Chawa wa lumumbashi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 793
- 1,749
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami
Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu
Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana