kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Patigazeti ya kipindi cha muungano

    https://youtu.be/7FTRj7Hv11c?si=qMm8L19ulJZVdwoU
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mchango wangu juu ya hali ya Tanzania hasa kipindi hiki kigumu.

    Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi. 1.Nchi yetu sasa hivi imeparanganyika .Hakuna ukaribu kati ya wananchi hasa tabaka la chini na watu wa tabaka...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Nuhu anajenga safina kundi la wengi lilimuona kichaa na kusababisha wengine kuumia. Ndio waliomo CCM na chawa wake

    Sitaki kuingia kwenye dini sio sehemu yangu. Hapa na zungumzia wale wakina Nuhu wakutaka kuwajengea safina. Wanaopigania nchi na vizazi vyenu kwa mislahi yenu mnawaona sio wazarendo,vibaraka,waihini na wengine kupotezwa kabisa. Kwa nyie CCM na chawa siku galika likifika mtawakumbuka wakina...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania wakamaria mpira ukimgusa beki kipindi goal linafungwa uka deflect inahesabika own goal au scored by kicking

    Ningependa kuleta mjadala kuhusu goal la kwanza kwenye mechi ya Haiti dhidi ya Scotland.Kwa maelezo ya tukio hilo, goli lilitokana na shot ya mchezaji wa Scotland john McGinn iliyopigwa kuelekea golini . Mpira ulikuwa unakwenda moja kwa moja golini, lakini ukamgonga mchezaji wa Haiti ambaye...
  6. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kipindi sahihi chakudai Tanganyika kwa nguvu zote

    Wote tunashuhudia namna Wazanzibar kupitia wawakilishi wao wanavyoizungumza Tanganyika na watanganyika,Zanzibari ni nchi huru,basi tunaitaka Tanganyika huru na wakati ni sasa.
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Je, Ni Sahihi Watoto wa Darasa la Kwanza Kulazimishwa Kwenda Shule Kipindi cha Likizo?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tumeugawa mwaka, tuko sehemu ya pili ya mwaka ama sehemu ya kwanza ya kipindi cha pili je unajua tafsiri yake kiroho?

    Kipindi hiki cha mpito kuelekea nusu ya pili ya mwaka kinabeba siri nzito inayotengeneza mstari wa mgawanyiko kati ya yaliyopita na yajayo. Haya sio mabadiliko ya namba kwenye kalenda tu, bali ni lango la kiroho linalofungua madhabahu mapya ya matokeo katika ulimwengu wa roho. Ni majira...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nissan Bluebird na Altima ni kama wale Mademu waliokuaga Wabovu Kipindi Mpo Sekondari ila sahivi Hatari…

    Bluebird aka Sentra then (2000s): Bluebird now (2020s) Nissan Altima enzi izo (2000s): Altima ya sasa (2020s): Hii ni ukumbusho, usimchukulie mtu poa, hujui kesho yake!
  10. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kufukuzwa kazi

    Kama kuna watu wameshawahi kupitia kipindi cha kufukuzwa kazi , hivi maisha mliyasongesha kwa Namna gani baada ya kufukuzwa? Life kitaa siyo poa mliwezaje kutoboa kwenye msimu huo hadi mlipopata kazi nyingine au kuendelea na mishemishe kitaa?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoanza ujasiriamali kipindi nipo chuo

    nakumbuka kipindi hicho nilikua nimepanga mtaani ilikua ni mwaka wa pili maana mwaka wa kwanza nilikaa hostel baada tu ya kuingia mwaka wa pili nikatafuta geto nikalipia kodi nikanunua godoro na mazaga machache, sasa mimi ni mtu ambae napenda wanyama baada ya kuona nimekaa mpweke sana pale...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ananitafuta kipindi cha shida tu

    Huko nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mtu mzima, kutokana na uzuri wake pamoja na ujuaji wake, mahusiano yalijaa migogoro mingi; hali iliyopelekea ata mtoto aliyezaliwa kuhisi ana wababa zaidi ya mmoja. Amekuwa akinitafuta katika nyakati zote ngumu anazopitia, kuanzia kwenye kujifungua...
  13. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Mungu kumuinua mtu umpitisha kipindi cha kutengwa(isolation)

    Kabla ya Mungu kumuinua mtu umpitisha kipindi cha kutengwa(isolation) Katika bibilia Yesu kristo kabla ajaanza hudumu ya injili alichukuliwa na malaika kwenda jangwani(isolation) na kufunga siku 40 na kipindi hicho alikuwa akijaribiwa. Musa kabla ajanza huduma pia naye Mungu alimtenga kwa...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme “Roam Air” kutoka Kenya, ndio mkombozi wa usafiri kipindi hiki cha mafuta bei ghali!

    Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi. Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida. Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kipindi nikiwa geto sijaoa sabuni ilikuwa ni moja tu kufulia, kuogea na kuoshea vyombo wala sikuwaza

    Nikubaliane kuwa mambo yanabadirika sana asee. Kipindi hicho nasoma na hata baada ya masomo mfumo wangu ulikuwa ule ule sabuni ya kuogea ndo hiyohiyo ilifanya kazi zote. Na wala si mimi tu karibia ndume zote mfumo ulikuwa huo huo kwa sasa sidhani kama haya yapo bado. Hii hali bado imeniathiri...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mbona siku hizi serikali haipewi gawio kama kipindi cha JPM

    Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu. Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili . Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
  17. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

    Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende. Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea. Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao...
  19. R

    JamiiForums Tanzania BURKINA FASO: Serikali yakana ripoti ya zaidi ya raia 1,800 kuuawa kipindi cha uongozi wa Traore

    Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu miaka mitatu iliyopita. Shirika la Human Rights Watch, lililotoa ripoti hiyo, linasema kuwa mauaji...
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio single huwa mna survive aje kipindi mnaumwa?

    Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura? Au ndio ile ku adapt na mazingira?
Back
Top Bottom