Back
Top Bottom