kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza biashara ya mafuta kipindi hiki cha mzozo wa Iran vs Israeli-Marekani

    Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hamna kipindi ambacho wanajeshi halisi wanakifurahia kama wakati wa vita maana ndo wakati wa kuonyesha ujuzi wao kiuhalisia

    Hii ni Siri lakini ndo ukweli Nilipata stori ya mjeda anasema hamna kitu Cha hazuni Kwa wanajeshi kama kukuta JINA lako halijapangwa kwenda vitani wakati wa vita. Sasa hii furaha zaidi Kwa majeshi yenye uwezo kama Marekani mjeda anatamani hata kutoa chochote apangwe vitani. Sio madili ya...
  3. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia anapitia kipindi kigumu, walio karibu naye wamuangalie

    Kuna vitu anajutia, ila it's too late. Video hii hapa: Halafu mumewe Andendelile Mwainyekule pia katenguliwa nafasi ya u -CEO wa EWURA.
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Covid-19 iko kwenye peak, Petroli iliuzwa Tsh 1,500 kwa Lita! Tuombee ili janga lipite!

    Bei ya mafuta inaogofya. Imepanda kwa kasi sana. Unalala lita moja 2,800 Tsh unaamka 3,800 Tsh. Hatari. June 2020 Covid ipo on fire ilikua unanunua chips kavu au unanunua mafuta lita moja, muamuzi ni wewe.
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Kipindi Maalum

    https://youtu.be/wSL_Z6pY3h8?si=ASBnArYg5G5en2vL
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani wameishiwa Silaha kabisa. Sasa ni kipindi cha pili watajuta

    Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina. Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote .hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSF) lasitisha shughuli za muziki na burudani kipindi cha Ramadhani

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Utalii Zanzibar: Nguo fupi marufuku kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani. Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 2

    https://youtu.be/JW8ruo8JwLo
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 1

    Kulikuwa na mwendawazimu jina lake Boimanda na watoto tukimuogopa sana. Matembezi ya Boimanda siku zote yalikuwa pale sokoni na watu wakimtisha Boimanda kwa kumwambia kuwa askari wa kodi wanakuja na yeye atatoka mbio kukimbia ovyo. Ilikuwa katika kutishwa kama hivi ndipo alipovamia meza ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
  14. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Redio One mmetukera wasikulizaji wenu kwa kutopiga wimbo wa Remmy Ongala, 'wema ni qumanyoko' kwenye kipindi chenu cha nani zaidi.

    Kwa kweli leo baada ya kufungua redio yangu nimekutana na kipindi cha nani zaidi pale Redio One na waliopambanishwa ni Hussein Jumbe na Remy Ongala ambapo nyimbo Tano za Dr Remmy zilipigwa na tano za Hussein Machozi nazo zikapigwa. Kilichonikera ni kukosekana kwa wimbo unaopendwa na...
  15. Registered_jf

    JamiiForums Tanzania Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu

    1) Kulelewa na wazazi wakristo sio kuwa Mkristo. Kuwa Mkristo ni kukutana na Kristo kibinafsi. Ni kama ulikuwa unasikia story za mjomba kwa miaka, hatimaye akaja nyumbani. 2) Nilipoteza imani nikiwa form 3, tena kwasababu ya kusoma posts za humu JF! Ndomana mzungu alisema: Little knowledge is...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ustadh: Makaburini maiti wanatembeleana

    Ni rahisi sana kucheza na akili ya mwafrika.
  17. JF Member

    JamiiForums Tanzania Bunge la Zungu: Kipindi cha kusifu na kuabudu kina muda mrefu sana

    Hili Bunge la Zungu lina mambo mengi sana. Ila kipindi cha kusifu na kuabudu ni kirefu sana. Mjitafakari sana.
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho

    Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho. Serikali haramu ikifanikiwa kuvuka hapa mpaka uchaguzi ujao kwa jinsi hali ilivyo uchaguzi ujao utakuwa ni vita kubwa kubwa sana haijawai kutokea tangu...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Crown FM hasa kipindi cha michezo asubuhi

    Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan bwana JUMA AYO , PAUL MKAI NA JESCA MHAGAMA kuna mchambuzi hapo anaitwa JEFF LEA naona haheshimu KITI...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Kuna kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti kero za wananchi. Mkurugenzi kaa kwenye kiti chako na uenee

    Wakuu, Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi "Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa wanahabari huko mitaani, wanahabari wanaenda kuripoti kero za wananchi iliyotokea kwenye halmashauri...
Back
Top Bottom